Ile mechi kama sikosei kadi nyekundu ya Diaby ilitugharimuNilikua naangalia super sport marudio y mech kati y Arse88 Vs Newcastle msimu 2010/2011 Arse88 walikua wanaongoza goli 4 kipindi ch kwanza, game likaisha 4 kwa 4. Nyie Kondoo kumbe nuksi limeanza siku nyingi. Mmelaaniwa
View attachment 2676703
prodigy ni nini mkuu
Mwanagu mwenyewe HAMIS 77 nani tena mnamtaka baada ya TIMBER
Lavia au Tchoumen na I think kuna surprise ya CF mmojaMwanagu mwenyewe HAMIS 77 nani tena mnamtaka baada ya TIMBER
Hatujapeleka ofa uzuri msimu huu kila tukipeleka ofa tunarudi na mchezaji, pili partey akisepa utamuona Lavia pale London.Deal la ROMEO LAVIA limefikia wapi ???
Hatujapeleka ofa uzuri msimu huu kila tukipeleka ofa tunarudi na mchezaji, pili partey akisepa utamuona Lavia pale London.
Yah ndio hiyo hiyo, goli la nne la kusawazisha alifunga marehemu Teote, muwa hapa na chalinze.Ile mechi kama sikosei kadi nyekundu ya Diaby ilitugharimu
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Manjesta nasikia bajet imebaki £40mWenger orphans kwenye kelele za usajili mpo vizuri sana ngoja ligi ianze uone mnavyolialia hapa.
Kwanza kwanini Amna hata kombe la ulaya poor Wenger orphans
Mkuu statement yako ya mwisho upo serious kweli?mchezaji asubiri mwenzake auzwe huku kuna Giant anamnyemelea?Hatujapeleka ofa uzuri msimu huu kila tukipeleka ofa tunarudi na mchezaji, pili partey akisepa utamuona Lavia pale London.
Kwa stats hizo Rice yupo juu ,maana timu yake mentality yake Ni kuzuiaKwa statistics hizi why tumuuze Partey?itakuwa ni ukichaa mkubwaView attachment 2677202