Arsenal (The Gunners) | Special Thread

karibu flano ,ulipotea kidogo,

Nasikia manjesta mmefungiwa usajili
wale Vilaza(Glazer) wanazingua sana na hio mali yao ya urithi.
Badala wamuuzie mwarabu fasta kina Mbappe waje Trafford wao wanaleta maringo yao ya staki nataka mpaka dirisha la usajili linafungwa.
Ila Asenyo kwenye tetesi tu za usajili mpo vizuri sana aiseeee
 
Wale hiyo timu wanamuuzia Sir Jim ili mshike adabu vzr
 
Wale hiyo timu wanamuuzia Sir Jim ili mshike adabu vzr
 
Hata kama ni tetesi ila akili ya kawaida haikubali kuamini kama Kroenke's kwa ule ubahili wake ataweza kutoa £100m kununua mchezaji mmoja.
Msijitoe ufahamu, hio timu yenu ni mali ya Mpare mwenye uraia wa Marekani
Flano unachekesha Sana, hujaona kwa Rice tumetuma ofa ya £90m wamekataa , tunajiandaa kurudi na £100m

Yaan tufike £90m tushindwe 100?

January hapa si tulitoa had €95m kwa yule mudrky na £70m kwa Caicedo?

Labda Kama unatu joke
 
Is up to Chelsea Sasa ,wakubali au wakatae


new package is understood to be worth a guaranteed £55million plus an extra £5m in bonuses.

[@SamiMokbel81_DM - Tier 1
 
Flano unachekesha Sana, hujaona kwa Rice tumetuma ofa ya £90m wamekataa , tunajiandaa kurudi na £100m

Yaan tufike £90m tushindwe 100?

January hapa si tulitoa had €95m kwa yule mudrky na £70m kwa Caicedo?

Labda Kama unatu joke
Offer zenu za midomoni hizo watu hawataki kuzisikia, hata offer ikikubaliwa bado kwenye suala la malipo inakua kipengele, mtataka mlipe kidogo kidogo ndani ya miaka 5 ndio mmalize deni.
Nyie tafuteni wachezaji wa mikopo tu, hao wachezaji wa pesa ndefu tuachieni Man Utd, Chelsea na Mancity.
 
Dogo mwenyewe amekubali, amesema hakuna furaha duniani kama kua kwenye Theatre Of Dreams, amesema ni ndoto yake ya muda mrefu tokea yupo tumboni kwa mama yake siku moja awe ni miongoni mwa wachezaji wa hapo kwenye Matofali ya Kuchoma.
 
Manjesta mmefungiwa usajili
Hadi Bayern anawanyang'anya Kim Jae- ,hojlmund ,

Ona Bayern alipojifanya ana battle na sisi kwa Kai na Rice ,katupa Taulo

Nyie bajet Ni £120m
 
Declan Rice expects to be an Arsenal player by the end of the month with the Gunners and West Ham still thrashing out a fee.

Sami Mokbel - Tier 1
 
Kuna tetes zinasema Sina uhakika nazo ,bajeti Ni £200m

£100m for Rice, £60m for Havertz and £40m for Timber is £200m. The reported budget.

Anything else would come after sales. Things are getting clearer.

Hapo Kroenke or his affiliates atatoa huo mkwanja kama deni with interest. Sio kwamba anamwaga tu hela
 
Arsenal will make a new offer for Timber and are confident of signing the player

(@sr_collings)
 
BREAKING: Arsenal are advancing in talks to sign Roméo Lavia. Direct contacts between Arsenal and Southampton. No official bid yet.


Reports, @FabrizioRomano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…