Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiungo wa Manchester City, Ilkay Gündogan amegeuka dili Ulaya na Uarabuni baada kutakiwa na vilabu mbalimbali kutoka sehemu hizo.

𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐂𝐢𝐭𝐲 wamempa ofa ya kuongeza mwaka mmoja zaidi kuendelea kuwatumikia.

𝐁𝐚𝐫𝐜𝐞𝐥𝐨𝐧𝐚 wao wametoa ofa ya miaka mitatu huku vilabu vya 𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐀𝐫𝐚𝐛𝐢𝐚 vikiendelea kumshawishi Star huyo tangu mwezi Januari wakati wa dirisha dogo ili atimkie huko.

𝐀𝐫𝐬𝐞𝐧𝐚𝐥 pia wameonekana wakihitaji huduma ya kiungo huyo wa Ujerumani.
 
20230424_180858.jpg
 
Katika zile timu za juu kule mmebaki nyie na Totteham pekee (na hapo nimewapa sifa msiyostahili cz hamfai kuitwa timu ya juu) tena Totteham wataanza kuchukua ndoo ya UCL kabla ya kondoo Ass'anal.
Hii ndio ac tunayoijua, zile zingine achana nazo njoo na hii tutambue we ni nyumbu my broda
 
Kiungo wa Manchester City, Ilkay Gündogan amegeuka dili Ulaya na Uarabuni baada kutakiwa na vilabu mbalimbali kutoka sehemu hizo.

𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐂𝐢𝐭𝐲 wamempa ofa ya kuongeza mwaka mmoja zaidi kuendelea kuwatumikia.

𝐁𝐚𝐫𝐜𝐞𝐥𝐨𝐧𝐚 wao wametoa ofa ya miaka mitatu huku vilabu vya 𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐀𝐫𝐚𝐛𝐢𝐚 vikiendelea kumshawishi Star huyo tangu mwezi Januari wakati wa dirisha dogo ili atimkie huko.

𝐀𝐫𝐬𝐞𝐧𝐚𝐥 pia wameonekana wakihitaji huduma ya kiungo huyo wa Ujerumani.
Eti Arsenal
 
Arsenal are close to agreeing a fee with West Ham for Declan Rice and are expected to pay more than £100m for the midfielder if certain add-ons are achieved.

A bid is yet to be submitted but talks between the clubs are progressing smoothly and there is confidence that the deal will be finalised soon.[@JacobSteinberg via @ArsenalBuzzCom]
 
Arsenyani mna gundu. Wenzenu Denver Nuggets wameshinda ubingwa wa NBA 2023. LA Rams wameshinda Super Bowl 2022. Colorado Avalanche wameshinda Stanley Cup 2022. Colorado Mammoth wameshinda NLL 2022.

Wote mnamilikiwa na Kroenke. Bora tajiri aendelee kuwekeza pesa kwenye timu zinazoshinda makombe. Halafu mnategemea kumsajili Rice. 😂😂😂
 
Arsenyani mna gundu. Wenzenu Denver Nuggets wameshinda ubingwa wa NBA 2023. LA Rams wameshinda Super Bowl 2022. Colorado Avalanche wameshinda Stanley Cup 2022. Colorado Mammoth wameshinda NLL 2022.

Wote mnamilikiwa na Kroenke. Bora tajiri aendelee kuwekeza pesa kwenye timu zinazoshinda makombe. Halafu mnategemea kumsajili Rice.
Oya Tajiri ndio ameanza kuwekeza Arsenal mwaka 2018 ,na toka hapo Arsenal imeanza kuleta ushindan
Msimu huu anamwaga pesa za kutosha
 
Arsenal close to signing Declan Rice in a £100m deal inclusive of add-ons. Confidence from both parties that an agreement will be reached soon. Moisés Caicedo and Ilkay Gündogan are also targets for Arsenal. Reports,

@ChrisWheatley on Instagram.
 
Oya Tajiri ndio ameanza kuwekeza Arsenal mwaka 2018 ,na toka hapo Arsenal imeanza kuleta ushindan
Msimu huu anamwaga pesa za kutosha
Tajiri ana furaha anaweza kutoa £100m ya Rice. Josh Kroenke & Edu wamejitahidi msimu uliopita.

Big boss, Stan Kroenke mmemuangusha msimu huu.
20230613_072058.jpg
 
INJURY NEWS:

Takehiro Tomiyasu, Mohamed Elneny, Gabriel Martinelli and Oleksandr Zinchenko will all feature in Arsenal’s pre-season.

Reports, @kayakaynak97.
 
Ukiangalia saga la Mbappe inaonekana wazi PSG watamuuza dirisha hili, na yupo tayari kwenda timu tofauti na Real Madrid kama watashindwa kumsajili.

Dili la Mbappe hadi kukamilika approximately, €300m, kuna club fee, player fee, agent fee. Real wana maeneo baadhi ya kuboresha ndani ya kikosi, wamemsajili Jude kwa €100m, maanake kumsajili mbappe na Jude watatumia karibu €400m dirisha hili,

Real Madrid Kama watashindwa ku afford hili dili Kuna uwezekano Mbappe akaenda timu tofauti. Mbali na Real Madrid, Bayern na Man city wana nafasi.

Conclusion; Kama timu yako haina hela usimuwaze Mbappe, na kama timu yako haipo UEFA piga kimya kabisa.
 
Arsenal close to signing Declan Rice in a £100m deal inclusive of add-ons. Confidence from both parties that an agreement will be reached soon. Moisés Caicedo and Ilkay Gündogan are also targets for Arsenal. Reports,

@ChrisWheatley on Instagram.
Hizi habari zinachosha sasa kama hela ipo team iweke imnunue mambo ya daily ARE CLOSE TO SIGNING yanachosha na ni normal kwa news kama hizi kwa Arsenal mwishoni unaona Rice kaenda Manchester United
 
Baada ya mazungumzo kwenda vizuri

Arsenal inaandaa ofa ya mwisho ya zaidi ya €100m pamoja na malipo ya bonasi. West Ham iko tayari kusema NDIYO. Bayern inafahamu kuhusu ofa mpya ya Arsenal.

[@Plettigoal]- Sky sports Germany
 
Baada ya mazungumzo kwenda vizuri

Arsenal inaandaa ofa ya mwisho ya zaidi ya €100m pamoja na malipo ya bonasi. West Ham iko tayari kusema NDIYO. Bayern inafahamu kuhusu ofa mpya ya Arsenal.

[@Plettigoal]- Sky sport Germany
 
Back
Top Bottom