Man u walianza kununua wachezaji kwa bei mbaya. Wakaharibu dressing room na performance
Wakafuata Chelsea wakaharibu dressing tukahatibu performance na sasa tunajitahidi kufagia
Arsenal Next. Mnanunua wachezaji bei ghali na kuwapa mishahata mikubwa bila sababu kitakachofuata ni manung'uniko dressing room halafu kiharibu morale ya wengine na kushika kwa performance. Kwa mchezo gani Havertz anastahiki paundi 200k kwa wiki?
Tusubiri tuone, ya Mungu mengi
Kwahiyo we unahisi Rice hatokuwa sehemu ya wenye price tag kubwa na wakafanya vizuri?Chakushangaza mnamtosa Partey na kumbakiza Jorginho. Soŕy Rice ni mzuri ila bei ni kubwa. Atakuwa na mzigo wa deni kubwa mabegani mwake. Sio wote wenye price tag kubwa wanaweza kuhimili na kucheza vizuri. Wengi wanaflop
Sasa Enzo unamfananisha na Rice mnaetaka kuingia cha kike, trust me City hawawez kuchukua mchezaji wa hovyo kwa pesa yote hiyo. Westham ni janja yao wawapige hela.Kwahiyo we unahisi Rice hatokuwa sehemu ya wenye price tag kubwa na wakafanya vizuri?
Mlichukua hatua gani nyie washabiki wa Chelsea baada ya club kutoa zaidi ya £100 Kwa Enzo?
Au wewe unaewapenda sana Arsenal unashauri wangemnunua Nani?
Mimi wala simfananishi na Enzo ila nafananisha price tag coz mada ni kuwa na price tag ya £100, kitu ambacho wote tunajua kuwa Signing ni GambleSasa Enzo unamfananisha na Rice mnaetaka kuingia cha kike, trust me City hawawez kuchukua mchezaji wa hovyo kwa pesa yote hiyo. Westham ni janja yao wawapige hela.
Huyo ubwabwa ni kama tyr mchezaji ni wa Ass anal. Westham wanacheza tu na akili yenu.
Mikel ArtetaKitu inayonifurahishaga kweye tetesi za usajili kwenye timu ya Arsenal ni kauli hii [emoji116][emoji116][emoji116]
* Player has only wanted Arsenal move
City anaweza peleka bid moja tu na kazi ikaishia hapo, wanaongea Kwanza wajue nini westham wanataka[emoji599] @ExWHUEmployee Patreon:
“We can confirm that Man City held talks with West Ham over the sale of Declan Rice but did not lodge an official bid. It was made very clear that Declan Rice really favours a move to Arsenal over the two.
The main factor is Arteta.” #afc
Full Post hii hapa chini , ili uisome kwenye petron inakupasa ulipie £5
View attachment 2667321
Unachoongea mbona Kama kimeshapitaCity anaweza peleka bid moja tu na kazi ikaishia hapo, wanaongea Kwanza wajue nini westham wanataka
Inawezekana City bado wapo kwenye mazungumzo ili kujua ni namna gani watalipa hizo pesa coz naamini hakuna atakaelipa zote Kwa mkupuo
Arsenal wao unaweza kuta wanataka walipe kwa installment nyingi zaidi ila city aka propose alipe kwa awamu ata 2 tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni upumbavu mkubwa kuamini kuwa Rice haitaki Manchester City team ambayo ina uhakika wa kubeba big trophies [emoji471] and medals [emoji966] NAKATAA HILI tena Manchester City akisema awe serious tunamkosa huyo Rice kwa asilimia [emoji817] nachokiona tu ni PEP anacheza mchezo vs Arteta sababu last season tumekuwa washindani wake na pia nao bado wanajitafakari but kwa Arsenal ndio anatakiwa amalize hii issue kwa uharaka tutakuja kuambiana Arsenal inafahamika kwa kufeli sajili daily but kusema Rice haitaki Manchester City ni wapumbavu pekee wataamini hii story, Arsenal wapeleke fungu tumalize hii saga but siku Manchester City apeleke fungu serious na habari ya Rice itakuwa imeisha trust me bro[emoji599] @ExWHUEmployee Patreon:
“We can confirm that Man City held talks with West Ham over the sale of Declan Rice but did not lodge an official bid. It was made very clear that Declan Rice really favours a move to Arsenal over the two.
The main factor is Arteta.” #afc
Full Post hii hapa chini , ili uisome kwenye petron inakupasa ulipie £5
View attachment 2667321
Mimi naweka vyanzo ,wewe unaweka porojo ,ndio maana huwa sikujibu na niliacha maana naongea fact sio mawazo yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni upumbavu mkubwa kuamini kuwa Rice haitaki Manchester City team ambayo ina uhakika wa kubeba big trophies [emoji471] and medals [emoji966] NAKATAA HILI tena Manchester City akisema awe serious tunamkosa huyo Rice kwa asilimia [emoji817] nachokiona tu ni PEP anacheza mchezo vs Arteta sababu last season tumekuwa washindani wake na pia nao bado wanajitafakari but kwa Arsenal ndio anatakiwa amalize hii issue kwa uharaka tutakuja kuambiana Arsenal inafahamika kwa kufeli sajili daily but kusema Rice haitaki Manchester City ni wapumbavu pekee wataamini hii story, Arsenal wapeleke fungu tumalize hii saga but siku Manchester City apeleke fungu serious na habari ya Rice itakuwa imeisha trust me bro
Kuhusu Raphinha kuikataa Arsenal na Chelsea na kuikubali Barcelona ni ukweli asilimia [emoji817] kuwa players wote wa South America ndoto zao kubwa ni only 2 teams Barcelona and Real Madrid so inapotokea tu hizo team zikamtaka player tena toka South America hawezi kataa abadani
Kwani kwa Mykhailo Mudryk hukuweka vyanzo?si hapa wote tulijua anakuja Arsenal deal inakaribia kukamilika?au sio wewe?uzuri mimi huwa naongea Naked truth kusema Rice haitaki Manchester City team but he prefer Arsenal team huu uongo nauchukia sana hata kama wote ni Arsenal fansMimi naweka vyanzo ,wewe unaweka porojo ,ndio maana huwa sikujibu na niliacha maana naongea fact sio mawazo yangu
Nimeweka source kutoka vyanzo reliable ,
Kila siku humu mnaelezwa situation ya deal la mudrky ,unarudia vile vileKwani kwa Mykhailo Mudryk hukuweka vyanzo?si hapa wote tulijua anakuja Arsenal deal inakaribia kukamilika?au sio wewe?uzuri mimi huwa naongea Naked truth kusema Rice haitaki Manchester City team but he prefer Arsenal team huu uongo nauchukia sana hata kama wote ni Arsenal fans