arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Sasa inakuwaje tena anaanza kuwapa watu wasiwasi au anaona amekua sasaYah wamemalizana verbally agreement ,anatafutwa asaini
Dogo ame mature Sana , halafu uzuri anacheza Winga zote bila shida
Wanasema atasaini japo Kuna wasiwasi maana AC Milan ndio walikuwa wanamtaka Sana , nasikia Arteta kamwambia atacheza RW ,Sasa inakuwaje tena anaanza kuwapa watu wasiwasi au anaona amekua sasa
Upande anaocheza umesheheni tyr...Darren Bent thinks the chance for Wilfried Zaha to join Arsenal has passed
Zaha is now a free agent after his contract at Crystal Palace runs out
The winger had previously been a target for Arsenal but Bent told talkSPORT that he thinks the winger is ‘too old’ to join Arsenal
Antony kipaji kile, subiri msimu ujao uone jinsi atakavyo wakimbiza.Mkuu kipindi mnamsajili yule Tapeli Antony mlikuwa hamuoni au YouTube ziliwadanganya....mchezaji anajua kuzunguka na mpira kipindi hakabwi na yyte
Anthony yule kubadilika labda aende akacheze ligi za mchanganiAntony kipaji kile, subiri msimu ujao uone jinsi atakavyo wakimbiza.
Antony msimu wake wa kwanza ni kama Grealish tu, ila msimu ulioisha mliona jinsi Grealish alivyo uwasha moto.
Hamna kitu mule...mchezaji mwenye potential unamuona tu....pale United mna dhahabu mnashindwa kutumia...JADON SANCHO...hyu ukinambia msimu ujao akicheza upande wake anaotakiwa kucheza atakiwasha ntakubali sio mzee wa misifa Antony...mule hamna kituAntony kipaji kile, subiri msimu ujao uone jinsi atakavyo wakimbiza.
Antony msimu wake wa kwanza ni kama Grealish tu, ila msimu ulioisha mliona jinsi Grealish alivyo uwasha moto.
Kweli tena wameshachemka mapema sanaHadi dakika hii nyumbu Kule unyumbuni wapo katika hali Kama vipi, vipi tu
Nyumbu wanamlalamikia boss auze timu boss anawa-mind body pesa analizotoa
Body wanajipanga zigo la lawama wamshushie 10hag
10hag anawa-mind nyumbu wa uwanjani ambao kiukwel hawafundishiki
Mbaya zaidi hawauziki pia ata kwa bure, mfano magwaya
Binafsi naona nyumbu wameshatupa taulo hata ligi bado haijaanza
Antonty
Sancho
Rashfod
Magwaya
Martial
Mc tom
Ganacho
Bisaka
Bruno
Varane
Fred
Hao wote ukiweza kuingiza ata £50m Basi utakua marketing officer mmoja matata Sana
Nelson hata akiondoka Arsenal hakuna atakayejuta uwezo wake umeishia pale,ana miaka mingi Arsenal but graph yake inaenda juu na kurudi chini,May be ana uwezo wa kuplay teams zingine za kawaida refer Willock wa Newcastle but kuchezea team Giant kama Arsenal imemshinda sema hakuna namna sababu ya umri Acha abakie tuna competitions nyingi season hii hata Nketiah hastahili kuwa Arsenal kwa sasa dau likija asepe tuanze upyaNelson ame mature sana...namuona Gnabry ndani yake akipewa nafasi zaidi....ila Sasa hzi taarifa za kwamba yupo kimya hapatikani anatafutwa ingawa kakubaki verbally kuongeza mkataba likizo hii ndo zinatuchanganya...tukimuacha aende tutajuta baadae
According to @Transfersdotcom
Arsenal are eyeing PSG’s Kylian Mbappe and are contemplating putting together an offer for his representatives. Mbappe’s contract is up at the Parc des Princes next year, meaning that PSG must sell now or risk losing him on a free transfer in 2024
Yah wamemalizana verbally agreement ,anatafutwa asaini
Dogo ame mature Sana , halafu uzuri anacheza Winga zote bila shida
@hamis77 wewe ni chama langu ila usitake kuwatisha majirani kwa namna hii bwanaAccording to @Transfersdotcom
Arsenal are eyeing PSG’s Kylian Mbappe and are contemplating putting together an offer for his representatives. Mbappe’s contract is up at the Parc des Princes next year, meaning that PSG must sell now or risk losing him on a free transfer in 2024
"But kuchezea team Giant kama Arsenal"Nelson hata akiondoka Arsenal hakuna atakayejuta uwezo wake umeishia pale,ana miaka mingi Arsenal but graph yake inaenda juu na kurudi chini,May be ana uwezo wa kuplay teams zingine za kawaida refer Willock wa Newcastle but kuchezea team Giant kama Arsenal imemshinda sema hakuna namna sababu ya umri Acha abakie tuna competitions nyingi season hii hata Nketiah hastahili kuwa Arsenal kwa sasa dau likija asepe tuanze upya
Flano muda wote unawazaga ujinga ujinga ,na sapoti kubwa unaipata kwa wale mashabiki toxic"But kuchezea team Giant kama Arsenal"
hii sentence imenichekesha sana.
Yaani hata wewe computerarsenal mtu ambae siku zote hua naamini ni miongoni mwa mashabiki wa chache wa Arsenal wanaojielewa unathubutu kabisa kuudanganya umma kwa kusema Arsenyo ni Giant team kweli?
Bora hata verifaidi yuza alikiri wazi kua hii sio timu bali ni kikundi tu cha waimba taarabu. View attachment 2675032
Tunawatisha tu ,nasikia 2024 ndio tutajaribu@hamis77 wewe ni chama langu ila usitake kuwatisha majirani kwa namna hii bwana
Sasa inakuwaje tena anaanza kuwapa watu wasiwasi au anaona amekua sasa