Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Mambo vipi mkuu
Nasikia nyumbuz hawauziki kabisa.
Mkatangaza kabisa mmewaweka sokoni, lakini wateja hawaonekani
Bora utumie muda mwingi huku kupoteza machungu
Magwaya price tag yake ni ngapi vile?
Kule kwetu unyumbuni ni pasua kichwa tu aiseee kuanzia kwa wamiliki mpaka kwa wachezaji wetu.
Wachezaji wetu sio hawauziki tu hata tukiwagawa bure hakuna anaewataka.
Kulipa mchezaji £300,000 kwa wiki sio jambo jepesi kwa timu maskini kama Arsenyo.
Mimi napenda sana paka, kuna jamaa yangu alitaka kunipa paka lake zuri kwelikweli yale ya kituruki yenye manyoa kibao, ila baada ya kunitajia bajeti yake ya msosi aiseeee nilimwambia abaki tu na paka lake.
Sisi tushazoea haya mapaka yetu ya kiswahili unayapa ugali na dagaa.
acha tupunguze tu stress zetu humu kwa master class wa kufeli.
#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
Arsenal NDOO itaanza mapema sana msimu huu
Unyumbuni labda ule uwanja mfuge kuku wa kisasa
Viti mkodishe kwenye masherehe
1. ARSENAL
2. city
3. Newcastle
4. ?
Liverpool, Brighton, Spurs, nyumbu
Uwe na Eid njema
Yan ulichoongea ni sahihi ila Xhaka aende bt partey abaki kwa msimu mmojaAnunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sana
Nimecheka hapo kw mapaka y uswahilini🤣 , hayo hata usipoyapa chakula fresh tu!! yanatoka kwenda kula nje huko.Kule kwetu unyumbuni ni pasua kichwa tu aiseee kuanzia kwa wamiliki mpaka wachezaji.
Wachezaji wetu sio hawauziki tu hata tukiwagawa bure hakuna anaewataka.
Kulipa mchezaji £300,000 kwa wiki sio jambo jepesi kwa timu maskini kama Arsenyo.
Mimi napenda sana paka, kuna jamaa yangu alitaka kunipa paka lake zuri kwelikweli yale ya kituruki yenye manyoa kibao, ila baada ya kunitajia bajeti yake ya msosi aiseeee nilimwambia abaki tu na paka lake.
Sisi tushazoea haya mapaka yetu ya kiswahili unayapa ugali na dagaa.
acha tupunguze tu stress zetu humu kwa master class wa kufeli, wazee wa kushikilia bomba kuanzia Augost mpaka April.
#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
Nimecheka hapo kw mapaka y uswahilini, hayo hata usipoyapa chakula fresh tu!! yanatoka kwenda kula nje huko.
Hizi Kondoo ukizisikia pre saeason zinavyochambua timu yao, unaweza kufikiri msimu ujao watachukua makombe yote, mpk Laliga, Bundasiliga, Serie A, Ligue 1
Nimeskia hivo. Tukiwa na kikosi kipana cha quality player itatu favour sana. Nashangaa kuna shabiki haimshtui nashangaa,Hii ni kweli?
Arteta hawez muuza Jorginho mchezaji ambaye haumii ovyo ,auzwe joginho
Arsenal ndoo...invincibles1. Kai
2. Rice
3. Timber
4.
5.
Kutoka vyanzo vyangu vya ndani kabisa
#Arsenal NDOO msimu huu itaanza ile game ya ufunguzi hadi NDOO