Yaani mtu anaumia kabisa ,dah [emoji1787]Kwhyo ulitaka tusijadili mkuu...kama inakuchukiza sana ungebaki kwenye jukwaa la timu yako kule mbona rahisi tu...kuhusishwa timu yetu na Mbappe sio ishu na inajulikana ni rumours za hewani tu....Sasa watu hawazuiwi kudiscuss hata kama ni pumba...ww kama ni WA Man UTD...nenda kule kwenu kajadilini updates za mwarabu kupewa timu na £milioni 40 mliyobakiwa nayo kusajili...kama ni Chelsea nenda kakadili kikosi chenu namna mtakavyogombea top 10 msimu ujao...kama ni Liver nenda kajadili namna mtakavyobeba ndoo kama mnavyoaminishana...lakini kuleta kejeli kisa watu Wana discuss mustakabali wa timu Yao huko ni kuwashwa kusiko na msingi
Basi mnatafuta vistat. uchwara ili kujipa moyo. Mmepgwa hana thaman hiyo y 100Total ball carry distance (metres) across Europes big 5 leagues 21/22 [emoji460]️[emoji2089]
5152 - Declan Rice [emoji1022]
5055 - Maxime Lopez [emoji634]
4965 - Vinicius Junior [emoji633]
4897 - Jimmy Cabot [emoji632]
4860 - Saint Maximin [emoji1022]
Elite ball carrier [emoji94]
Stats from @OptaJoeView attachment 2677917
Wewe unaumia Nini ,mbona mwaka Jana mmesajili magarasa kwa £650m ,mkataka kushuka darajaBasi mnatafuta vistat. uchwara ili kujipa moyo. Mmepgwa hana thaman hiyo y 100
Acha wivu na umaskini mkuu[emoji23], utakuja kuwa mchawi....Basi mnatafuta vistat. uchwara ili kujipa moyo. Mmepgwa hana thaman hiyo y 100
Livakuku wameshatia mkono.Arsenal are ready to make a move for the Southampton midfielder Roméo Lavia once the signing of Declan Rice from West Ham United is completed
Times Sports
Mim ni muumin namba moja wa Partey na toka tetesi za mwanzo kabisa kuhusu Partey kuondoka nilipinga na ntapinga hadi mwisho, nilichosema ni taarifa tu za Lavia atasajiliwa endapo partey ataondoka.Mkuu statement yako ya mwisho upo serious kweli?mchezaji asubiri mwenzake auzwe huku kuna Giant anamnyemelea?
Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.Kwhyo ulitaka tusijadili mkuu...kama inakuchukiza sana ungebaki kwenye jukwaa la timu yako kule mbona rahisi tu...kuhusishwa timu yetu na Mbappe sio ishu na inajulikana ni rumours za hewani tu....Sasa watu hawazuiwi kudiscuss hata kama ni pumba...ww kama ni WA Man UTD...nenda kule kwenu kajadilini updates za mwarabu kupewa timu na £milioni 40 mliyobakiwa nayo kusajili...kama ni Chelsea nenda kakadili kikosi chenu namna mtakavyogombea top 10 msimu ujao...kama ni Liver nenda kajadili namna mtakavyobeba ndoo kama mnavyoaminishana...lakini kuleta kejeli kisa watu Wana discuss mustakabali wa timu Yao huko ni kuwashwa kusiko na msingi
Hapa napingana na wewe, tunaitaji Kombe wala sio Cash, Man city alisubiri kwa Gundo wala hakuitaji cash aliitaj kombeKwa stats hizo Rice yupo juu ,maana timu yake mentality yake Ni kuzuia
Hadi pass anamzidi Rodrigo
Partey anauzwa Kama ofa ya maana inakuja ,na hakuna muda ambao Arsenal wanaweza kupata cash kwa Partey isipokuwa sasa
Elewa atauzwa ofa yakueleweka ikija
Hakuna brother, shughul yake ishaisha kitambo sana, hakuna Room ya Caicedo Arsenal chakwanza ni bei ,Arsenal haiwez kutumia £200M kwa Dm wawili tena kwenye dirisha moja.ARSENAL HAWAJAMALIZA ,BADO WANAMTAKA CANCELO
[emoji599](bit of a strange one considering circumstances)
Arsenal are now "hot" for Cancelo. Player is on top of Arsenal list. Henrichs and Boey are also seen as alternatives.
Cancelo wishes to go to spain but no concrete offers.
(@kicker_BL)
🤣🤣Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barbarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.
Acha kufananisha timu tajiri kama Mancity inayomilikiwa tajiri mkubwa Sheikh Mansoor na katimu maskini kama Arsenyo.Hapa napingana na wewe, tunaitaji Kombe wala sio Cash, Man city alisubiri kwa Gundo wala hakuitaji cash aliitaj kombe