Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi habari zinachosha sasa kama hela ipo team iweke imnunue mambo ya daily ARE CLOSE TO SIGNING yanachosha na ni normal kwa news kama hizi kwa Arsenal mwishoni unaona Rice kaenda Manchester United
Bora umwambie huyu mzee yeye kila siku arsenal are expected to launch 92 mara 100m for Declan rice
Mwisho wa siku yupo German au utd kama wanamtaka waweke vitu mezani sio ku expect tu ohooo
 
Bora umwambie huyu mzee yeye kila siku arsenal are expected to launch 92 mara 100m for Declan rice
Mwisho wa siku yupo German au utd kama wanamtaka waweke vitu mezani sio ku expect tu ohooo
Usichojua ni kwamba hata waandishi nguli wa habari/usajili wanazifuatiliana saana habari za Arsenal hata pasipopaswa wao kutoa taarifa wanazitoa sababu wanazijua wao na sisi tunazijua sana why wanafanya ivyo,
Ishu ya Rice ilianza mara
Wanasubili fainal imalizike,wanajiandaa kituma ofa,watatambulisha ofa yao ya kwanza,mara kuna uwezekano wa kumjumuisha na ESR ili mradi tu.
 
Usichojua ni kwamba hata waandishi nguli wa habari/usajili wanazifuatiliana saana habari za Arsenal hata pasipopaswa wao kutoa taarifa wanazitoa sababu wanazijua wao na sisi tunazijua sana why wanafanya ivyo,
Ishu ya Rice ilianza mara
Wanasubili fainal imalizike,wanajiandaa kituma ofa,watatambulisha ofa yao ya kwanza,mara kuna uwezekano wa kumjumuisha na ESR ili mradi tu.
ESR wasimguse kabisa.
 
Ukiangalia saga la Mbappe inaonekana wazi PSG watamuuza dirisha hili, na yupo tayari kwenda timu tofauti na Real Madrid kama watashindwa kumsajili.

Dili la Mbappe hadi kukamilika approximately, €300m, kuna club fee, player fee, agent fee. Real wana maeneo baadhi ya kuboresha ndani ya kikosi, wamemsajili Jude kwa €100m, maanake kumsajili mbappe na Jude watatumia karibu €400m dirisha hili,

Real Madrid Kama watashindwa ku afford hili dili Kuna uwezekano Mbappe akaenda timu tofauti. Mbali na Real Madrid, Bayern na Man city wana nafasi.

Conclusion; Kama timu yako haina hela usimuwaze Mbappe, na kama timu yako haipo UEFA piga kimya kabisa.

Hata wenye hela na waliopo UCL wengi wanabanwa na FTT kwa hiyo bei
 
Bora umwambie huyu mzee yeye kila siku arsenal are expected to launch 92 mara 100m for Declan rice
Mwisho wa siku yupo German au utd kama wanamtaka waweke vitu mezani sio ku expect tu ohooo
Hujalazimishwa kuchangia ,pita kimya

Sajili hasa za £100m Zina michakato yake ,

Halafu usitegemee usajili bila tetesi
 
Bayern Rasmi wamesema hawana uwezo wa kushindana na Arsenal kwa Rice

Tumgeukie Caicedo sasa

FC Bayern always knew that Declan Rice wanted to continue in England. Tuchel is big fan but deal was never close to being completed with FC Bayern.

Arsenal, working on their official bid as personal terms won’t be an issue. #AFC
 
Yaan caceido atoke timu ndogo Brighton aende timu ndogo Ass anal, atakua hajielewi
Nilichogundua wewe hujielewi

Ulikuwa unasema Rice hawez kuja Arsenal ,hatuna hela

Umesikia watu wanapeleka £100m sio €100m , narudi £100m unasema Rice mbovu,

Sitakujibu tena , maana Chelkenge mnaenda kugombea daraja Tena msimu ujao
 
On Declan Rice, it's about reaching 'an agreement to sell'. The board has learned from making bids public (Mudryk). Several 'informal bids' have been made recently as they negotiate a mutually agreed fee. Once agreed, one single 'proposal' that will get accepted. More soon…
 
Saiviii wakina Grealish, stones wana party tu mashabiki wa man city, barca, napoli mpaka yanga! wana party tu ila hawa the bottlers ni tetesi za usajili tu kila dakika utashangaa man city liver wamepiga usajili bila ya tetesi hizi chapu chapu wanakausha.

Arsenal wakati watu wanafurahia ubingwa wao ni usajili , watu wakimaliza kushabikia ubingwa wanasajili wanaingia mzigoni kutafuta ubingwa tena ila muda wakutafuta ubingwa utashangaa arsenal wanalalamika depth ya kikosi oooh mara kikosi kidogo mara ooh utadhani kama sio wao walikuwa wametamalaki kwenye transfer live , watu wanasherekea ubingwa ,mashabiki wa arsenal wanaanza tetesi za usajili tena . CYLE INAENDELEA MIAKA KWA MIAKA
 
This project gonna go bang.
IMG_20230613_082208.jpg
 
Kwa wale ambao ngeli inapanda na terms za kimpira wanazielewa kimtindo, kuna thread nimeiona Twitter, jamaa anaitwa @EBL2017 kaeleza vizuri mno utofauti wa Rice & Thomas Partey, you can check it out my broda.

wanangu daah fans wa arsenal mna mikwara mikali sana!!! Ngoja tukacheki maana hata pepe wakati anasajiliwa ilikuwa hivi hivi oooh ana pace sijuii na mengine mengi , na dogo wetu mudryk ilikuwa ndo kila sekunde ila at the end kama kawaida akatua chelsea alivyotua tu chelsea zile sifa zote zikapotea
 
Arsenal have renewed interest in Caicedo who is likely to cost 80m pounds

Two Italian clubs have shown interest in Partey, and Arsenal could be offload him if they get a deal for Caicedo over the line.

(@garyjacob )

thetimes.co.uk/article/transf…
 
There has been disappointment at Arsenal that Partey, 30, dominated matches for two thirds of the past season, then regressed to his performance levels of the previous two campaigns.

(@garyjacob )
 
Back
Top Bottom