Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwenye Eneo la RW tumefichwa sana jina hata dalili za kujua nani tunamuitaji hakuna kabisa zaid ya sisi kujitungia tu aiseee.
 
Finishing nzuri ipi hio mbona sijawahi kuiona zaidi ya nafasi za wazi anazokosa. Huyu dogo aondoke tu maana yupo toka enzi za wenger na now ndo amebaki yeye tu mkongwe
Mlinganishe kwa magoli na ST wetu waliopo.

Hesabu chances wanazokosa na anazokosa yeye
 
Huyu dogo anafunga kwenye mazingira magumu ila kwenye clear chance ni mchomaji mimi kwangu naona huwa anabahatisha kwenye chance 5 anafunga 1
Yaani hicho unachosema ni kweli ila ndiye ana finishing nzuri kuliko aliocheza nao pale msimu uliopita kwa nafasi ya ST.
 
Tulisema hivyo hivyo mwaka 2021 na mwaka wa pili yake tukacolapse,
Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
 
Ethan Nwaneri has signed scolarship deal at Arsenal — then agreed first pro deal to be signed when he will turn 17. It’s done, exclusive news confirmed


Contract will be valid for 2.6 years — it’s the highest salary offer made by #AFC for Academy player.

Here we go
 
Tulisema hivyo hivyo mwaka 2021 na mwaka wa pili yake tukacolapse,
Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Msimu Jana mlisema hata top 4 hatuingii ,Cha ajabu kushika nafasi ya 2 mnaona tumefeli

Ndio maana tunarudi Tena kugombea mataji
 
highest salary offer made by #AFC for Academy player.

Here we go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…