Timu lipo kwenye race ya ubingwa linapigwa comeback na WHU.
Mimi najua unajifariji maana ligi ikianza Ni vichapoUkimuona shabiki yoyote wa Arsenyau anafuraha halafu anaanza kunenepa we muonyeshe tu picha hizi atarudi mwenyewe kwenye default modeView attachment 2680856View attachment 2680857View attachment 2680858
Maumivu ya kusema mtagombea ubingwa mkajikuta mnagombea kucheza Europa Ni makubwa ,Timu lipo kwenye race ya ubingwa linapigwa comeback na WHU.
Hii timu ina laana
Tulipoteza mechi ya muhimu katika timu inayojielewa ila sio kwa WHU.Maumivu ya kusema mtagombea ubingwa mkajikuta mnagombea kucheza Europa Ni makubwa ,
View attachment 2680871
3-3 crystal palaceTulipoteza mechi ya muhimu katika timu inayojielewa ila sio kwa WHU.
Puuzi kabisa timu mpaka mwezi wa nne linaongoza ligi halafu limekuja kuhanithiwa mwishoni tena kwa kupigwa comeback na WHU.
Oya hivi mnaamini hata top 6 mtanusa kweli kwa sajili zenu za ovyo zinazoendelea?Arse8 ni sawa na yule mbwa wako unayedhani ni mkali sana, siku ukampeleka josho kumuogesha akakutana na mambwa ya polisi ghafla akaanza kuingiza mkia matakoni na kulala chini huku analia kwa uwoga.
Mkuu Hatutakuita mwajuma, hii michezo ya watoto wa kiume kujitangaza mabinti labda mkafanye Kule Kule ukengeni chelshit fc
1. Arsenal NDOO
2. City
3. Newcastle
4.
.
.11 kenge fc
Miaka 20 sasa hamna EPL
Jiandaeni kuishi maisha tuliyoyaishi wana LFC, Sema ninyi mtatoboa 80 Kabisa bila LIGI.
Ushindwe kunya mwaka Jana mlijiweka top 4 ,mkajikuta nafas ya 12 ,Arsenal mliyesema haingii hata top 6 ,akagombea ubingwaNita kunya humu humu Jamii forum
Ushindwe kunya mwaka Jana mlijiweka top 4 ,mkajikuta nafas ya 12 ,Arsenal mliyesema haingii hata top 6 ,akagombea ubingwa
Kwasasa tunajua insulin lazima ziwapande ,mlisema hatuwez kumnunua Rice ,tumeshusha Tena over £100m+
Kwasasa ramli haziwasaidii ,jengen timu zenu ,sio ligi zikianza mnahamia kumshabikia city
Akikujibu najiuaMkuu mwaka jana una utofauti gani na chelsea?
Pamoja na ubora wako lakini ukatoka kapa bila hata kombe la embe. Niambie umeachieve nini msimu huu ulioisha?
Kurudi kucheza UEFA mkuu..kombe la klabu bingwa....nyie mme achieve nn mkuu kwny nafasi ya 12Mkuu mwaka jana una utofauti gani na chelsea?
Pamoja na ubora wako lakini ukatoka kapa bila hata kombe la embe. Niambie umeachieve nini msimu huu ulioisha?
Tazama huyu.😂Kurudi kucheza UEFA mkuu..kombe la klabu bingwa....nyie mme achieve nn mkuu kwny nafasi ya 12
Kurudi kucheza UEFA mkuu..kombe la klabu bingwa....nyie mme achieve nn mkuu kwny nafasi ya 12
Kurudi kucheza UEFA mkuu..kombe la klabu bingwa....nyie mme achieve nn mkuu kwny nafasi ya 12
Yaan umalize nafas ya 12 ujifananishe na Arsenal ambaye kamaliza nafas ya 2 ?Soma thread uelewe.
Nimesema ivi mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive kitu chochote msimu huu pamoja na ubovu wake?
Ninyi mlikuwa bora kuliko chelsea lakini pamoja na ubora wenu mmeachive nini?
Najua timu bora lazima imalize msimu na kombe au makombe nini vip?
Mkuu Hatuchekani kwa sasa cheka baada ya kupata kakikombe hata cha pombe tu