Mkuu Hatutakuita mwajuma, hii michezo ya watoto wa kiume kujitangaza mabinti labda mkafanye Kule Kule ukengeni chelshit fcKwa hiyo kw akili yako timamu Enzo na Mudryk unaona miluzi amepgwa?
Hao wakija kwenye hako katimu ka mchongo hakuna wa kuwaeka bench.
Nyie Arse88 na Newcastle hat kwnye top 3 siwaoni, tupo hapa.
#Arse88 mkimaliza juu y chelsea niitwe mwajuma.
Manyumbu walikuwa wanawaza nini hadi wamwalike uwanjani? Kwanini wasingemaliza dili mapema kama walikuwa na ukaribu na mchezaji?Jurrien Timber akielekea Wembley kuangalia mech ya manjesta vs city ambayo alialikwa na 7+3hag
Maafisa wa Arsenal siku hiyo hiyo baada ya mechi walimuiba na kumpeleka ofisini kwa Arteta, baada ya hapo hakutaka Tena kusikia habari za manjesta ,
Leo yupo London kafanyiwa vipimo kujiunga na Arsenal
Atajiunga na timu kuelekea marekani anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya manjesta ,July 22View attachment 2680531
Simple tu ,huhitaji kutumia akili nyingi ,Kwa hiyo kw akili yako timamu Enzo na Mudryk unaona miluzi amepgwa?
Hao wakija kwenye hako katimu ka mchongo hakuna wa kuwaeka bench.
Nyie Arse88 na Newcastle hat kwnye top 3 siwaoni, tupo hapa.
#Arse88 mkimaliza juu y chelsea niitwe mwajuma.
sorry bro ivi hamis77=aroonarsenalSimple tu ,huhitaji kutumia akili nyingi ,
Trossard ambaye Ni Bora kuliko huyo mudrky ambaye Hana hata Goli la offside Arsenal anasubiri , vipi huyo muddy hata bench hakai, hapo mmepigwa kweupe
Mlisajili Enzo mkiwa nafasi ya 10 ,akawashusha had ya 12
Msimu huu ndio kwanza mnasajili wandengereko kina Jackson ,had Sasa Astonvilla ana strong team kuliko chelkenge ,
Bado Golin mna kepa pazia
sawa mgangaMiaka 20 sasa hamna EPL
Jiandaeni kuishi maisha tuliyoyaishi wana LFC, Sema ninyi mtatoboa 80 Kabisa bipa LIGI.
Vzrsawa mganga
tumekusikia
No ,whysorry bro ivi hamis77=aroonarsenal
Tunajua Arsenal inavyoimarika lazima insulin ipande ,mwaka Jana mlisema hata top 4 hatuingii , mwisho mkabadili kauli,Miaka 20 sasa hamna EPL
Jiandaeni kuishi maisha tuliyoyaishi wana LFC, Sema ninyi mtatoboa 80 Kabisa bila LIGI.
Habar za asubuhi Wana Arsenal Leo tutakuw na space Usiku pale Twitter kuzungumzia mambo Mbali Mbali haswa kuhusu Usajili
Sorry nilisahau kusema ,Ni 2:30 usikuMuda
Partey ana miaka 30 Sasa na rekodi ya majeruhi yake akijitahidi sana ana miaka 4 mpk 5 amebakiza kwny gemu...akubali akachukue oil money huko za kustaafia maana najua mshahara watampa mkubwa....timu anazotaka hzo za Italy hazina hela sasahv zimechoka....au kama Juve wako serious tufanye swap deal for players plus cash...tuwape Partey plus cash kidogo wao watupe Vlahovic....good business after all wachezaji wote hao wameonesha nia ya kutaka kupata challenge mpyaArsenal watamuuza Partey iwapo ofa ya £40-45m itakuja na si vinginevyo
Timu za Saudia zipo tayari kulipa hiyo hela ,ila Partey hataki kwenda huko , Juventus wanaomuhitaji inawabidi walipe pesa ya kushawishi otherwise Partey hatauzwa ,Kama Partey ataondoka Arsenal wanamuona Romeo Lavia na Aurelian Tchoumen Kama wabadala sahihi
Madrid wanahitaji kumsajili Mbappe lakin wanahitajika kuuza mchezaji mmoja kwa €80-90m ili wapate pesa ya kumsajili Mbappe
Tchoumen na Fede Valvede itawalazimu mmoja wao wamuuze
Parteys camp have told Saudi clubs that the player currently does not favor a move there. Initials talks with Juventus but Arsenal would want significant fee based on how much they signed the player for
(@jamesbenge )
Sidhani kama Arsenal ina mpango na Vlahovic au Mudryk au Locatelli. Sijawahi ona Arsenal au liva imemtaka mchezaji halafu mchezaji akagoma ila baadaye akataka kuja wakamfuata tena. Hii ni kuepuka mchezaji kua na ego mfano halisi MbappePartey ana miaka 30 Sasa na rekodi ya majeruhi yake akijitahidi sana ana miaka 4 mpk 5 amebakiza kwny gemu...akubali akachukue oil money huko za kustaafia maana najua mshahara watampa mkubwa....timu anazotaka hzo za Italy hazina hela sasahv zimechoka....au kama Juve wako serious tufanye swap deal for players plus cash...tuwape Partey plus cash kidogo wao watupe Vlahovic....good business after all wachezaji wote hao wameonesha nia ya kutaka kupata challenge mpya
Kwa hiyo kw akili yako timamu Enzo na Mudryk unaona miluzi amepgwa?
Hao wakija kwenye hako katimu ka mchongo hakuna wa kuwaeka bench.
Nyie Arse88 na Newcastle hat kwnye top 3 siwaoni, tupo hapa.
#Arse88 mkimaliza juu y chelsea niitwe mwajuma.
Nawasalimu wana Gunners. Je mnaikumbuka hii Fainali?View attachment 2680220View attachment 2680221View attachment 2680222View attachment 2680224