Hatari sanaTimber mnyama flani hivi, nimecheki game ya Ajax vs Dort(4-1) alimficha sana halaand. Afu vijana wamekuja na sumu mixer ushabiki. Saliba X Timber itakuwa balaa kubwa.
Cha ajabu mbona unaumia Sana na habari za Arsenal ,ndio maana nimekushauri Kuna jukwaa la Newcastle ukalifufue angalau mpate mashabiki wawili watatu
Hii inaonesha Arsenal inakuuma Sana kuliko Newcastle
Si unajua ndoa yangu na Arsenal ni ya muda mrefu miaka 20. Kuacha kwa haraka ni ngumu tunaachana taratibuuuu ukiangalia mapenzi yangu na arsenal yalipoanzia FA community shield 2003 against united na bado tukashindwa lakini still i was loyal fan , tukala kichapo 2005 against united 4-2 mtaa mzima wakahama arsenal lakini still i was there and even UEFA final sikukata tamaa zaidi ya kumchukia etoo kwa alichotufanyia. Hichi ndo kinafanya bado niumie na habari za arsenalso wewe nivumilie tu maana safari niliyotoka ni mbali kuikatisha kwa ghafla ni ngumu.
Jukwaa tutalifufua kwa WINS subiri hio AUGUST. Labda itokee kidogo arsenal awe anashinda sana ndo nitakuwa kimya ila ole wenu vipigo vianze mapema
NIVUMILIE TU HUMU SI UNAJUA MAPENZI HAYAFI KWA GHAFLA KAMA AJALI, BADO NINA UGUNNERS FLANI KWA MBALII SO JINSI VIPIGO VITAKAVYOKUWA VINAZIDI NAKO KATAKUWA KANAZID KUPOTEA
Wewe kumbe hueleweki ,
Mimi nilijua umehama Arsenal mazima unehamia Newcastle ,kumbe bado upo nusu nusu
Dah
Kwahiyo unasubiri Arsenal ifanye vibaya uhame mazima kwenda Newcastle?
Folarin Balogan yupo ni option nzuri kuliko Nketia.Sasa tumeiva bado striker katili tu pale mbele
Haya mkuu kila la kheri,Kuhama nimeshahama ndo vile tu nakuambia still ule ugunners wa 20 years kuutoa kwa siku moja ni ngumu yani 20 years utoe kwa siku 1. Mpaka december nazani nitakuwa nipo full magpies kama vile shearer na wengine kina alan smith
Auba yule wa mwanzo mwanzoHichi kikosi ndo kingekua na yule auba kabla hajaanza kuvurunda, poacher kama poacher goal hunter ingekua hatar sana, jesus ana kosa sana magoli, hiv watkins/jota hawapatikan
Nyie ndo mnaitwa "plastic fans" na timu zenu ni plastic clubsKuhama nimeshahama ndo vile tu nakuambia still ule ugunners wa 20 years kuutoa kwa siku moja ni ngumu yani 20 years utoe kwa siku 1. Mpaka december nazani nitakuwa nipo full magpies kama vile shearer na wengine kina alan smith
Nyie ndo mnaitwa "plastic fans" na timu zenu ni plastic clubs
Kwahiyo sasahivi Newcastle akifungwa unaumia kishenzi, uongo?Kwani umeanza kushabikia mpira mwaka gani gunner? Hakuna plastic clubs , kwa miaka yangu 20 as arsenal fan huweziii kuniiita plastic fan tena ukiangalia ni timu ni arsena first game naijua arsenal we lost !
Watu wanahama dini sembuse timu. So as magpies unaweza kuniita plastic fan lakini hakuna plastic club