Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo wamwachie kwa laki tatu tu🤣🤣
 
Mnadhani tumeona nini Kwa Kai Havertz ambacho Chelsea wameshindwa kutumia mpaka wanuuze? Na je Kwa Nini anaonekana kuwa wa bei hiyo? Ataimudu nafasi ya Xhaka au?
 
Mnadhani tumeona nini Kwa Kai Havertz ambacho Chelsea wameshindwa kutumia mpaka wanuuze? Na je Kwa Nini anaonekana kuwa wa bei hiyo? Ataimudu nafasi ya Xhaka au?
Kwani kila atakaesajiliwa ni kwa ajili ya kuziba nafasi ya Xhaka?
 
Arsenal have significantly advanced on Declan Rice’s personal terms in the last few days — that’s why Arsenal will bid again to find a solution with West Ham.
#AFC

£80m was never gonna be enough to convince West Ham, as they hope for more than £100m to sell Rice.

… Edu wa watu wake wana dharau sana yani Rice £80m
bora City kahusika hapa wampige presha kabisa aache utani aisee.
 
Harvetz hakuna kitu pale
Sina tatizo na kai ila personally simuelewi.,
Nimegundua analysis yetu mashabiki iko kwenye technical point of view,ila makocha na scouting team wanaangalia tactical na technical qualities hasa kwa kuzingatia philosophy ya team.

Kai? Mmh anajua ateta.ila kwa sasa mchezaji hata kama ni mzuri kiasi gani ila kama workrate yake ni ya kawaida usitarajie kumuona Emirates
 
Hizi kondoo ukizisikia zivyosifia sajili zao, utafikiri mnanunua wachezaji kutoka sayar nyingine, kumbe mnaenda kupgwa kwa Havertz, mchezaji ambaye mpk Bayern na Mardird zimejitoa ndio ujue ni kiasi gani ni mchezaji wa hovyo.

UBwabwa pia mnapgwa
 

Utaratibu umebadilika sio
kwamba arsenal wanakaa mezani wanakubaliana then wanatuma ofa moja. Tayarii wametuma hio moja imekataliwa
hizi za utaratibu kubadilika umeutoa wapi mbona tayari wametuma na imekataliwa endelea kuwapa false hope vijana
 
Huyo jamaa huwa anawajaza ujinga na huwa hata hawashtuki, kama makondoo vile.
Nahisi huko aliko huwa kuna mda akikaa anaanza kuwacheka mazuzu wake.
 
Huyo jamaa huwa anawajaza ujinga na huwa hata hawashtuki, kama makondoo vile.
Nahisi huko aliko huwa kuna mda akikaa anaanza kuwacheka mazuzu wake.

we acha tu
Mashabiki wa arsenal ni vituko na si mashabiki hata wapeleka offer huku ndani ya club

Unakumbuka ile ya wenger kumtaka suarez waliongeza paundi moja
 
BREAKING NEWS
Arsenal have withdrawn their interest in Brighton star, Moises Caicedo
 
Wewe jamaa unawashwa Sana ,maana nilikukataa bado husikii , mbona mm nilikwambia sikusikilizi, au unatafuta bwana humu? Sikujui ,ila kutwa kunifatilia

Yaani kuripot habari za Arsenal humu unaumia ,shida Nini? Au kwenye majukwaa yenu hamna wakujadili nao ,unakuja kutafuta engagement humu?

Move on Basi
 
Unayeongea Sasa Ni mshabiki wa timu ambayo imemaliza nafasi ya 12 na haujui msimu ujao mtagombea kushuka daraja au Kubaki

Watu Kama nyie sio wakuwajibu mpo kusaka engagement
 
Kai Havertz has ACCEPTED Arsenal’s contract proposal, now down to clubs to agree the fee.

(@FabrizioRomano) #CFC
 
Fabrizio Romano

Understand Kai Havertz has given green light to Arsenal contract bid after positive indications #AFC

No problem on personal terms.

Arsenal & Chelsea in contact — no chance for £75m but Chelsea will be flexible.

Bayern, informed… but still quiet.

Real 100% out of the race.
 

Jamaa mbona makasiriko sana !!!! Kwani mimi ndo nimefanya arsenal akose ubingwa!! Ukidanganya tupo tayariii kukataa na kusema huu ni uongo huu ni ukweli wala si kwamba nakufuatilia, wewe kama hunisikilizi sawa. Matusi ya nini tena brother, wewe kwenye thread za man city, man utd , chelsea au Liverpool huchangiangi kwa kuponda ama!! Acha makasiriko wewe !
Tatizo unatudanganya tukikuambia unakuwa mkali kwani si maneno yako hayo ulisema arsenal anapeleka bid moja tu utaratibu umebadilika !!
Hili sio jukwaa lako pekee ako mzee kila moja ana haki ya kuchangia
 
Kuna sehemu nimekujibu ,why unawashwa na mimi kila ninachopost?

Kama unatafuta bwana ,Mimi sijihusishi na mambo ya Ushoga

Maana kutwa kunifatilia , na nilipokuona huna akili nikakwambia nitakaa mbali na wewe ,Cha ajabu unanifatilia ,je umesikia natafuta shoga?

Sitakujibu tena ,Kama unataka mtu wakukuna , tafuta mwingine, sikujui na sijawahi kujadiliana na wewe .
 
| Dean Jones on Arsenal and Declan Rice:


“It probably feels like a bit of a setback on the surface that a first bid has been rejected, but it's pretty normal that this happens, especially in such a high-profile transfer.

“I'm sure Arsenal fans are panicking a little bit, but I'm told that a second bid is likely to follow pretty quickly. I think there's still confidence that Declan Rice will become an Arsenal player.” [@GiveMeSport] #afc
 
|| So, the article that stated we’ve withdrawn from the Caicedo race is no longer available.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…