Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Haya wazee umefika muda wenu wa kuanza kusoma tution (UEFA PRE ENTRY COURSE).
Chonde Chonde Wenger, mchezo wako wa kusubiri mpaka tarehe ya mwisho ndio ufanye usajili wa ku-bargain ni nomaa; kuna mechi ngumu sana wiki 2 Za mwisho wa usajili ambazo zitakuwa muhimu sana kutabiri ya mbeleni.
Bila kutatua matatizo ya Fabregas na Nasri pamoja na swala la beki hizi mechi zifuatazo zinaweza kutusumbua sana:
August 13 Away Newcastle
August 16 Home Udinese
August 20 Home Liverpool
August 24 Away Udinese
August 28 Away Man united
Mechi ziko karibu sana na mpaka sasa hivi tupo tupo timu ijatulia. I hope kutafanyika mabadiriko kabla tarehe 13.
Weekend Njema gooners wote pamoja na washabiki wengine wa kandanda.
Mkuu usiwe na shaka Wenger knows, usione magazeti na pundits wanamsakama fahamu kwamba mziki wake mnene. Timu ya kuanza EPL ipo sawa sema lazima aangalie anamleta nani kule nyuma kwa ajili ya majeruhi nk. Gibbs is not yet kushika ile number anapwaya sana, Cesc hata mwaka jana mwanzo wa ligi hakucheza na msimu uliopita ndio aliharibu kabisa timu, this time atacheza kimkanda mkanda kwa sababu ya jeuri yake. Keshakubali kupunguza mshahara wake kwa Barca lakini ndio mpira wake utaisha na yeye mwenyewe anafahamu yuko njia panda. Kama ataondoka basi hatacheza CL mwaka huu ... ..... ..... ..... .....
hii ngoma na udinese ngumu sana kwetu arsenal!najaribu kujenga picha game ya kwanza bila van persie na nasri wakati dogo wilshere naye majeruhi na injini yetu fab ndo fifty fifty!mbaya zaidi tunamalizia ugenini....
Emirates aka uwanja wa ugeniniKufa na kupona tu Emirates hapo tunawapiga nyingi kumaliza biashara.
Emirates aka uwanja wa ugenini
......................, namhusudu ferguson, .................
Emirates aka uwanja wa ugenini
......a.k.a trophyless Library
Babu bilakufungua pochi hatufiki mbali.
Ni kweli kabisa ndugu yangu mimi inaniuma sana kuona ubahiri na usiri mkubwa sana katika usajiri kiasi kwamba tunachoka na gossip za kila siku.Maadam katuahidi week ijayo ngoja tutulie ili tuone usajiri wake hasa deffence.
Mkuu nyie hamna pre season ukafuatilia? LolHongereni sana, naona mnaongoza 2-1