Well said, ila missing on pertinent point:
Sound financial status haiwanufaishi millions ardent fans wa Arsenal fan ambao 98% ya mapato ya Arsenol wanayapata kupitia hao. Wht do they need back?, TROOPHIES period....!
Hizo sound financial statements zinawanufaisha very few shareholders wa Arsenal PLC ambao wakifunga mahesabu ndio wanapata faida.
Mnabahati u play tht sex footbal, kitu ambacho kinawafanya watu weengi wapende kuwaangalia..ila tht patience is getting thin and thinner, soon or later, watu watawachoka, hata ww utawachoka.
TUMECHOKA KUSINDIKIZWA bana kwenye troophies Marathon.
Mbu naye BP imshuke kidogo wajameni...
Nakubaliana nawe kabisa, kila season ianzapo, timu zote 20 huwa zina nia ya kuchukua hayo makombe, ila kwa AW kuvunja benki na wage structure, je ita guarantee sie kuleta kombe la Prem?
Sawa utasema nafasi ya kuchukua kombe itaongezeka kwa sie kununua hao wachezaji wa bei mbaya, lakini mkuu ukumbuke kuna regulations na legislations zinakuja kuwathibiti wanaomwaga mapesa kama wakina Manure, Chelski, Man City na Liverpool.
By the time io sheria inakuja, sie tutakua tushazoea kutengeneza wachezaji wetu na kuwafanya kuwa wazuri, kila timu ina design yake ya kukuza vipaji, Arsenal yako ndio io.
Mpira ni biashara siku hizi, zile hela za viingilio tu hazitoshi kwa AW kwenda kununua wachezaji wa paundi milioni 40 mpaka 50. Tukifanya hivyo na ndio tumehamia kiwanja kipya itakua balaa, theory ya AW ni kuwa timu zisitegemee ma sugar dad, je siku hawa ma sugar dad wakisema hawataki kui support timu yenu kwa sababu zao mbali mbali halafu wanawaacha na madeni huku mkiwa sawa mmeshinda makombe kadhaa, mtafanya nini? Ni kusota tu kwenye the Championship kama sio League One.
Tusiwe obsessed na kushinda vikombe, swala ni timu yetu i compete at the highest level while using our own resources.
Ingia mtandaoni uone financial statements za hao wanaomwaga hela uone walivyo kwenye red.
The bubble will bust, do want your beloved Arsenal to bust as well?
Penda timu sio kwa kushinda vikombe tu, bali kwa mpira wao, jinsi inavyoendeshwa na mwelekeo wake kwa miaka ijao, kama kweli unaipenda.