Partey
Rice
Kai
Odegaard
Jorginho
Emil smith Rowe
Trossard mkemia mkuu
KWA HIKI KIUNGO UNAFANYWA CHOCHOTE
Taja timu yako kwanza ,ukute ina bajet ya £40mUkisikilizaga ngonjera za usajili za hiki kilinge unaweza dhani wapo serious subiri ligi ianze sasa.View attachment 2678590
Kama kawaida yenu mpo kileleni mwa ligi.Taja timu yako kwanza ,ukute ina bajet ya £40m
Nakumbuka mulisema Arsenal haiwezi kuingia top 4 Sasa munasema kuwa wapili musimu uliopita wamefeli hakika Arsenal Sasa Ni level za juuKama kawaida yenu mpo kileleni mwa ligi.
Tutakuwepo hapa kuwapa pole pindi vilio vitapoanza kutamalaki. View attachment 2678613
Sio chuki sasa kuichukia timu kama Arsenal si matumizi mabaya ya chuki. Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi. Ngoja tuone msimu unaokuja labda mnaweza kuwa tofauti sababu mmepunguza ubahili kidogoNakumbuka mulisema Arsenal haiwezi kuingia top 4 Sasa munasema kuwa wapili musimu uliopita wamefeli hakika Arsenal Sasa Ni level za juu
Kama ulimtabiria mutu kifo lakini kanenepa Unasema bado hajafanikiwa Basi una kiwango Cha juu Cha CHUKI
Acha uchawi ,Arsenal imeshachukua EPL bila kufungwa na hakuna kima yeyote kafikia hiyo rekodiSio chuki sasa kuichukia timu kama Arsenal si matumizi mabaya ya chuki. Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi. Ngoja tuone msimu unaokuja labda mnaweza kuwa tofauti sababu mmepunguza ubahili kidogo
Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barabarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.
Camavinga ni bora zaidi... pale kwa xhaka, camavinga anazims vizuri zaidi.Nacheka lakini naogopa
Wakati kina Flano wamebakiwa na salio £40m
Arsenal tunajiandaa ku splash another €100mView attachment 2678323
Huyu Flano mbona mwehu kitambo tu MkuuNimesoma mistari michache nikacheka na kulike kwanza ndo nikamalizia kusoma. We jamaa nenda pale mirembe kama hauna room tayari pale
wale Brighton hawafai atakae sogea pale kwa mitoma ni £80-90MSamuel Chukwueze mnamuonaje? Ataweza kukiwasha right wing Kwa Saka?
Binafsi namuona ni Antony muafrika ingawa anafurahisha kumuangalia. Pia naona kama anaweza kuwa mwepesi sana Kwa premier league na wapinzani watamzidi sana nguvu.
Pia anategemea sana mguu wa kushoto. Hata kupiga tu shuti au kufunga Kwa tap-in Kwa mguu wa kulia nadhani hawezi. Ila akiwa na mpira mguuni hakuna beki anayetamani kumkaba Tumehusishwa nae.
Je hatupaswi kumuangalia Mitoma wa Brighton?