Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niambie kuwa PSG na Arsenal ni dhambi?hii team haiendelei reason kubwa nusu ya Arsenal fans wa 2010s na kuendelea hamna hoja za kureason tofauti na sisi wa 90s imagine unaona ni dhambi kuwa fan wa PSG na Arsenal at the same time
Hii timu umezaliwa ukaikuta na baadaye utaicha, so ukiona mienendo ya timu haipiti mle unataka ni vyema ukaachana nayo ukafanya mambo mengine
 
Timu za Saudia zimechachamaa.

Neves kagoma kwenda Barca kaenda Al Hilal

Mendy anaondoka Chelsea anaenda Saudi

Ziyech yupo njiani

Auba bado wanaongea

Lukaku kagoma
Pesa sabuni ya roho, ni binadamu wachache saana wenye jeuri ya kuipa pesa mgongo.
 
Sisi wote ni arsenal fan tubishane lakini tusifikie hatua ya kubezana na kutukanana
tujadili kwa upendo na busara.

Pia tukubali kukutokubaliana sometimes

You are very right, nina tabia ya kubeza na pengine kejeli, lakini sio kwa shabiki wa Arsenal. Sipendagi kulumbana kwa kejeli na matusi, na shabiki wa arsenal
 
Timu za Saudia zimechachamaa.

Neves kagoma kwenda Barca kaenda Al Hilal

Mendy anaondoka Chelsea anaenda Saudi

Ziyech yupo njiani

Auba bado wanaongea

Lukaku kagoma
Yan hizi timu aisee ni hatari sana, zinamwaga pesa kama hazina akili nzuri
 
Sisi wote ni arsenal fan tubishane lakini tusifikie hatua ya kubezana na kutukanana
tujadili kwa upendo na busara.

Pia tukubali kukutokubaliana sometimes
Naked Truth tena hao wanaojifanya ni blood Arsenal Fans hata final game ya champions
league 2006 hawajawahi kuishuhudia or 2008 champions
league game at Sansiro Adebayor na Fab wanascore pia hawaijui wananuka maziwa tu wameanza kuifuatilia Arsenal miaka ya 2010s hawa ndio wabishi na wanatukana humu Jukwani
 
EXCLUSIVE:

Arsenal working on deal to sign Ajax defender Jurrien Timber. #AFC have made an opening offer worth ~£30m. #Ajax want ~£50m but optimism a compromise will be reached. Personal terms with Netherlands int’l thought to be in place

@TheAthleticFC
 
EXCLUSIVE:

Arsenal working on deal to sign Ajax defender Jurrien Timber. #AFC have made an opening offer worth ~£30m. #Ajax want ~£50m but optimism a compromise will be reached. Personal terms with Netherlands int’l thought to be in place

@TheAthleticFC
 
Thus why ndio maana nacheka Sana wenye mihemko

Mambo yanaenda kimya kimya Sana

£60m kwa Kai deal advanced, waku hijack wameambiwa hakuna nafasi

£100m kwa Rice , Westham anasubiri wengine waingie kwenye biding war, Rice prefer only Arsenal, hivo Arsenal Hana wasiwasi ,mpaka leo hakuna aliyeingiza mguu kwa deal la Rice , Bayern aliambiwa Mchezaji anataka Kubaki London jiji la Raha ,tuliambiwa city atatuma ofa ,kumbe Ni Westham wakitaka Arsenal aharakishe

Arsenal pia imetuma ofa ya kwanza £30m kwa Timber ,RCB ,Ajax wanataka £50m , ila Arsenal wanaamin watafika muafaka


Dili zote zipo kwenye pipeline
 
Huu msimu nataka nithibitishe maneno ya Kroenke ,alisema timu ikiingia UCL ,Basi atatoa pesa kubwa ya usajili , dalili tuliziona January alipo bid €95m kwa mudrky , £75m kwa Caicedo

Toka ameichukua timu 100% mwaka 2018 , alisema timu ikirudi UCL itakuwa na uwezo wa ku generate pesa kwake itakuwa rahisi ku inject pesa za usajili .


Hadi Sasa

Kai inatarajia dili kukamilika kwa £60m
Rice £100m
RCB £45-50m
RW £50m
RB £40m

Kwa harakahara bajeti inaweza kuwa Ni £200m , then nyingine zitoke kwenye mauzo

Thus why Arteta anataka kumuuza balogun kwa £40m, Xhaka £15m , Partey £40m , Tierney £40m
 
RCB anayekuwa inverted Midfield


Telegraph wanasema


Arsenal have been looking to sign a versatile right-back who can tuck into midfield and Jurrien Timber has been top of their list for weeks (opening offer revealed by @David_Ornstein). Key part of their squad planning has been to add a Zinchenko-type player on the other side.
 
|| Jurrien Timber is keen on a move to Arsenal, talks will continue

[Via - @FabrizioRomano].

Mwaka Jana dili la Lisandro Martinez ilikuwa hivi hivi , manjesta wakaja kutuharibia ,Safari hii mpaka wamalize kuuza timu watakuta sokoni wamebaki kina Vicent ABOUBAKARI, doumbia na kina Sawadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…