Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna waganga wa kienyeji na Kuna mganga wake elneny

Mara nyingi tunamkumbuka elneny dirisha la usajiri likifungwa


Mganga wake elneny akiniambia nivunje Nazi pale mataa k/koo karibu na mtaa wa Congo, sijiupizi mara mbili
 
Nimekujibu sababu umemuita mwenzako plastic fan. Mimi man U lakini ukiniuliza kati ya Arsenal na Madogo wa man city nani ana mafanikio zaidi nitachagua man city kawazidi mafanikio na ni mkubwa kuliko nyie.
Hao man city hawana historia yyte na EPL nakuona msimu ujao 10Hag akiwashusha daraja mnavojpendekeza kwa Mancity
 
Mkuu historia ni nini?. Hiki wanachokifanya Man City sasa hivi ndio wanayengeza historia tayari miaka 10 mbele hutaweza tena kuwaweka na Arsenal katika sentensi moja.
Next season tunabeba EPL tuwazibe midomo
Naon iyo Carabao inakupa jeurii
 
Arsenal captain, Martin Odegaard on instagram, back training for the upcoming season, with the caption:

“Hungrier than ever
 
We na katimu kako hako kasichokua hata na historia kikimaliza juu ya chelsea, niitwe mbwa.
Sawa Mwajuma...tunahifadhi hzi comment...umeshataja jina la pili la kukuita...kuna Mwajuma na Mbwa...kama la tatu lipo liseme kbsa...maana nyny nafasi yenu ni ya nane msimu huu unaoanza
 
Sawa Mwajuma...tunahifadhi hzi comment...umeshataja jina la pili la kukuita...kuna Mwajuma na Mbwa...kama la tatu lipo liseme kbsa...maana nyny nafasi yenu ni ya nane msimu huu unaoanza
Huyo dogo walitamba na kusema watapigania ubingwa last season ,wakasema Arsenal hata top 6 hatuingii

Timu yake ikaanza kugombea kushuka daraja , akapotea mazima akarudi kuishabikia city

Kilichobaki sasa wanaishangilia city ,

Timu yake imesharudi kuwa middle team , siku hizi tunawapiga nje ndani
 
Sawa Mwajuma...tunahifadhi hzi comment...umeshataja jina la pili la kukuita...kuna Mwajuma na Mbwa...kama la tatu lipo liseme kbsa...maana nyny nafasi yenu ni ya nane msimu huu unaoanza
Nikishika ya nane basi nyie mtakua chini yetu, mana nishasema Arse88 hawez kumaliza juu yetu. Tupo hapa
 
Utashangaa pochitino anakuja anachukua ubingwa na anaondoka nyie mpo tu, omnaovalodi na kupress.
Wewe hiyo timu hata , Astonvilla humuwez , top 10 unamtoa Nan pale uingie wewe

Yaan kwa timu hii mjiandae kuleta point 6 Tena msimu wa 3 mfululizo
 
JEZI NO. 2


Kama tulivyo bainisha William Saliba atavaa jezi namba 2 msimu ujao... kwa kipindo kisicho pungua miaka 30, jezi namba 2 imevaliwa na watu wanne tu!

Lee Dixon 1988- 2002.

Abou Diaby 2005- 2013

Mathieu De buchy 2014- 2018.

Hector Bellerin 2018- 2022.
 

Hapa jamaa ilibidi asaini. Maana hilo roba alilopigwa na boss huku akiambiwa 'kijana, usiposaini nitakupoteza'...
 
Thaman ya kikosi Cha Arsenal Sasa Ni £1B+ ,

Arsenal wakimtamgaza Rice na Timber Basi ndio kitakuwa kikosi chenye Thaman kubwa duniani

Manchester City built a squad worth £1.19billion using £1billion.

Meanwhile, Mikel Arteta built a squad worth £1.05billion using £600M.

Manager
 
Bora tukuite MBWA kuliko mwajuma Kama ulivyokua unataka
Sijui anapata wapi nguvu zakubwata humu

Anajua kabisa ana Sterling na mudrky wanahitaji nafasi 10 wafunge Goli 1, Wana defense Dhaifu ikiongozwa na kepa ,

Cha ajabu anakuja kusumbua humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…