£80m bid submitted for Rice.
£50m bid submitted for Havertz.
£30m bid submitted for Timber.
£160m committed.
£0 from sales.
Massive.
#Arsenal
TrueRemember, payments for players purchase are not 100% made upfront or in single installment. Inaweza chukua msimu mmoja au zaidi kukamilisha malipo
Pesa kaka, pesa sabuni ya roho.Neves kaenda huku ana miaka 26 tu
Huyu ni right back brother, japo wachezaji wengi tulionao wanaweza kucheza nafasi tofauti. Tunahitaji mchezaji mmoja tu kukamilisha depth pale nyuma.zitto junior
Ulikuwa unataka RCB,
Arsenal inafanya mazungumzo na Ajax ya kumsajiri Julian Timber , yupo vzr mguuni
Anacheza RCB na RB invertedHuyu ni right back brother, japo wachezaji wengi tulionao wanaweza kucheza nafasi tofauti. Tunahitaji mchezaji mmoja tu kukamilisha depth pale nyuma.
White, Tomiyasu, Zinny, Tierney, Timber, Saliba, Gabriel, Kiwior. Kila namba ina wachezaji wawili hapo.
|| Jurrien Timber is keen on a move to Arsenal, talks will continue
[Via - @FabrizioRomano].
Mwaka Jana dili la Lisandro Martinez ilikuwa hivi hivi , manjesta wakaja kutuharibia ,Safari hii mpaka wamalize kuuza timu watakuta sokoni wamebaki kina Vicent ABOUBAKARI, doumbia na kina Sawadogo
Manjesta watani zangu, Safari hii watasuasua kwa usajili, mpaka timu iuzwe sio leosema una maneno ya kejeli sana aiseee
Nyie ni wazee wa kupoint tu wala hamtupi shida, hamjawahi kua serious linapokuja suala la kutoa pesa.|| Jurrien Timber is keen on a move to Arsenal, talks will continue
[Via - @FabrizioRomano].
Mwaka Jana dili la Lisandro Martinez ilikuwa hivi hivi , manjesta wakaja kutuharibia ,Safari hii mpaka wamalize kuuza timu watakuta sokoni wamebaki kina Vicent ABOUBAKARI, doumbia na kina Sawadogo
Nyie ni wazee wa kupoint tu wala hamtupi shida, hamjawahi kua serious linapokuja suala la kutoa pesa.
Utashangaa Chelsea, Man Utd, Aston Villa au Crystal Palace wamepeleka pesa na kuchukua mali halafu nyinyi mnabaki na porojo zenu tu.