Mwendo wa spana tu kw hawa makondoo, timu gani haina hata kombe moja la ulaya halafu wapo tu wananenepeana na kufurahia sajili walizopgwa, ni dharau sana sana kuona shabiki wa Ars88 ana furaha.Mkohoti umejua kuzitaabisha mbavu zangu.
Yaani hawa mashabiki wa Arsenyau laiti timu yao ingebahatika kua hata na Europa Cup sijui hali ingekuaje humu.
Huyu ni mtu wa ovyo sana alivo jikausha saivi kama sio yy kbs na Tetes zake za usajili
Hapo unakosea Sasa mkuu...hzi tetesi za usajili yy hatungi...kwhyo yy sio reference yetu hmu ndani....anachokiweka hapa ni tetesi zinazoonekana huko kwa waandishi mbalimbali ambao wte tunawafatilia....ila hamis77 ni mtu peace sana.
Shida yake ni kuwashikilia akili tu misukule ya Arteta, huko mitaani mashabiki wa Arsenyau hua wanatuvimbia kwelikweli na tetesi zao uchwara za usajili, ukiwaulizia source ya hizo tetesi wanakwambia hamis77 amesema.
Yaani mashabiki wa Arsenyau wamemgeuza Hamisi kama vile Mange Kimambi.
Huyo jamaa achana nae , anakuja humu kupata faraja maana manjesta haijulikani ina plan gan inasubiri miujizaHapo unakosea Sasa mkuu...hzi tetesi za usajili yy hatungi...kwhyo yy sio reference yetu hmu ndani....anachokiweka hapa ni tetesi zinazoonekana huko kwa waandishi mbalimbali ambao wte tunawafatilia....
Kai Havertz has become Arsenal’s top earner on a reported £330,000 per-week.
(Source: @SPORTBILD_eng)
Acha walipwe ,Kreonke siku hizi kalewaDuh. No comment
Dressing room inaenda kuparaganyika.Duh. No comment
Saka mbona kasain juzi 250-300k per week , odegaard akisaini mkataba mpya atapanda had 250Dressing room inaenda kuparaganyika.
Kina Saka na Ordegard wanaenda kuanzisha mgomo baridi.
Kroenke kalewa wapi?Acha walipwe ,Kreonke siku hizi kalewa
Anamtaka na mbappe japo watu wanaona utani
wages mara nyingi ndio uwa zinagawa dressing room.. kwa mshahara uwo kama ni kweli.. mbelen uko inaweza leta shida kwa kina saka na martinelli hususan kama kai hasipo onesha kiwango!Acha walipwe ,Kreonke siku hizi kalewa
Anamtaka na mbappe japo watu wanaona utani
Sasa hizo £250k watakazopata hao wazawa tena mchango wao unaonekana ni mkubwa kwelikweli katika kuipigania timu ni sawa na hizo £330 atakazopewa mgeni ambae hana mchango wowote hata kwenye hio timu aliyotoka?Saka mbona kasain juzi 250-300k per week , odegaard akisaini mkataba mpya atapanda had 250
Saliba kasain mkataba mpya 200k ,
Kikubwa a perform....maisha ya mpira ni mafupi sana....amesaini mkataba wa miaka 5 nadhani...by the time mkataba unaisha atakuwa ana 29...jua litakuwa linazama...kwhyo hyo ndo hela ambayo inaweza kuwa kubwa kwake na ya mwsho kumalizia mpira wake...maana ukishafika miaka 30 kwny mpira unaanza kuonekana mzee....Saka na Martineli wte wanalipwa almost 200k/week...Odegaard naye atasaini mkataba mpya lazima alipwe hela nyng....hakuna namna mpira ndo ulipofikia huko sasahv....Manyumbu na Chelkenge ndo yamefanya michezaji itake hela nyng...leo hii Caicedo analipwa 60k/week pale Brighton ila Chelsea ataenda kulipwa si chini ya 200k/week....payrise ya ajabu kabisa...ila ndo hvyo hakuna namnawages mara nyingi ndio uwa zinagawa dressing room.. kwa mshahara uwo kama ni kweli.. mbelen uko inaweza leta shida kwa kina saka na martinelli hususan kama kai hasipo onesha kiwango!
Saka amecheza vzuri sana msimu huu tu...huko nyuma alikuwa hvyo tu na yy...kwhyo hyo sio sababu... perform then udai payrise sio kuleta ujanjaujanja hlfu uwanjani mtupu...haisaidiiSasa hizo £250k watakazopata hao wazawa tena mchango wao unaonekana ni mkubwa kwelikweli katika kuipigania timu ni sawa na hizo £330 atakazopewa mgeni ambae hana mchango wowote hata kwenye hio timu aliyotoka?
Huyo Harvez msimu gani aliocheza vizuri huko alikotoka mpaka mkastahili kumlipa hio £330k ambayo ni rekodi mpya ya mshahara katika timu yenu.Saka amecheza vzuri sana msimu huu tu...huko nyuma alikuwa hvyo tu na yy...kwhyo hyo sio sababu... perform then udai payrise sio kuleta ujanjaujanja hlfu uwanjani mtupu...haisaidii
Huyo Harvez msimu gani aliocheza vizuri huko alikotoka mpaka mkastahili kumlipa hio £330k ambayo ni rekodi mpya ya mshahara katika timu yenu.
Hilo ni bomu kwenye dressing room ambalo linaweza kupelekea uwanjani wachezaji wakawa hawatoi assist makusudi ili asifunge aonekane ni failure anaelipwa pesa ndefu.
Unaweza ukawa mzuri sana ila timu ikashindwa kukutumia...Sasa Arteta ameona wpi atafaa....mi nadhani hzi ngenga tungesubiri ligi ianze then tuone kwny timu yake mpya atakuwaje...Man U mmechukua Sancho mkampa mahela mengi mwshowe mnaua kipaji chake...Chelsea walikuwa na Salah wakauza sasahv tunajua anachofanya Liver...walikuwa na De Bruyne akaonekana flop...leo hii tunajua anachokifanya huko Man City...kwhyo mda utatupa majibu tu....tusubiriHuyo Harvez msimu gani aliocheza vizuri huko alikotoka mpaka mkastahili kumlipa hio £330k ambayo ni rekodi mpya ya mshahara katika timu yenu.
Hilo ni bomu kwenye dressing room ambalo linaweza kupelekea uwanjani wachezaji wakawa hawatoi assist makusudi ili asifunge aonekane ni failure anaelipwa pesa ndefu.