Halafu Kuna watu humu Hersi aliwahi waita Wala mihogo wanakwambia Kai hafai
Wakati Kuna watu na professional zao wame analyse ,
Arsenal has analyzed #Havertz in detail. Edu & Arteta are convinced that he’s the perfect player for the offense. #Gunners
Arsenal want him as a versatile striker in addition to Jesus as reportedHavertz, convinced about the project!
Final negotiations with #CFC now
Personal terms agreed in principle.
@SkySportDE
Nigga Arteta ana mafanikio gani Nigga?tuanzie hapa kwanza and then tuendelee na Mjadala umanuona Arteta ni kama Guardiola Mourinho Fergie au Wenger vile kumbe bado mtoto mothefu***** Will Jr eeti mafanikio ndio maana tunatukanwa tu humu ukikaa mbele za watu watakuona boya eti mafanikio ya Arteta heeeeHumu kuna washikaji wachache sana wenye uhalali wakushangalia mafanikio ya Mikel Arteta, most people here are losers, so chaotic like women, plastic fans, Arteta outers wanaotafuta njia ya kuja kivingine kama vinyonga.
Kuwa shabiki tu inatosha, tizama mpira mengine waachie wahusika bro, kama vipi tuma CV Kroenkes wakarimu sana bro.Tuishie hapo, Kai ninayemfahamu costing £60m plus? Kuna upingaji kwenye hili deal. Hata £30m I see him overpriced.
Hizo hela mara 100 anunuliwe olise.
Jifunze kwanza kuandika we nae, kuandika yenyewe hujui afu una niquote, ngoja nakupiga ignore list umbwa computerarsenalKuna injuries! mifano halisi ipo hata kwa season iliyopita kaumia saliba mkampa lawama holding !! Sawa hio kikosi je kinaweza kucheza season nzima without injuries kuna uefa, epl,fa cup, na carabao. Unaijua arsenal kwa injuries inavyoongoza twende tuonyeshe na mbadala wake wa hicho kikosi kaumia saliba nafasi yake anakaa nan? Kaumia jesus tuambie nafasi yake anakaa nan? Kaumia saka niambie nafasi yake anakaa nan hapo . Smith rowe yupo kai anakuja arsenal kufanya nini?? Sio kama kai sio mzuriii hapana najua is talented but je ni mahitaji ya arsenal kwa sasa?? Msimu ulioisha ukweli umejionyesha wazi kaumia saliba tu then kilichofuata wote mnakijua !!
Partey, zincheko, jesus , tomiyasu hawa kwao injuries ni lazima !! Lakini hatuoni hizo tetesi za mbadala wao !! Isifike hapa ligi imeanza mkaanza leta sababu hatutaki sababu!!!
Unamfahamu vip Kai? Mimi nafahamu Arsenal walimtaka sana kama mbadala wa Ozil akiwa Leverkusen ,na aliuzwa kwa €100mTuishie hapo, Kai ninayemfahamu costing £60m plus? Kuna upingaji kwenye hili deal. Hata £30m I see him overpriced.
Hizo hela mara 100 anunuliwe olise.
Mimi nilisha wa ignore hawa, Cha ajabu wakikosa engagement wanalazimishaJifunze kwanza kuandika we nae, kuandika yenyewe hujui afu una niquote, ngoja nakupiga ignore list umbwa computerarsenal.
Hawa Hawa wamemtukana Arteta kwa sajili za kina Jorginho, Odegaard, Ramsadale ,Jesus, n.k
Leo Ramsdale ndiye most valuable GK duniani
Odegaard yupo kwenye list ya most valuable AM
Sizungumzii alivyowapandisha thaman kina Saka ambaye Ni 3rd most valuable duniani ,
Sitamtaja martinell , n.k
Binafsi huwa naona hata Bora nikae pemben hata mwezi mzima niangalie lawama zao tu,
Leo hao hao wanamponda Kai havertz ,kesho watakuja kumsifia
Talent identification bila clear strategy itakua kama Wenger tu. Huyo huyo Arteta alimsajili Tavares na Vieira na Lokonga and so far wamekua disastrous so tusi exaggerate uwezo wake.Ben white hujamuongelea brother.
Arteta's talent identification is next to none
Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis
Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya
Hizi ndio habari tunapenda sikia sio ujinga wa HarvetzArsenal have concrete and strong interest in Romeo Lavia. Relationship is excellent with his camp — talks already took place. #AFC
Timing will be crucial as Chelsea remain interested. Man United appreciate Lavia but still not advancing. City buy back clause only valid 2024.
Romano
Whaaaaaaatttttttttttt Arteta anataka kufanya nini sijui@FabrizioRomano:
“From what I understand, Thomas Partey could be on the move this summer, it’s a possibility for Partey to LEAVE Arsenal. I’m told this is very concrete, a concrete chance to find a solution. There are conversations ongoing, it’s still not advanced.” #afc
Aiseee, tunatoa Xhaka na Partey alfu tunaleta Rice na Lavia, upana wa kikosi sijui upo wapi hapa na ndicho kilichotuangusha msimu ulioisha, Partey sio wa kumuondoka kabisa akikamua game zake 20 tu msimu mzima zinatosha wengine watakamua zingine why tunataka kumuondoa Partey ?????Arteta alishajiandaa bila Partey ,akimtumia Jorginho ambaye Hana rekod ya majeraha,
Ujio wa Lavia itakuwa mlango wa Partey kuuzwa
Talent ID unaipima kwa sajili zote zifanikiwe? Hakuna kocha wa hivo duniani ,Pep amefeli Mara kadhaa , Arteta kwenye sajili zake 10 unakuta 70% zinafanya vzr , hata kwenye kuendeleza vipaji, ndio maana mchezaji Kama Rice ,Kai wamevutiwa na project yake,Talent identification bila clear strategy itakua kama Wenger tu. Huyo huyo Arteta alimsajili Tavares na Vieira na Lokonga and so far wamekua disastrous so tusi exaggerate uwezo wake.
Kingine Havertz anaweza akawa mzuri ila je ana address tatizo la msingi pale Arsenal? Shida yetu kubwa na nimeongelea tokea Bado tunaongoza ligi last December kwua depth kwenye defence itatuua.
Mlibisha sana ila wote tumeona yaliyotokea alipoumia Saliba so sio Kila muda Arteta anajua Kila kitu he's a human anaweza prioritize attacking akasahau defence.
Hapo ni muhimu tusajili RB na RCB au mchezaji hybrid wa hizo nafasi mbili then twahitaji CM wawili yaani rice na sub yake then we still need sub ya Saka hapo walau tunaku better ila spending 70m kwa luxury player wakati hatuna defence depth ndio Yale Yale yanajirudia.
Tutarudi Tena hapa mwakani kulaumiana jinsi tumekosa ubingwa baada ya Saka kuumia au White kuumia!!
Same old Arsenal
Nyie si ndio mlipinga ujio wa Jorginho, Ode ,n.k?Hizi ndio habari tunapenda sikia sio ujinga wa Harvetz
Hizi dalili niliziona alipoanza kupigwa bench , nili anticipate tutamsajili Lavia maana uchezaji wake unafanana Sana alongside na RiceAiseee, tunatoa Xhaka na Partey alfu tunaleta Rice na Lavia, upana wa kikosi sijui upo wapi hapa na ndicho kilichotuangusha msimu ulioisha, Partey sio wa kumuondoka kabisa akikamua game zake 20 tu msimu mzima zinatosha wengine watakamua zingine why tunataka kumuondoa Partey ?????
Mwamba umeongea vizuri Sana ni mshabiki wa Arsenal sisi sio wajinga kuwauzia Kai shida ya huyu mchezaji ni legelege Sana Bora uwe laini lakini unajua kuficha mpira ila kai vyote hana sio aggressive kabisa alafu ana shida ya kukosa magoal ovyo ovyo ndio maana amemaliza ana goal 9 msimu mzima kwa kweli mmetusaidia kutua mzigo200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.
Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.
Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.
Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?
So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.
Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.
Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected
Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.