Mbona hasira ,Arsenal imecheza Europa miaka 6 mfululizo na kombe likawashinda kuchukua.
Mmeshindwa na West ham wabebeba Europea Trophies we hata ya kuhongwa hamna.
Utashabikia Arsenal mpaka utoke kibiongo mgongoni, Mpaka makalio yaote sugu kwenye kibanda umiza.Mbona hasira ,
Ulisema Rice hawez kuja
Amekuja
Unajaa hasira
Huna hoja ya kuitetea timu yako ya Mashoga.Sasa hasira za Nini
Kisa ulisema Rice hawez kuja ?
Kapambane na timu yako imejaa wazee
Zote hizo hasira sababu uliwanga Rice haji ,amekuja unalia liaUtashabikia Arsenal mpaka utoke kibiongo mgongoni, Mpaka makalio yaote sugu kwenye kibanda umiza.
Hii kitu kwenye maisha yako ya hapa duniani Hauta iona kwa Arsenal.View attachment 2674265
Kula malimao ,hasira za NiniHuna hoja ya kuitetea timu yako ya Mashoga.
Ni kweli kabisa mkuu tumeshindwa...haya sajilini mkimaliza muende mkachukue Europa mkuu...ndo level zenu sasahv hukoArsenal imecheza Europa miaka 6 mfululizo na kombe likawashinda kuchukua.
Mmeshindwa na West ham wabebeba Europea Trophies we hata ya kuhongwa hamna.
Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetuNi kweli kabisa mkuu tumeshindwa...haya sajilini mkimaliza muende mkachukue Europa mkuu...ndo level zenu sasahv huko
Hizi ndio akili zenu mbovu,Hizi Mentality ndio zinawafanya msionekane wakubwa.Ni kweli kabisa mkuu tumeshindwa...haya sajilini mkimaliza muende mkachukue Europa mkuu...ndo level zenu sasahv huko
Una furahia usajili halafu timu Makombe haichukui faida ya kusajili nini???Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu
Haya tusubiri tutaona wewe timu yako iliyo sajili vizuri na Liverpool timu ya wazee iliyo sajili vibaya Mwisho wa msimu ni timu ipi itaseka kitu kabatini.Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu
Wewe subiri ucheze Europa tenaHaya tusubiri tutaona wewe timu yako iliyo sajili vizuri na Liverpool timu ya wazee iliyo sajili vibaya Mwisho wa msimu ni timu ipi itaseka kitu kabatini.
Hasira zote hizi sababu Rice anakuja Arsenal?Mpaka leo najiuliza Hivi Msimu uliopita nyie vilaza [ LOSER FC] mlianzaje anzaje mpaka mkaitwa Title contender myie vibwengo.
Huna timu una kundi la wazeeHaya tusubiri tutaona wewe timu yako iliyo sajili vizuri na Liverpool timu ya wazee iliyo sajili vibaya Mwisho wa msimu ni timu ipi itaseka kitu kabatini.
Hii inaonesha ww ndo una akili ndogo...kwhyo tangu timu imeanzishwa haijawahi kuchukua kombe lolote au sio....timu yenu si imekaa miaka karibu buku haijabeba EPL..ndo juzijuzi mkaja kubeba...na kuna uwezekano mkubwa hili kombe la juzi la EPL mlilobeba ndo kombe lako la kwanza kuliona Liverpool wakibeba....maana hayo mengine yalibebwa ww hujulikani lini utakuja dunianiHizi ndio akili zenu mbovu,Hizi Mentality ndio zinawafanya msionekane wakubwa.
Ukubwa wa timu ni kushinda Makombe haijalishi aina ya Trophies.
Trophies is Trophies.
Na Europa League tutacheza na tunaitaka kweli kweli.