Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Kwan wakati wanamchukua Grealish alionekana wa benchi msimu wake wa kwanza.Man City hawezi kutoa £90+ m kwa mchezaji wa benchi.
City walienda kuweka upepo pale,Wamesepa wamewaachia wajinga msala wa 105ml.Akili nyingi.Man City hawezi kutoa £90+ m kwa mchezaji wa benchi.
Kwani Kati ya City na Arsenal ni nani wa Kwanza kutuma offer ili useme hiyo kauli ya kuwa you swear?I swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
Kihuni wapi, wakat watu wameweka £90m Tena yenye best paymentI swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
Wanafurahusha Sana ,unakumbuka Di marzio alivyowadanganya juzi HapaHahahahahha yan watu bana kwaiyo hamuamini kua kuna wakati na Man city wanazidiwa kete kwenye usajili hadi mlete porojo za kusema Man city hawakua na nia ya kumsajili Rice?? tukubali tu kua Arsenal kamchapa mtu mchana kweupe kwenye kugombea mchezaji, yan utume ofa moja kwa moja alf baadae useme hukumtaka !
Ndo wale wale unamtongoza mwanamke akikukataa unasema ata ivyo nilikua nakutania tu sikua nakutaka mimi.
Acheni uswahili haters wa arsenal, yan roho zinawauma sana kila sku mnawasimanga arsenal kuwa ni wabahili leo kavunja benk na hii inaonyesha kabsa arsenal project is real... Arteta yupo serious sana na arsenal ...na huwez kua timu tishio ikiwa huna most valuable players kwenye team yako...declan anafit sana kwenye mfumo wa arsenal. Wengi hapa mna wivu kwakua tunajarbu kuziba makosa ya msim uliopita na tunazidi ongeza depth ya kikosi chetu just wait ...NB: MSIMU ULIOPITA KILICHOTUNYIMA UBINGWA NI DEPTH YA KIKOSI KUA NDOGO SASA SUBIRINIMan City were just toying with Arsenal!
No way Man City angetoa hiyo pesa kwa Declan.
OkMan City hawezi kutoa £90+ m kwa mchezaji wa benchi.
Umeshapaniki, good-by!Unaonekana una akili za kinyumbu nyumbu tu, shida sio hela shida ni bajeti yako inafaa kwenye usajil wa mchezaji mmja kwenye eneo fulani?
Yawezekana unatumia bando la hela nyingi sana kwa mwezi kuliko hata mo dewj ila haimaanishi unamzid hela Dewj. Tumia akili ndugu
Manchester City hata bila ya Rice bado kwao its OKAY,But its not Okay kwa Arsenal.Kwani Kati ya City na Arsenal ni nani wa Kwanza kutuma offer ili useme hiyo kauli ya kuwa you swear?
Na kwanini useme kama City asingeingilia deal Rice angeuzwa £75 or below ilhali offer ya Kwanza ya arsenal iliyokataliwa ilikuwa above?
Westham made it clear, they want £100, ila Rice katika hesabu zake akawa ana prefer zaidi Arsenal kuliko team ingine kulingana na sababu zake
Issue ni kwamba city waga hawana pigo za kugombania wachezaji kwa sababu wanaamini wachezaji wengi wanatamani kucheza city hivo hawana haja ya kutumia nguvu kubwa kumshawishi mchezaji
Na pep akikutaka hakuakikishii namba, itabidi uipambanie ili ucheze, sasa mtu kama Rice anaona anaweza kupoteza ata nafasi yake team ya Taifa
Kwahiyo hizi ngonjera sijui ohhh city walitumika,ohhh sijui westham wajanja hazina mashiko, baada ya bid ya city wengi waliamini ndo imeisha hiyo kwahiyo msibadirike badirike kama vinyonga
Philips kachukua makombe yote matatu ila kayachukulia akiwa benchi, na kapoteza namba yake team ya Taifa, kwahiyo everything has it's price.
Kwa ishu ya Mudryk nyinyi ndio mlioanza kutoa offer yenu halafu Chelsea ndio akaingilia kati.Kwaiyo na arsenal wakisema waliwafosi Chelsea kutoa kiasi kile kwa Mudriky itakua ni sawa ?? Tukubali tu kuna kuzidiwa hela wala hakuna cha poroja mzee
Wewe jamaa una akili SanaKwani Kati ya City na Arsenal ni nani wa Kwanza kutuma offer ili useme hiyo kauli ya kuwa you swear?
Na kwanini useme kama City asingeingilia deal Rice angeuzwa £75 or below ilhali offer ya Kwanza ya arsenal iliyokataliwa ilikuwa above?
Westham made it clear, they want £100, ila Rice katika hesabu zake akawa ana prefer zaidi Arsenal kuliko team ingine kulingana na sababu zake
Issue ni kwamba city waga hawana pigo za kugombania wachezaji kwa sababu wanaamini wachezaji wengi wanatamani kucheza city hivo hawana haja ya kutumia nguvu kubwa kumshawishi mchezaji
Na pep akikutaka hakuakikishii namba, itabidi uipambanie ili ucheze, sasa mtu kama Rice anaona anaweza kupoteza ata nafasi yake team ya Taifa
Kwahiyo hizi ngonjera sijui ohhh city walitumika,ohhh sijui westham wajanja hazina mashiko, baada ya bid ya city wengi waliamini ndo imeisha hiyo kwahiyo msibadirike badirike kama vinyonga
Philips kachukua makombe yote matatu ila kayachukulia akiwa benchi, na kapoteza namba yake team ya Taifa, kwahiyo everything has it's price.
Arsenal katuma hiyo ofa kulipwa kwa miaka minne , now wanakubaliana ilipwe kwa miaka mitatuKwa ishu ya Mudryk nyinyi ndio mlioanza kutoa offer yenu halafu Chelsea ndio akaingilia kati.
Ila bado msijihakikishie sana kua mmempata, mpaka pale Rice atakapo saini mkataba ndio muanze kutamba maana bado kwenye ishu ya malipo Westham wanataka yakamilike ndani ya miaka 2 ila Arsenal wanataka wapewe miaka 5.
Hili dili likikamilika Arsenyau wanakua wameweka rekodi tokea dunia iumbwe Rice ndio mchezaji wao wa kwanza kusajiliwa kwa zaidiya £80m
Rice kuomba jezi ya Arsenal haihusiani na usajili. Rice ni kit collector, ana jezi za karibia timu zote za EPL na zote huwa signed na wachezaji.Acha porojo , Arsenal alianza na Bayern wakaambiwa £100m ,Bayern akakimbia na mchezaji akawakataa
Arsenal walifika had bid ya £90m ambayo hata city alifika £90m
Hili dili limeanza kufatiliwa miezi 6
Dili liliisha zaman sana, Rice alipoomba Jez ya Arsenal na asainiwe na Odegaard
View attachment 2671717
Broh, Declan ni mchezaji mzuri, hili wala silipingi. Ambacho nazungumzia mimi ni uhalisia wa City kumuhitaji Declan (they are stacked in the midfield position). Binafsi naamini City hawakuwa wanauhitaji wa kweli wa huduma ya Declan, walibid kwa motives zao zingine.Acheni uswahili haters wa arsenal, yan roho zinawauma sana kila sku mnawasimanga arsenal kuwa ni wabahili leo kavunja benk na hii inaonyesha kabsa arsenal project is real... Arteta yupo serious sana na arsenal ...na huwez kua timu tishio ikiwa huna most valuable players kwenye team yako...declan anafit sana kwenye mfumo wa arsenal. Wengi hapa mna wivu kwakua tunajarbu kuziba makosa ya msim uliopita na tunazidi ongeza depth ya kikosi chetu just wait ...NB: MSIMU ULIOPITA KILICHOTUNYIMA UBINGWA NI DEPTH YA KIKOSI KUA NDOGO SASA SUBIRINI
Hongereni kwa Rice mmepata jembe, haijalishi hio pesa mtakayoitoa.Arsenal katuma hiyo ofa kulipwa kwa miaka minne , now wanakubaliana ilipwe kwa miaka mitatu
Jion unaweza kusikia HERE WE GO
Mmeingizwa chaka kihuni, Haya Manchester city wamemkosa Rice wamepungukiwa nini kwenye Squad yao.Kihuni wapi, wakat watu wameweka £90m Tena yenye best payment
Unafananisha uhuni wa Simba na yanga kwenye sajili za kina Sawadogo
Of course Hilo liko wazi kila mtu anajua ubora wa kikosi cha CityManchester City hata bila ya Rice bado kwao its OKAY,But its not Okay kwa Arsenal.