Hawa viazi wamekwishajikabidhi kombe kabla msimu haujaanza wana sahau Liver kasajili viuongo wapya, Newcastle wanashusha vyuma, Aston Villa majembe, Brighton wana kikosi kizuri, Chelsea wana kocha mpya, Man U tunasafisha mizigo.Uongo inakupunguzia siku zako za kuishi. Inakufanya mwisho wa msimu upotea kwenye uzi wako. Lete hiyo analysis yako tuone. Sehemu uliyosema aseno anaenda kugombania ubingwa na lescister na southampton watashuka daraja nimakaa hapa[emoji116]
Hiyo Role ni ngumu ukizingatia tunacheza na DM mmoja ,Badala ya false 9 anaweza cheza AM kwenye 4 1 2 3 but itabidi aongeze uwezo wa kukaa na mpira na recovery
Bado unaamin dili lime collapse?Tunaendelea kufatilia utambulisho wa Rice.
View attachment 2688891
Kama ikichezwa hiyo Rice anakua hapandi, anasaidiana na full back mmoja dimbani nyuma wanabaki CB 2 na full back mmoja., Ila timu inabidi iwe possesion based 100% na position zisiwe zinahamwaHiyo Role ni ngumu ukizingatia tunacheza na DM mmoja ,
Wanasema ni role ngumu kuizoea ,ndio maana Øde ilimchukua muda , lazima ajue muda gan anatakiwa kuwa mbele muda gan arudi kukaba , lasivyo ataonekana mzembe
Ndio manaa naomba Partey abaki ili Kai acheze mbele zaidi , mech za kawaida ndio aanze Kama AM azoee taratibu
Basi agenda inabadilika.Bado unaamin dili lime collapse?View attachment 2688893
Ofa pekee aliyonayo ni ya Aston Villa.João Félix entourage told the player to join Arsenal in January as they believed that a move to the Emirates would be wiser as Mikel Arteta’s style of play was a better fit for the Portuguese.
However, he rejected their advice and moved to Chelsea
The player is ‘suffering the nightmare’ at this moment in time as he isn’t wanted at the Wanda Metropolitano and cannot find a new club either.
(@diarioas via @Sport_Witness / @OsmanZtheGooner )
sportwitness.co.uk/players-entour…
Hahaha nimekubaliBasi agenda inabadilika.
ARSENAL MMEPIGWA!!!
100M nyingi wameona wasishindane na MiluziLiverpool amegoma kuingia Vita ya Caicedo
James Pearce says Romeo Lavia, Sofyan Amrabat, Ryan Gravenberch and Kalvin Phillips are among those under consideration to replace Fabinho.
Caicedo not viewed as a serious target.
Na hataki kwenda Villa nasikiaOfa pekee aliyonayo ni ya Aston Villa.
Atletico walitoa pesa nyingi sana hapa almost hela ya Griezman yote ilikuja hapa. Watu wakamlaumu dogo kukubali kwenda kwenye timu inayopaki basi.
Hatimaye sasa potential yake haijawa felt kama mashabiki tulivyoamini inatakiwa kua
Hivi ni Mimi tu naona au na nyie , Liverpool hii anayoenda kucheza ni kamari na inaweza mgharimu100M nyingi wameona wasishindane na Miluzi
Tajiri miluzi mwez na nusu Sasa hataki kutoa £100m100M nyingi wameona wasishindane na Miluzi
On top of that anarudia ule mtindo wa kua na kikosi finyuHivi ni Mimi tu naona au na nyie , Liverpool hii anayoenda kucheza ni kamari na inaweza mgharimu
Anauza fabinho na Henderson , amewaleta Mac Allister na Szoboslai ,anatafuta DM ,
Mm nilijua anabaki na fabinho ili wacheze na hao wapya ,lakin new midfield ni bonge la kamari ,
Thus why naomba Partey kwetu asiondoke labda next season au January