Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakunaga hoja ya kitoto mzee, isipokuwa mawazo(mindset) ya mpokeaji hoja ndo yanaweza(inaweza) kuwa ya kitoto kipindi anapokea hoja.
 
Grealish alinunuliwa sh ngapi?

Ameanza kua regular first XI msimu gani?
Grealish aliflop ndio maana akawa benchi.
Mechi za mwanzo msimu wa 2021-22 grealish alikuwa starter mpaka pale pep alipoona jamaa kashindwa kuadapt kabisa ndio akaanza kukaa benchi.

Hii ni tofauti kwa Rice ambaye iko wazi kabisa angeenda kuwa back up tu, hakukuwa na uhitaji wa back up kiasi cha kutoa £100m.
 

Acha hizo mkuu, unakoendea utaonekana hujui mpira

Yani pep anamchezesha Stone eneo la kiungo alafu useme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter katika kikosi cha city

Ungesema kuwa huna uhakika kama atakuwa regular starter kutokana na tabia ya pep ya kufanya rotation sana
 
Hayataki sasa! yani unaweza ukaua humu ndani.
 

Oooh, John Stones!!!
Yes, John Stones, hii ndio sababu nyingine ambayo inafanya niseme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter Man City. Hana!
Kama utaniona sijui mpira, sawa!!!
 
Oooh, John Stones!!!
Yes, John Stones, hii ndio sababu nyingine ambayo inafanya niseme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter Man City. Hana!
Kama utaniona sijui mpira, sawa!!
Nendeni mkaandamane kule OT mwarabu apewe timu...vngnevyo msimu ujao mtachezesha tena Kina Elanga na fantastic Captain Maguire
 
EXCL
:

Jurrien Timber is an Arsenal player, the deal is done and sealed. Understand the second bid worth around £41.5m was accepted. #AFC


Personal terms agreed last week. Five-year contract, player will earn ~£85k/w, could rise to ~£120k/w + performance related add-ons.
 
Hao ni waongo, sio kazi ya kocha ku bid au kutobid, labda useme taarifa yote ilikuwa ni ya uongo tu
 
Hao ni waongo, sio kazi ya kocha ku bid au kutobid, labda useme taarifa yote ilikuwa ni ya uongo tu
Shangaa nawewe, Yani watu wanatafuta tu sababu ambazo zita justify kuwa City hawakumtaka Rice
 
#ESPN:

Arsenal have completed the signing of Kai Havertz from Chelsea for a fee of £65m,

Jurrien Timber from Ajax for £45m including add-ons

and close to sign Declan Rice from West Ham for £105m incl add-ons.


AFC will search for two more signings at least & want to sell players.
 
Unpopular opinion

Kwanini tusiende pale Manjesta tukamsajili Jodan Sancho ambaye anaonekana kashafeli ila kiukweli Ni ubovu wa timu maana kwa balaa alilofanya Bundesliga Tena misimu miwili au mitatu alikuwa anaonekana Ni Potential inayokuja kutisha


Ukiangalia kwanza anachezeshwa out of position ,Sancho Ni Right winger au acheze 10 kwa ku alternate

Anafaa kuwa mbadala wa Saka

Kwa dau la £35-40m manjesta watamuachia ,
 
Kwa kiasi icho cha hela+ muingeleza hawawezi kumuuza kamwe, ila Kuna option kibao kwenye RW tunaitaji kutumia chini ya £60m kwa Nafasi iyo... Diaby anatufaa sana
 
Sancho Mimi bado sijaona kama kafeli, udhaifu wake labda kwenye defense. Ila kwenye phase ya kushambulia Sancho namwogopaga sana, ana flexibility kubwa sana na utulivu ila manyumbu wanasema anatetemeka
 
Sancho Mimi bado sijaona kama kafeli, udhaifu wake labda kwenye defense. Ila kwenye phase ya kushambulia Sancho namwogopaga sana, ana flexibility kubwa sana na utulivu ila manyumbu wanasema anatetemeka
Haaahaa hayajui football hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…