Nimekuonyesha Chelsea big trophies for last 6 years.Wewe hata Forrest ana UCL Tena 2 lakini amerudi alipotoka , Chelkenge kwasasa wanagombea kushuka daraja ,level zao Sasa nikina forest , Luton fc
Kama kikos Cha 650 walitaka kushuka daraja ,vipi kuhusu Hawa kina Jackson na muddy ambaye hata Goli la offside Hana
Aisee na hiv mmemuondoa Degea ambaye mechi nyingi mlikuwa mle 5-0,6-0,7-0 mnamleta onana ,jiandaen kutafuta mchawi ,mm sio nabii au mganga wakati Chelsea wanamsajili kepa niliwaandama Huyo kipa Ni pazia , had walielewa ,namaanisha Nini, msimu uliopita kacheza game nyingi , wametoboka Sana , hiki kinaenda kuwakuta nyumbuUnited msimu huu Uefa tumekosakosa sana fainali.
Save hii comment nimekaa paleeee.
Yaani umejichagulia 6yrs ,Mimi nakupa miaka 50 hapo vipiNimekuonyesha Chelsea big trophies for last 6 years.
Wewe tuonyeshe japo one big trophy kama hizo ambayo Arsenyo amepata for last 20 years?
Yaani timu lenu miaka 8 mtawaliwa mmeshindwa kuingia hata kwenye top4 unapata wapi nguvu ya kuisema timu kubwa duniani kama Chelsea kua ni middle table team? View attachment 2681040View attachment 2681042
Huyo De gea msimu ulioisha wote kadaka yeye na hizo 4-0, 5-0, 7-0 tumechezea vilevile kwa hio hata Onana akisajiliwa na tukazichezea tena hakuna kitu cha ajabu.Aisee na hiv mmemuondoa Degea ambaye mechi nyingi mlikuwa mle 5-0,6-0,7-0 mnamleta onana ,jiandaen kutafuta mchawi ,mm sio nabii au mganga wakati Chelsea wanamsajili kepa niliwaandama Huyo kipa Ni pazia , had walielewa ,namaanisha Nini, msimu uliopita kacheza game nyingi , wametoboka Sana , hiki kinaenda kuwakuta nyumbu
Hata Anthony nilikwambia mmepigwa mech ya kwanza tu ulibisha Sana ,leo mnakubali pale mmetapeliwa
Ifike muda uwe unanisikiliza mchambuzi nguli
Manjesta mtachezea vipigo vitakatifu msimu huu ,ujue Degea hafai ila kwa timu yenu ungaunga mwana bado mnamuhitaji lasivyo sitashangaa mkichezea 4-0,5-0 had 7-0
Mfano ile mechi ya Emirates dakika 20 mnapumuliwa tu ,imagine una kipa pazia ,
Kaka flano unaalikwa 😆😆😆Leo tutakuwa Na Space Yetu Watu Wasoka Si Ya Kukosa.
Mimi Kama Mchambuz Nguli Kuhusu Soka nitamwaga Madini Leo Karibu San Watu Wote
View attachment 2681026
Mbappe hawezi kuja Arsenal. Sidhani kama Arsenal inawezana na wachezaji wenye ego
Yaani umejichagulia 6yrs ,Mimi nakupa miaka 50 hapo vipi
Chelkenge bado timu ndogo kwa Arsenal kwa kila kitu
Arsenal alikuwa sleeping giant tu ,now tumerud ,
Mwambie shabiki yeyote wa Chelsea akupangie first eleven yake amuweke hata CaicedoNajiuliza kama Pochettino ni kocha wa kumfanya mtu awe jeuri humu na sioni ni kivipi unatakiwa kupiga kelele kwa wingi.
Alikua Spurs, alikua PSG. PSG ilitoka kwenye ligi tano bora ikarudi Messi alivyoenda. Akapoteza dressing room, uwanjani timu ikacheza individually. Ameonyeshwa mlango karudi Uingereza.
Analeta nini mezani? Man management siyo nzuri, mpira ni counter zaidi kuliko possession mimi naona ataanza slow, momentum kidogo kisha atarudi average na hapo ni kama watasajili ST. Wasiposajili itakua ni mwendelezo wa msimu uliopita.
Kikosi kimevimbiana wanakipunguza lakini wamepunguza mpaka mabeki.
Hata Forest anazo 2Mhh kaka,Timu inayuefa mbili na yuropa mbili hebu tuwe wa wazi tu.
Kaka flano unaalikwa
Msimu uliopita ligi haijaanza top 4 walikuwa wanawekwa Hadi Chelkenge ,Hizi kelele za aseno hii unaweza kuigopa kumbe ngoja ngoma ikoleee kwanza
Wewe tulia timu iuzwe kwa Dr.shikahuko hakuna uchambuzi wowote labda uchafuzi tu.
Mi nitabanana nao hapahapa tu, sitaki kupigiwa makelele halafu masikio yangu yakaharibika bure.
Kwanza sipati picha hio mitusi wanayotukanana humu kwa maandishi itakavyosikika huko kwa sauti.
Huo mshahara wenyewe wa kumlipa mnao?Mbappe hawezi kuja Arsenal. Sidhani kama Arsenal inawezana na wachezaji wenye ego
Sasa Kama mlichezea 5-0,4-0 had 7-0 Basi mlitakiwa kupigwa 10 kabisaHuyo De gea msimu ulioisha wote kadaka yeye na hizo 4-0, 5-0, 7-0 tumechezea vilevile kwa hio hata Onana akisajiliwa na tukazichezea tena hakuna kitu cha ajabu.
Ila shabiki wa Arsenyo kusema Chelsea ni middle table team ni zaidi ya uhaini.
Nakumbuka ulisema Kama watasajili ST wakamleta Auba Hali ikawa mbaya zaidi,Najiuliza kama Pochettino ni kocha wa kumfanya mtu awe jeuri humu na sioni ni kivipi unatakiwa kupiga kelele kwa wingi.
Alikua Spurs, alikua PSG. PSG ilitoka kwenye ligi tano bora ikarudi Messi alivyoenda. Akapoteza dressing room, uwanjani timu ikacheza individually. Ameonyeshwa mlango karudi Uingereza.
Analeta nini mezani? Man management siyo nzuri, mpira ni counter zaidi kuliko possession mimi naona ataanza slow, momentum kidogo kisha atarudi average na hapo ni kama watasajili ST. Wasiposajili itakua ni mwendelezo wa msimu uliopita.
Kikosi kimevimbiana wanakipunguza lakini wamepunguza mpaka mabeki.