Manjesta imefilisika haiwezi hata kusajili Wala kuuzaWaarabu hawalipi mishahara mbuzi kama hio wanayolipa Kroenke's.
Mshahara wa Ronaldo peke yake huko Uarabuni inaweza fikia nusu ya mishahara ya kikosi kizima cha Arsenyo.
Pesa ya kulipa mshahara wa Mbappe timu masikini kama Arsenyo haina, labda timu iuzwe halafu pesa yote itayopatikana kwenye mauzo ndio inaweza tosha kulipa mshahara wa Mbappe.
Achaneni na kelele za Mbappe humu mnajichosha bure, nyie nendeni mkatafute mafungu ya kina Sambi Lokonga wengine ndio size yenu.
Cha ajabu unaamini mbappe anaweza kucheza timu Kama manjesta ambayo haijulikan inacheza aina gan ya mpira ,timu ambayo imekuwa sehemu ya wastaafu kula pension ,Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barbarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.
Arsenal kwenye mauzo tumekuwa ovyo ndio maana ilibidi tuingie hasara kuvunjia mikataba wachezaji mizigo walionunuliwa kwa pesa kubwa na kulipwa pesa ndefu ,lengo ilikuwa kuunda timu yenye thamani lakini pia kuweza kuuzaHapa napingana na wewe, tunaitaji Kombe wala sio Cash, Man city alisubiri kwa Gundo wala hakuitaji cash aliitaj kombe
Cancelo Ni beki wa kulia na kushotoHakuna brother, shughul yake ishaisha kitambo sana, hakuna Room ya Caicedo Arsenal chakwanza ni bei ,Arsenal haiwez kutumia £200M kwa Dm wawili tena kwenye dirisha moja.
Arsenal imeuza Nan ili ijiendeshe?Acha kufananisha timu tajiri kama Mancity inayomilikiwa tajiri mkubwa Sheikh Mansoor na katimu maskini kama Arsenyo.
Arsenyo kujiendesha kwake inategemea kuuza baadhi ya wachezaji ili pesa inayopatikana ndio inalipa mishahara ya wachezaji wengine.