Upo sayari ganiCity Hadi Sasa hajatuma hiyo ofa
Media zime drive Sana Jana
Hasa Di marzio , media za UK zikamkana ,
Anasema Rice anakaribia mancity ,
Bila ku submit bid ,bila kumalizana personal term
Hii ngoma kesho jumamos hadi kufika saa 2 usiku kwa saa zetu za bongo tutajua muafaka.️ | TRANSFERS: Arsenal’s latest bid to seal Rice transfer.
: Daily Mail (@DailyMailUK) journalist Sami Mokbel has confirmed that Arsenal are set to launch their third bid for Declan Rice imminently.
@SamiMokbel81_DM: “West Ham believe Arsenal's third offer for their captain Declan Rice is imminent amid hope the transfer saga is reaching its conclusion.”
The deal is set to be around the £100m mark with all parties now expecting to resolve this transfer. Player has his heart set on the Gunners, looks like deal is on the verge of completion.#AFC #Transfers #WHUFC #Rice
Kaka hv siti inaweza kushindwa katika kusajili mchezaji ambae nao wanamtaka kweli kweli?
Kuna mwamba anajiita ExWHUemployee anapiga Exclusive za utosi kwenye hili dili wengine wote wanasubiri.Kwa habari za Rice toka hii saga imeanza SamiMokbel81_DM tu ndio anatoa update za uhakika
I wish siku Moja aondoke The Mail ,aende The Telegraph akaungane na kina SamJDean, Matt D Law , au The Athletic akaungane na kina David Ornstein
Mimi huwa kuna wakati nakuwa shabiki na nikitoa maoni natoa kama shabikiMtaalam Lembu tunakusikiliza na asante kwa kufuatilia mpira na sio team. ::::
Arsenal are preparing their second bid for Jurrien Timber. Expectation’s to be submitted soon — crucial step after green light from the player.️#AFC
Arteta has already approved Timber as priority target for this window.
Man city haja submit bid yoyote ,Upo sayari ganiView attachment 2666798
Upo sahihi Kaka ,kuanzia leo itajulikanaHii ngoma kesho jumamos hadi kufika saa 2 usiku kwa saa zetu za bongo tutajua muafaka.
Huyu Ni reliable kwa habari za Westham za ndani kabisaKuna mwamba anajiita ExWHUemployee anapiga Exclusive za utosi kwenye hili dili wengine wote wanasubiri.
Man city wanawafanya muingie mkenge. PEP hatakubali mchezaji wa mil 100 kwenda juu. Itamharibia dressing roomMan city haja submit bid yoyote ,
Ninawajua most journalists reliable na wakawaida ,
Anayesambaza hizo habari Ni Di marzio peke yake
Fabrizio Romano anasema hivi asubuhi hii
Arsenal have confirmed to West Ham their plan to submit one more bid for Declan Rice — after £75m plus £15m rejected.️#AFC
Understand Manchester City are also preparing their official bid — plan has not changed.#MCFC
Structure of deal/payment terms, key for West Ham.
Naona kitu hicho ,na mshindi ni Westham atapata anachokitakaMan city wanawafanya muingie mkenge. PEP hatakubali mchezaji wa mil 100 kwenda juu. Itamharibia dressing room