Arsenal (The Gunners) | Special Thread

️ | TRANSFERS: Arsenal WANT right-sided attacker.

According to FourFourTwo, the Gunners still want to get adequate backup for Bukayo Saka this summer.

“Arsenal are looking at bringing in another right-winger to compete with Bukayo Saka on the right wing.”

The Gunners nearly signed Raphinha last season, while there has also been interest in two more Barcelona players, Ferrari Torres and Ansu Fati.


Arsenal working now on completing Declan Rice deal. Jurrien Timber is done, just waiting on Arsenal’s official announcement. Video has already been shot.
#AFC #Transfers #Arsenal
 

Vipi yule David Neres? Benfica kutoka Ajax
 

Subiri matusi nimekaa pale
 
@Flano allypipi kwa Arsenal hii mnaweza leta team yenu unga unga mwana kwl uwanjan ndg zng?

Teta ball ya saiv itakua kila mtu anaiogopa sio ktt kbs


Kwa Arsenal hii wapewe kombe lao mapema
Yani arsenyani mmebaki tu kuwa wapiga kelele kwa nguvu mlizotumia msimu uliopita sioni mkiwa na jipya msimu huu.

Hamtakuwa na Liverpool ya 2013/2014 ilifukuzia ubingwa ikaja kukosa mwishoni nadhani unaelewa nini kilifuata msimu unaofatia.
 
Sema Mikel Arteta kaunda bonge la timu, wakati unamfikiria Kai harvertz unakumbuka kuna Leandro Trossard, bado ujamgusia Saka na Martinelli, hili chama la kupiga goli tano tano tu msimu ujao. Manyumbu nayatamani tuyapige nyingi.
Nyie mwezi huu tu tunaanza kuwa kanyaga msiwaze Mpaka ligi ianze.

Sema nyie arsenyani mnatuwaza sana man u utadhani uwaga mnashindana na sisi tu mwisho wa siku mna muachia city point 6
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnanuna mnapenda kupakwa sana rangi ndo maana timu aina uefa wara ueropa tu.

Sababu mnarizika na vitu vidogo sana kweli nyie ni arsenyani.
 
Nyie mwezi huu tu tunaanza kuwa kanyaga msiwaze Mpaka ligi ianze.

Sema nyie arsenyani mnatuwaza sana man u utadhani uwaga mnashindana na sisi tu mwisho wa siku mna muachia city point 6
Sasa kiukweli mna timu gani jaman daah

Kina Anthony masebene?
 
Arsenal have sent a representative to Porto Alegre to make an opening proposal for Grêmio’s 23 year-old central midfielder, Bitello. The Brazilians want a transfer fee of €10m for the 70% of the player’s rights. Reports, @rafapfeiffer.
 
Nyie mwezi huu tu tunaanza kuwa kanyaga msiwaze Mpaka ligi ianze.

Sema nyie arsenyani mnatuwaza sana man u utadhani uwaga mnashindana na sisi tu mwisho wa siku mna muachia city point 6
Hawa Kondoo malengo wanayojiwekea msimu mzima ni kuifunga Utd.
Kwao kuifunga Man Utd ni zaidi ya kushinda World cup, ndio maana miaka zaidi ya 20 wamekua ni wasindikizaji kwenye ligi.
Vipigo walivyokua wanachezea kipindi cha SAF vimewaharibu sana kisaikolojia.
 
Hili jukwaa lenu ni kama kijiwe tu cha kawaha,
Jukwaa hili nalichukulia kama jukwaa la comedy(jokes) nakuja humu kupunguza stress tu kwa story za uongo uongo mixer na zile kamba za hamis77
ila Asenyo msimu huu mpo vizuri mkijitahidi mnaweza kubeba kombe la Mapinduzi.
 
Arsenal had initially planned to give new signing Jurrien Timber minutes against Nürnberg tomorrow, hinting an announcement could be today.

[@Teamnewsandtix on IG] #afc
 
Ngoja timu tumpe dk shika maana mmeanza kunenepeana ovyo
 
Arsenal intermediaries have spoken to the Grêmio president over a deal for Bitello. Further talks will be held, during which Arsenal will make a formal offer. Arsenal know that Gremio want €10m for 70% & there's still negotiations to be done to close the deal.


[@rafapfeiffer YT]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…