Kwa timu ambayo inazuia halafu jamaa ana stats hizi,itoshe kusema anajua View attachment 2677207
Tukisema baadhi ya Mashabik wa Gunners uwa ni wehu mtuelewe tu.
Utasema huyu ni mzima kweli na ndo Yupo AFTV huyu kama mwakilishi wenu. View attachment 2677224
Yan hii AFTV uwa ni kama vichekesho yan ni watu wa ovyo sana bas tuNadhani wa mashabiki serious wa Arsenal hawajiusishi na AFTV
Siyo channel rasmi ya club....ni channel wametengeneza ku discuss ishu za club Yao...kwhyo Wana uhuru wa ku discuss rumour yyte...na ukiangalia hapo hyo sentensi ni kama anauliza swali....hlfu kinachowawasha ni nn hasa mnaposikia Arsenal inahusishwa na Mbape...mnaumia kwlikwli....after all tunajua Mbappe destination yake ni Madrid...hzi zingine ni changamsha genge tu...kule ndo anaweza akatulia na ile Ego yake maana kuwa na mtu kama yle ni kama kuweka bomu chumbani kwakoTukisema baadhi ya Mashabik wa Gunners uwa ni wehu mtuelewe tu.
Utasema huyu ni mzima kweli na ndo Yupo AFTV huyu kama mwakilishi wenu. View attachment 2677224
Safi sana....Napenda mashabiki wenye IQ ya uelewa kama wewe.....Kama Partey hatauzwa tena kwa Bei nzuri Arsenal biashara ya kununua Midfield imeisha hapo.Hatujapeleka ofa uzuri msimu huu kila tukipeleka ofa tunarudi na mchezaji, pili partey akisepa utamuona Lavia pale London.
Mkuu ndio ukweli huo Bila Partey kuondoka hakuna Lavia.Mkuu statement yako ya mwisho upo serious kweli?mchezaji asubiri mwenzake auzwe huku kuna Giant anamnyemelea?
Yaani inasikitisha Sana, yaani Mbappe kuhusishwa na Arsenal mtu anaumia, halafu Ni hao hao waliosema Rice hawez kuichagua Arsenal aiache mancity , hao hao waliosema Arsenal haiwez kutoa £100mSiyo channel rasmi ya club....ni channel wametengeneza ku discuss ishu za club Yao...kwhyo Wana uhuru wa ku discuss rumour yyte...na ukiangalia hapo hyo sentensi ni kama anauliza swali....hlfu kinachowawasha ni nn hasa mnaposikia Arsenal inahusishwa na Mbape...mnaumia kwlikwli....after all tunajua Mbappe destination yake ni Madrid...hzi zingine ni changamsha genge tu...kule ndo anaweza akatulia na ile Ego yake maana kuwa na mtu kama yle ni kama kuweka bomu chumbani kwako
Kama anafanya interception nyingi,anapiga pass za mbele nyingi, zinazofanikiwa kwa timu inayoshambuliwa sana Basi tuna expect kwa timu Kama Arsenal inayo possess Sana Basi atafanya vzr zaidiSiyo kwamba anafikia huko Kwa sababu timu yake inazuia sana? Ni kama makipa wanaoshambuliwa sana (kina De Gea) huwa Wana saves nyingi pia...
Manyumbu Yana kocha mzuri lakini recruitment Yao ni sifuri...wanatakiwa waanze moja kabisa sio kuleta ujanjaujanja kama wanaoufanya Sasa....Chelsea wanachokifanya ni ku bet ila kikilipa rasmi watakuwa wamerudi... Liverpool Hawa wamesajili wachezaji wawili Sasa wanasema msimu ujao wanabeba EPL...labda waliibe....msimu unaofata ni Man City dhidi ya arsenal tena...hzi timu nyngne zijitafuteYaani inasikitisha Sana, yaani Mbappe kuhusishwa na Arsenal mtu anaumia, halafu Ni hao hao waliosema Rice hawez kuichagua Arsenal aiache mancity , hao hao waliosema Arsenal haiwez kutoa £100m
Lakin mtu Huyo Huyo anaamini mbappe anaweza kwenda manjesta kwenye timu isiyojulikana inacheza Nini na inaua vipaji , anaamini mbappe anaweza kwenda manjesta ambayo bajeti yao Ni £100m ambayo Arsenal imemsajiri mchezaji mmoja.
Acha kudanganya hizi kondoo.Manyumbu Yana kocha mzuri lakini recruitment Yao ni sifuri...wanatakiwa waanze moja kabisa sio kuleta ujanjaujanja kama wanaoufanya Sasa....Chelsea wanachokifanya ni ku bet ila kikilipa rasmi watakuwa wamerudi... Liverpool Hawa wamesajili wachezaji wawili Sasa wanasema msimu ujao wanabeba EPL...labda waliibe....msimu unaofata ni Man City dhidi ya arsenal tena...hzi timu nyngne zijitafute
Ww ndo kondoo mkuuAcha kudanganya hizi kondoo.
Hii sio hata changamsha genge huu ni ukosefu wa akil.. Huwez hata jarb weka sentence moja neno Arsenal na Mbappe ni kama dharau hata kama ulikua unachangamsha walevi iyo sio sawa hata kdg.Siyo channel rasmi ya club....ni channel wametengeneza ku discuss ishu za club Yao...kwhyo Wana uhuru wa ku discuss rumour yyte...na ukiangalia hapo hyo sentensi ni kama anauliza swali....hlfu kinachowawasha ni nn hasa mnaposikia Arsenal inahusishwa na Mbape...mnaumia kwlikwli....after all tunajua Mbappe destination yake ni Madrid...hzi zingine ni changamsha genge tu...kule ndo anaweza akatulia na ile Ego yake maana kuwa na mtu kama yle ni kama kuweka bomu chumbani kwako
Siyo kwamba anafikia huko Kwa sababu timu yake inazuia sana? Ni kama makipa wanaoshambuliwa sana (kina De Gea) huwa Wana saves nyingi pia...
Manyumbu Yana kocha mzuri lakini recruitment Yao ni sifuri...wanatakiwa waanze moja kabisa sio kuleta ujanjaujanja kama wanaoufanya Sasa....Chelsea wanachokifanya ni ku bet ila kikilipa rasmi watakuwa wamerudi... Liverpool Hawa wamesajili wachezaji wawili Sasa wanasema msimu ujao wanabeba EPL...labda waliibe....msimu unaofata ni Man City dhidi ya arsenal tena...hzi timu nyngne zijitafute
Kwa statistics hizi why tumuuze Partey?itakuwa ni ukichaa mkubwaView attachment 2677202
Kwhyo ulitaka tusijadili mkuu...kama inakuchukiza sana ungebaki kwenye jukwaa la timu yako kule mbona rahisi tu...kuhusishwa timu yetu na Mbappe sio ishu na inajulikana ni rumours za hewani tu....Sasa watu hawazuiwi kudiscuss hata kama ni pumba...ww kama ni WA Man UTD...nenda kule kwenu kajadilini updates za mwarabu kupewa timu na £milioni 40 mliyobakiwa nayo kusajili...kama ni Chelsea nenda kakadili kikosi chenu namna mtakavyogombea top 10 msimu ujao...kama ni Liver nenda kajadili namna mtakavyobeba ndoo kama mnavyoaminishana...lakini kuleta kejeli kisa watu Wana discuss mustakabali wa timu Yao huko ni kuwashwa kusiko na msingiHii sio hata changamsha genge huu ni ukosefu wa akil.. Huwez hata jarb weka sentence moja neno Arsenal na Mbappe ni kama dharau hata kama ulikua unachangamsha walevi iyo sio sawa hata kdg.
Khs sio channel ya club au la iyo sisi haituhusu.. Hao ni washabik wa Arsenal na inaonesha jinsi gani wengi wenu mlivo vichwa maji high hopes wkt team yenyw ya kawaida.. Ndo maana mkifungwa hapa mnapotea hamlitak jukwaa lenu.. Jamaa yenu kaja na tetes za usajil humu mmejazana kujazana upepo kua next season mtakua watu tishio la kuotea mbali.
Mimi sio shabiki wa arse88Ww ndo kondoo mkuu