Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acheni Porojo ,na kubadili kauli zenu

Alipoweka £90m mlisema anaenda City hawez kuja Arsenal ,leo mnaleta porojo
 
Siyo hasira ni maoni tu kwa kinachoendelea EPL.
EPL ya sasa ni pesa tu ndo zazungumza kama huna fedha basi wapaswa kuwa mjanja na makini.

Si waziona timu kama Brentford na Brighton?

Hizi timu zatumia fedha kiasi na husajili wachezaji ambao hawajulikani sana lakini huja kuwa wachezaji wazuri sana mfano ni Mitoma, Maclister na huyu Caisedo.

Brentford kimyakimya wamesajili mshambuliaji na wachezaji wengine wote bado wapo na ni Ivan Tony pekee ambae atakaa pembeni lakini wana wachezaji kama Mbuemo ambae hakuna timu yenye interest nae.

Brentford na Brighton ni moja ya timu ambazo zitakuwa tishio sana msimu ujao.
 
Walichokifanya Manchester city kwenye deal la Rice ilikuwa ni kuisaidia West Ham united kutaka pesa walioihitaji kwa mchezaji wao.
Acha unafiki ,Alivyopost Di marzio siku ile ulisemaje ?

Simamia msimamo wako Kama mwanaume
 
Hizo nyingine porojo tu

Target za Arsenal ilikuwepo na Rice wameanza kumfatilia miezi 6

Na bajeti ilitengwa ya usajiri £200m+
 
Hahahahahha yan watu bana kwaiyo hamuamini kua kuna wakati na Man city wanazidiwa kete kwenye usajili hadi mlete porojo za kusema Man city hawakua na nia ya kumsajili Rice?? tukubali tu kua Arsenal kamchapa mtu mchana kweupe kwenye kugombea mchezaji, yan utume ofa moja kwa moja alf baadae useme hukumtaka !
Ndo wale wale unamtongoza mwanamke akikukataa unasema ata ivyo nilikua nakutania tu sikua nakutaka mimi.
 
Baada ya Di marzio kusema Man city na Westham wanamalizia deal la Rice

Tulipokea kebehi na matusi ,

Dakika 2 baadae mtoto wa Edu alipost hii picha ambayo inaongea mengi
 
MliMancity plan worked
they forced Arsenyani to pay £105m and walked away.
Ila wanangu wa Arsenyo kwa Rice mmepata jembe atawasaidia msimu ujao kubeba FA au kubaki top4.
Kwaiyo na arsenal wakisema waliwafosi Chelsea kutoa kiasi kile kwa Mudriky itakua ni sawa ?? Tukubali tu kuna kuzidiwa hela wala hakuna cha poroja mzee
 
Kuna madai kuwa Arteta amepush City kufanya walichofanya na wengi twaona ina-make sense.

City si kwamba hawana 100M kulipa ada ya Rice.

EPL na CL zimewapa zaidi ya 300M.

Hivyo yaonyesha wazi hawakuwa na nia thabiti ya kumsajili Declan Rice ila wamemsaidia Arteta kumpata Rice na kuzuia timu zingine kama Man United ambao wana madeni makubwa.

Ila kiukweli wamiliki wa West Ham tayari waliweka wazi kuwa Declan Rice agharimu zaidi ya 100M
 
I swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
Acha porojo , Arsenal alianza na Bayern wakaambiwa £100m ,Bayern akakimbia na mchezaji akawakataa


Arsenal walifika had bid ya £90m ambayo hata city alifika £90m


Hili dili limeanza kufatiliwa miezi 6

Dili liliisha zaman sana, Rice alipoomba Jez ya Arsenal na asainiwe na Odegaard

 
Unaamini City walikuwa kabisa na uhitaji na saini ya Rice?
Yaani ulikuwa unaona kabisa City ikitoa paundi 90m+ kwaajili ya mchezaji wa akiba?
Kwahiyo ile bid ya £90m ni hewa?

Basi tufanye hawakumuhitaji

Mmeshinda nyie

Juz hapa tumeambiwa hatuwez kumchukua

Leo tunaambiwa mengine
 
Man City hawezi kutoa £90+ m kwa mchezaji wa benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…