Kwakweli hakuna tena Raha ya jamii forum basi tu hatuna namnaSio ww tu mkuu...inaboa sana kutokufungua picha
Ongeren the Gunner ndo kombe lenu iloARSENAL WIN UEFA FOOTBALL AWARD
Hii tuzo ya kutambua mchango wetu katika kupinga baguzi mbali mbali na kufanya mpira wa miguu kuwa rafiki kwa wanadamu wote tutapewa kesho.
Tumeipata hii kwa kampeni yetu ya 'NO MORE RED' inayopinga violence, hasa uchomaji visu kwa vijana wa mitaani London ili kufanya viwanja vya michezo kuwa sehemu salama kwa vijana kutembelea na kufanya mazoezi.
Pia tumekuwa timu ya kwanza kuweka mkalimani wa lugha ya alama kwene mechi za Emirates ili wenye ulemavu wa kusikia nao waweze kuenjoy zaidi mbwembwe za Saka na Martinelli na wenzao
Hongera kwetu
David Ornstein
Arsenal have agreed a fee with West Ham to sign Declan Rice. #AFC made £100m + £5m add-ons offer for 24yo England midfielder last night & that has been accepted. Record for British player. Clubs now working to resolve payment terms
@TheAthleticFC #WHUFC
uninstall version iyo mpya ambayo haifungui picha..Kwakweli hakuna tena Raha ya jamii forum basi tu hatuna namna
Hahahha umenikumbusha kakaHuyo jamaa huwa kama demu, kuna mwamba alimquote akamwambia natunza hii comment, haijapita hata wiki anaenda kuumbuka, ana force uhasimu wa liverpool na Arsenal, sisi hasimu wetu ni Man u na Spurs basi, nyie wengine msilazimishe hatuna uhasimu na timu zenu.
Mpaka nione bbc/sport, otherwise bado ni porojo
Sio wewe tu ni jamii forum kama unatumia App ndo kuna shida iyo.Dahhh simu yangu haifungi picha za JF inaniuma sana kukosa fursa kama hizi
Anyway unaongelea katimi gani mkuu
DoneKai Havertz’s move to Arsenal will be officially announced at 8pm (in six minutes).
Shukrani sana mkuuuninstall version iyo mpya ambayo haifungui picha..
download version ya zamani kisha install apk file yake..
link ya version itayofungua picha hi apa!
Aibu mtu mzima kuleta hoja za kimihemkoHahahha umenikumbusha kaka
Nilimwambia ukiamka utakuta meza imepinduka ila alikataa kwa ujasiri mkubwa sana… View attachment 2672306
Kuwa serious basi, kwa hiyo rice ni world class player?? Unajua kwa nini city wamejitoa kumtaka. Wameona ni mchezaji wa kawaida halafu anauzwa bei, wameona kuna upgaji mwingi.Msimu wa 24/25 naamin Arteta atapush kumpata Rafa Leao £100m + CF dogo wa Brighton £80m. tunasajili wachezaji ambao hata Madrid wanacheza, kwa sasa hata tukimuuzia project Jude Bellingham hawezi kataa, chama linasajili World Class players.