Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,333
- 2,598
Sasa hii tabia gan watoto wa kiume kwenda kwa wanaume wengine kuzomea? mambo ya kiwaki yamekuwa mengi kwa vijana ndo maana unayaona yanayotokeaMbona siku hizi mnapenda kuuongelea uchoko sana kila wakati? kama jamii tunaelekea wapi? mungu tunusuru. Hivi huoni kinyaa kuuzungumzia?
Kubishana na plastic fan ni matumizi mabaya ya energyTimu ndogo Sana hii ...
Haina historia yeyote balani ulaya ..
Epl 3
Fa 14
CL 0
Mtu kama huyu unabishana nae Kwa kigezo gani ,...
Mashabiki wengi wa arsenal ni wazee ,kina Edo kumwembe miaka 47+,,maana wameshabikia arsenal wakati unachukua league invisible,japo walikuja kuzibuliwa badae na man u ..ndio maana zunguka mtaa mzima huwezi Kuta shabiki wa arsenal wa miaka 27 kushuka chin ...
Hawa wa humu wote ni wazee ,tuwape heshima zao [emoji23]
Nyie kalieni tu kuwaita wenzenu plastic fans wakati wenyewe wanatengeneza historiaKubishana na plastic fan ni matumizi mabaya ya energy
Kwani nani Hana historia.Nyie kalieni tu kuwaita wenzenu plastic fans wakati wenyewe wanatengeneza historia
👉Roma haikujengwa siku moja
👉Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Nimekujibu sababu umemuita mwenzako plastic fan. Mimi man U lakini ukiniuliza kati ya Arsenal na Madogo wa man city nani ana mafanikio zaidi nitachagua man city kawazidi mafanikio na ni mkubwa kuliko nyie.
Watakwambia invisible ndio mafanikio makubwa,wakat hata Steven Gerald na uchanga wake wa ukocha anayo hiyo invisible.Nimekujibu sababu umemuita mwenzako plastic fan. Mimi man U lakini ukiniuliza kati ya Arsenal na Madogo wa man city nani ana mafanikio zaidi nitachagua man city kawazidi mafanikio na ni mkubwa kuliko nyie.
Wewe timu lako linapambania kushuka daraja msimu ujaoWatakwambia invisible ndio mafanikio makubwa,wakat hata Steven Gerald na uchanga wake wa ukocha anayo hiyo invisible.
Kuwa shabiki wa Ars88 ni zaid ya ukichaa.
Yani kwamba umeumia kumuita plastic fan, lakini umeona sawa kuiita Arsenal timu ndogo?Nimekujibu sababu umemuita mwenzako plastic fan. Mimi man U lakini ukiniuliza kati ya Arsenal na Madogo wa man city nani ana mafanikio zaidi nitachagua man city kawazidi mafanikio na ni mkubwa kuliko nyie.
We na katimu kako hako kasichokua hata na historia kikimaliza juu ya chelsea, niitwe mbwa.Wewe timu lako linapambania kushuka daraja msimu ujao
Cha ajabu unajipitisha humu kusaka furaha
Kwa timu hii unategemea Nan umtoe top 10View attachment 2682205
Endelea kushinda humu Kipind hiki ,We na katimu kako hako kasichokua hata na historia kikimaliza juu ya chelsea, niitwe mbwa.
Hawa jamaa nikuwapuuza maana hata wawili hawafikiYani kwamba umeumia kumuita plastic fan, lakini umeona sawa kuiita Arsenal timu ndogo?
Hao tunawaita plastic fans kwasababu hata huku mtaani, ukiwahesabu 10 hawafiki, na hapo wenyewe wanakwambia sio wafatiliaji sana wa mpira, lakini unashangaa anakucheka mkifanya vibaya
Ushabiki unawatia upofu. Arsenal hii kwa Chelsea tu haifui dafu wakati wanaendelea kuwaita wenzao plastic fans wenzao wanafukuzia record za Liver na UtdWatakwambia invisible ndio mafanikio makubwa,wakat hata Steven Gerald na uchanga wake wa ukocha anayo hiyo invisible.
Kuwa shabiki wa Ars88 ni zaid ya ukichaa.