Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Big up kwa citizens

Naimani hii kitu itazidi kumtibua nyongo Arteta
#trusttheprocess
 
Manchester utd
that night in Moscow 2008
Chelsea
that night in Munich 2012
Liverpool
that night in Wanda metropolitano 2019
Manchester City
that night in instabul 2023
Arsenal
those nights when we were at the top of the table


Poor Wenger orphans
 
Endelea kuwaaminisha wenzio kuwa Rice(Ubwabwa) ni bonge la mchezaji, badae uwakimbie
Rice kumfananisha na enzo, ni kumkosea heshima enzo, ningekuona unajua mpira ungesema Caseido ni bonge la mchezaji ila sio huyo mchele.
Kaka Caicédo ni habari nyingine, hatakiwi kabisa kulinganishwa na mtoto mchele mchele
 
Timu ya kisenge kutwa rumours za usajili but no big trophies even Manchester City amewin champions league trophy and Arsenal still has 0 ueropean trophy seriously?
Sasa si uhamie timu isiyo ya kasenge!.. Utafikiri umelazimishwa!... Ushabiki ni kama koti likikubana unalivua!.. Mashabiki wa Arsenal Tupo wengi saaaana! Ukihama hatupungukiwi chochote! Huelewi maana ya ushabiki!.. Mimi Arsenal hata ikishuka daraja nitaendekea kuipenda tu!.. Daaah Kuna watu mna Gubu sana! Anyway inawezekana upo kwenye early 20s. Unaonaje ungetafuta namba ya Arteta au Kroenke Ili uwe unawapigia simu na kuwatukana kabisa!.. Sasa hapa unatupigia kelele tu maana hatuwezi badili lolote.
 
Ila sisi tunaipenda!...
 
Sijui kwanini watu hamuelewi kwamba huyo ni shabiki wa Nyumbu yupo hapa kuleta Fujo.
 
Kaka Caicédo ni habari nyingine, hatakiwi kabisa kulinganishwa na mtoto mchele mchele
Utashangaa hawa walivyorogwa watakwambia caceido kwa rice haingii ndani, yaan mchezaji akishatakwa na Ars88 watampamba akiwatosa wanamponda, kama jogh alivyochukuliwa na Ars88 wanampamba wakat ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea.

Utawasikia hahahaha..... "kati anakaa rice, juu kidogo anashikilia øde na jogh, zinny anakuja kujaza kiungo, kushoto martinel(huyu kwa upande wangu cjawahigi kuona anachokifanya zaid ya kukimbia kimbia tu na mpira, ndio tegemeo awape kombe, dah! aisee!!!)

Kama ww ni kocha na ni mara yako ya kwanza kuja duniani, ukaambiwa timu yako ikacheze na Arse88 unaweza ukagoma kupeka timu uwanjani.
 
Sijui kwanini watu hamuelewi kwamba huyo ni shabiki wa Nyumbu yupo hapa kuleta Fujo.
Naelewa brother!.. sema nakerwa sana jinsi jamaa anavyojifanya eti na yeye ni Arsenal.. yaani pamoja na kuwa mwaka huu Arsenal imeimprove na Sasa Arsenal ni miongoni mwa timu tishio pale England ila lijamaa linajitahidi sana kutunyima raha hapa! Yaani linajitahidi sana kuonyesha sisi si lolote!.. Bora wenzake Akina flano hata wakituponda unajua kabisa huyu ni nyumbu anatapatapa tu!.. Sasa hili timu ikishinda halipongezi.. ila ikifungwa linaponda sanaaa! Kuna watu wanakera sana!.. KAMA YEYE NI NYUMBU SIAWEKE WAZI TU! AACHE UTOTO
 
kuzi kweli huyu jamaa...
 
wabongo akili zetu tunazijua sisi tu, kuna huyu flano, ARV na kuna jamaa best sijui kwenye hizi akaunti 3 computerarsenal hakosi hapo, hiii iliyoibuka sahivi ni computer aliyebadili jina tu
 
Toka Arsenal ianzishwe (mwaka ambao nuhu alijenga safina mpaka Leo hawajawai kubeba hichi kikombe
 
Walitutesa sana, walitunyayapaa, walituona kama wengine tumekosa team za kudhabikia kwakuwa waliongoza ligi kwa muda mrefu. Wakajipa matumaini ya kumaliza wakiwa mabingwa, uongozi wa team wakatengeneza jezi za kushangilia ubingwa, wakaongeza kiingilio kwa game yao ya mwisho ya kushangilia ubingwa, wakamuona man city kama sisimizi tu, wakatolewa makombe mengine yooote wakadai wanataka la league tu ....

Ngoja niishie hapo kwa leo
 
Kombe kabeba cty humu mapicha kibao Sasa mnataka nn? Muda ukifika tutabeba tu tena tunaanza na uefa saivi kikosi kinawekwa sawa akitoka mtu anaingia mtu sio ile akitoka saliba anaingia Rob tulieni yaan. Wanaojua Mpira wanajua aseno Sasa inaelekea wapi saivi Narudia Ni kumaliza na 90+ anaemaliza juu hizo ndio bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…