Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Cheltako mnashuka daraja msimu huu Kama mwaka Jana mlinusurika Safari hii championship inawaitaKwa hiyo hichi ndio kikosi cha ubingwa au cha top foo?
Mkimaliza hata nafas y tano niitwe kibwengo, nimekaa paleee
Hiki kikos kinaanza kutoa vipigo tarehe 23 mwez huu kwa manjesta na Barcelona kule marekanHiki kikosi ata mimi kinanitisha, tutaenda kuvunjiana heshima na watu mtaani
Namuona nyumbu akifa nje ndani 6+ goals
Kenge chelshit huyu ndio tutambaka kabisa
Liverpunda anaenda kunipa 6 points
City azuie sare, tofauti na hapo tunabeba 6 points
hawataleta timu uwanjani
Sisi kazi yetu ni kuhifadhi comment kama izi ili inapofika April mwakani tuanze kuzichomoa wakati watu wanalia na kusaga meno.Maji mtaita mma View attachment 2682342
Kwanini msifukue wakat ligi inaanza hamkutuweka hata top 6 ,baadae tumeshika no.2 mnaona tumefeliSisi kazi yetu ni kuhifadhi comment kama izi ili inapofika April mwakani tuanze kuzichomoa wakati watu wanalia na kusaga meno.
Hamis mtonye Arteta kuwa Sancho yupo hewaniHATUJAMALIZAAA
Arsenal’s business is not complete. They would like to bring Roméo Lavia in from Southampton to add youth, depth and drive to the reconfigured engine room but a £50m asking price looks rich. Even though Reiss Nelson has signed a new deal, quality cover for Saka remains a live issue. Up front, at least one of Folarin Balogun and Eddie Nketiah is likely to depart.
(@NickAmes82 )
theguardian.com/football/2023/…
Ngoja kwanza zikibaki siku 2 dirisha kufungwa , kwasasa hatuna haraka Tena ya usajili , Main target zote tayariHamis mtonye Arteta kuwa Sancho yupo hewaniView attachment 2682780
Msimu huu ndio itakuwa balaaHii Arsenal haichoshi kuiangalia
Siwezi bishana na timu ambayo Haina CL mzee Bado inajiita kubwa wtfKubishana na plastic fan ni matumizi mabaya ya energy
Tajiri miluzi tayari kashamtamani Folarin, kama mimi isingekuwa sawa kumuacha.HATUJAMALIZAAA
Arsenal’s business is not complete. They would like to bring Roméo Lavia in from Southampton to add youth, depth and drive to the reconfigured engine room but a £50m asking price looks rich. Even though Reiss Nelson has signed a new deal, quality cover for Saka remains a live issue. Up front, at least one of Folarin Balogun and Eddie Nketiah is likely to depart.
(@NickAmes82 )
theguardian.com/football/2023/…
Nasikia wanamnyemelea ,tuwauzie kwa €50mTajiri miluzi tayari kashamtamani Folarin, kama mimi isingekuwa sawa kumuacha.