Bro ishu sio mihemuko
transfer plan ya timu yetu inashida tokea kitambo sana
naomba nikurudishe nyuma kidogo
hazard/ mata /mudryk hawa ni wachezaji tuliokuwa tunaongoza race kuwataka jibu unalo walishia timu gani
bruno guimares tulihusishwa sana nae before hajatua newcastle
Caicedo january tumeshindwa kumpata regardless of effort ya player himself afu compare na chelsea walivyo fight kumpata enzo
Sisi hata joao felix tulishindwa mazee
Geuka upande wa pili angalia man city walivyompata halland jack grealish kelvin phillips alvarez
Liverpool walivyompata gakpo nunez na macallister
Its true kabisa hakuna fans ana uhakika na sajili zetu mpaka zikamilike
Tielemas bonge moja la progressive mido unashangaa shangaa kumchukua, kama mtu una jicho la mpira basi utakubaliana na mimi kuwa gundogan is very similar with tielemas
tofauti ni timu tu
Mi ni true arsenal fan ila still kwenye usajili tuna uslow mwingi sana na tuna lack maturity.
Umeongea mambo mengi ambayo huna taarifa sahihi ,na hii ndio sababu mnaleta mihemko mingi Sana
Kuhusu Hazard kafatilie vzr , alisema ule mwaka timu itakayobeba UCL anaenda hiyo hiyo ,akaenda Chelsea
Kuhusu mudrky inajulikana bid iliwekwa had €100m , Politics zikafanyika mule ,leo Kiko wapi?
Kuhusu Caicedo , Brighton walisema NOT FOR SALE hata iwekwe Bei gani ,
Kuhusu Tielemans , Ni mchezaji mzuri but Ni mvivu bila mpira ,ishu zile zile zilizomuondoa Ozil kwa Arteta , Huyo Tielemans anamfikia Ozil hata nusu?
Mbona amekuwa Free hakuna timu kubwa iliyomfata Wala kumuulizia had ameenda Villa?
Hi inaonesha huna taarifa sahihi
Unasema Arsenal kajitoa kwa Caicedo, Awali kabisa
David ornstein na vyanzo vya kuaminika vilisema Tutasajiri kwanza DM na CM ,Beki na ikiwezekana CF
Kila position inakuwa na chaguo la kwanza had 5 , Ni dhahiri kwa upande wa DM Ni Rice au Caicedo ,CM/AM priority imejulikana Ni Kai havertz ,
Tafuta taarifa sahihi kabla hujaanza kulalamika