Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Valuable squad ni dhamani ya wachezaji
Valuable Club ni thamani ya assets zote
Kwa Squad Chelsea ya pili baada ya City - pia hii itategemea muda, wakireview tena baada ya hii fagiafagia, inaweza ikapanda au ikashuka
Kwa dhamani nzima ya timu Chelsea na. 8 Arsenal na. 10 na hii inategemea sana usahihi wa taarifa zilziopatikana na muda ulioripotiwa, taarifa za taasisi zingine zinazochakata hiziz taarifa zinakuwa na anomaly kubwa na ndio maana kila source ina rating yake binafsi inayotofautiana
Forbes wao wana hii, dhamani ya assets zote waliupdate May 2023



 
Kwanza huyo Rice kwa akili ya kawaida tu unafikiri atakubali kuacha kujiunga na timu inayobeba makombe makubwa kila msimu halafu aende akachezee Kwa kina kwangu pakavu nitilie mchuzi?
Labda kama ulivyosema awe haelewani na kocha wa City ndio ataenda Arsenyau.
Sheikh Mansuri ada ya uhamisho anaitoa yote ndani ya msimu mmoja wakati Arsenyau wanaomba walipe kwa kudunduliza kwa miaka 5.
Arsenyo sio mteja ni dalali tu kama vile Dr. Shika mzee wa 900 itapendeza.
Kroenke's wameshazoea kununua wachezaji wa mafungu mafungu, Β£50,000 anapata wachezaji wake 6 au 7 unafikiri ataweza kutoa Β£100m kununua mchezaji mmoja?
Tumeshayaona kwa Mudryk, Caicedo na sasa hivi Rice.
Nimekaa paleeeeeee.
 
Mzee baba lini unanizibua makofi
 
Halafu wakiitwa makondoo wanakasirika. Hapo wameweka hivyo ili kujifurahisha.Hivi umewahi kuwaelewa hawa jamaa.
 
Halafu wakiitwa makondoo wanakasirika. Hapo wameweka hivyo ili kujifurahisha.Hivi umewahi kuwaelewa hawa jamaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Misukule wanaelewekaga basi?
Hawa dawa yao kila comment ni kupiga tu nyundo ya kichwa.
 
Wabaki na mchezaji wao....sometimes kama klabu mnatakiwa muwe na maamuzi magumu....across Europe kuna viungo wengine wakabaji wazuri kuliko yy...after all wachezaji wa Kiingereza wanakuzwa sana tofauti na uhalisia....Arsenal wanatakiwa waangalie watu wengine
 
Westham wanatengeneza Bidding war na amewapatia kweli kweli aidha hadi mmoja ajitoe au mtafika 150m
Inshallah, Leo jion tunamaliza hii biashara ,

[emoji599]Declan Rice is waiting for Arsenal to raise their bid for him after West Ham rejected Manchester City’s opening offer of Β£90m

(@JacobSteinberg )
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Misukule wanaelewekaga basi?
Hawa dawa yao kila comment ni kupiga tu nyundo ya kichwa.
Wewe jamaa badala upambane na manjesta Hali mbaya ,unahangaika na Arsenal

Manjesta ina matakataka wengi mmeshindwa kuwauza ,hamjasajili

Unahangaika humu dah[emoji23][emoji23]
 
Kuna muda inabidi kupambana Hadi mwisho ili kutuma ujumbe ,maana dharau Ni nyingi


[emoji599]Declan Rice is waiting for Arsenal to raise their bid for him after West Ham rejected Manchester City’s opening offer of Β£90m

(@JacobSteinberg )
 
It's like title Race imeanza mapema

Timu nyingine nikama zimejikatia tamaa za kupambana na Pep,

Manjesta haeleweki anaboresha Nini ndio kwanza yupo na kina magwaya

Liverpool anasubiri miujiza ya Klopp

Chelsea hawa wanaanza na Moja


Cha ajabu mashabiki ya unyumbuni inakuja kupiga kelele humu
 
Rice akionekana anaenda Arsenal tunaambiwa mbovu Mara Pep hamtaki


Ikionekana anaenda City , tunaambiwa Arsenal hatuna hela ,na bla blaa kibao

Wanafiki wamejiweka hapo Kati

Time will tell
 
Rice akionekana anaenda Arsenal tunaambiwa mbovu Mara Pep hamtaki


Ikionekana anaenda City , tunaambiwa Arsenal hatuna hela ,na bla blaa kibao

Wanafiki wamejiweka hapo Kati

Time will tell
Soon tutaanza kuambiwa tumepigwa, tumeingia kichwa kichwa, wakati hapo kati walikuwa wanajaribu kutucheka eti tumemfukuzia mchezaji afu tumemkosa[emoji23][emoji23]

Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume kuliko kuhaha haha (umbeya umbeya) kwa wenzio badala ya kurekebisha kwako
 
Wote wanaotukebehi humu ,Hadi kesho angalieni msijifiche tu
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna jeuri ya kutunishiana misuli na Sheikh Mansour.
Nyie tafuteni kila Lukonga wengine tu, hapo kwa Rice mtakula za uso kama mlivyokula za uso kwa Mudrick mkaanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu.
 
Kauzeni Magwaya kwanza kule OT ndo uje kufanya Fujo hmu mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23] Maskini ndie anategemea auze kwanza kisha ndio anunue.
Matajiri tunanunua tukiona hafai tunamuweka pembeni anakula mshahara wa bure tunanunua mwingine.
Hapo atachagua mwenyewe atafute timu nyingine au abaki aendelee kula kuku kwa mrija.
Timu yetu ni namba 2 kwa utajiri duniani, ina vyanzo vingi vya mapato haitegemei biashara ya kuuza wachezaji ili ijiendeshe.
Thamani ya Man Utd moja ni sawa na vilabu vitatu vya Arsenyo.
Engineer soma hioooo [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hope computerarsenal hataiona hii.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rice ni overrated sababu ni British, in my opinion huwa nawakubali sana South America players ni fighters na ball wanalijua hata baadhi ya African players pia huwa ni wazuri tatizo ni media coverage huwa haipo upande wao so Rice akija ni sawa asipokuja pia ni sawa tu
 
Rice ni mchezaji mzuri na wala sio overrated, anaweza asifikie kuitwa world class kwa maoni yangu ila ni mzuri hasa kwenye defensive ability na ndio maana anaitwa DM. Amekuwa hivyo kwa muda mrefu tofauti na wachezaji wengi wa kiingereza wanavuma halafu wanapotea kama akina Sancho. Ila mimi kati ya Rice na Caicedoa naweza kusema Cais=cedo ni prospect wa kuja kuwa versatile CM mwenye uwezo wa kukaba na kushambulia kwa pamoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…