Jiandae kupasuliwa tu kwa arsenal hii kulishwa goli 3 timu Yako itakuwa kawaida sanaHili jukwaa ni la Baba yako,Nitakuja humu muda wowote nitakao utaka Mimi nita comment chochote nitachotaka Mimi...Ilihali sheria za JF sivunji OVER.
umeng'ang'ania kwa wanaume siyo, karibu tukupakate.Hili jukwaa ni la Baba yako,Nitakuja humu muda wowote nitakao utaka Mimi nita comment chochote nitachotaka Mimi...Ilihali sheria za JF sivunji OVER.
@Teamnewsandtix,
speaking on the Riess Nelson’s contract:
“Arsenal are still in a bit of a sticky situation with Nelson. He has verbally agreed to sign a new deal, but then they've not really been able to contact him so there's been a bit of worry internally.”
“They think it will happen because he has completely agreed, but until the contract is signed and the ink's dry, there is that bit of doubt. If he stays, that's Arsenal's second right-wing option, for sure.”(GIVEMESPORT)
Kua na akiba ya maneno ndugu,Kelele za Manyumbu Zimeisha, tumeshayafunga hata ligi haijaanza bado.
Hata aje mwarabu , mbappe akacheze OT? Utani huu , timu yenu inaua vipaji Sana ,Kua na akiba ya maneno ndugu,
Dirisha la usajili bado halijafungwa subiri mwarabu apewe timu kina Mbappe watue OT halafu ndio uanze kuongea hizo pumba zako.
Nelson ameimarika Sana ,acha abakiMimi Bado sijaridhika na sajili zetu. Tuongeze majembe mengine kama 3-4 hivi tuachane na kina Nketiah na Nelson. Watu waogope kuleta timu uwanjani na maji waite mma. Kina Flano na wehu wengine wa Chelkenge na Nyumbuz wajipige ban
Kua na akiba ya maneno ndugu,
Dirisha la usajili bado halijafungwa subiri mwarabu apewe timu kina Mbappe watue OT halafu ndio uanze kuongea hizo pumba zako.
According to @Transfersdotcom
Arsenal are eyeing PSG’s Kylian Mbappe and are contemplating putting together an offer for his representatives. Mbappe’s contract is up at the Parc des Princes next year, meaning that PSG must sell now or risk losing him on a free transfer in 2024
Nelson ame mature sana...namuona Gnabry ndani yake akipewa nafasi zaidi....ila Sasa hzi taarifa za kwamba yupo kimya hapatikani anatafutwa ingawa kakubaki verbally kuongeza mkataba likizo hii ndo zinatuchanganya...tukimuacha aende tutajuta baadaeNelson ameimarika Sana ,acha abaki
Nketiah nasikia ikija ofa nzuri wanamuuza maana CF Kuna Jesus , Trossard na Kai ,hao ndio watapewa kipaumbele
Naona dirisha hili tumejikita eneo la Kiungo na backline
Pigen ramli tukupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
Hio pesa ya Rice tu kupatikana ni utata bado mnajitafuta kulipia hio first installment halafu ndio mumsajili Mbappe?
Huyo Mbappe mwenyewe akisikia hizi tetesi lazima atamind na kuona amedhalilishwa.
Yah wamemalizana verbally agreement ,anatafutwa asainiNelson ame mature sana...namuona Gnabry ndani yake akipewa nafasi zaidi....ila Sasa hzi taarifa za kwamba yupo kimya hapatikani anatafutwa ingawa kakubaki verbally kuongeza mkataba likizo hii ndo zinatuchanganya...tukimuacha aende tutajuta baadae
Mkuu kipindi mnamsajili yule Tapeli Antony mlikuwa hamuoni au YouTube ziliwadanganya....mchezaji anajua kuzunguka na mpira kipindi hakabwi na yytekupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
Hio pesa ya Rice tu kupatikana ni utata bado mnajitafuta kulipia hio first installment halafu ndio mumsajili Mbappe?
Huyo Mbappe mwenyewe akisikia hizi tetesi lazima atamind na kuona amedhalilishwa.