Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,149
- 15,960
Dunia haiko hivyo Ndugu, usishangae kesho ungali hai Arsenal FC ikatoka nyuma na kuwapita Man City tena mbali sana kirekodi kwa kubeba kombe hilo hilo la UEFA CL.Itawachukua miaka bukuu[emoji23][emoji23]View attachment 2653254
Dunia haiko hivyo Ndugu, usishangae kesho ungali hai Arsenal FC ikatoka nyuma na kuwapita Man City tena mbali sana kirekodi kwa kubeba kombe hilo hilo la UEFA CL.
Mbona Man City yenyewe mwaka huu 2023 haikupata ushindani kiviile maana klabu kubwa nyingi sana zimeshuka kiuwezo zikiwemo Buyern Munich & Chelsea FC sababu ya kukosa umakini wa bodi kuamua kukaa na Makocha bora kwa muda mrefu baada ya mabadiliko ya ghafla kabla hata ya wiki 2 kupambana hatua za robo fainali na Real Madrid na Man City?
Pia tambua Man City imemgharimu zaidi ya miaka 7 tangu 2016 pamoja na kuwa na Kocha bora na uwekezaji mzuri kifedha kusajili Wachezaji bora kila mwaka na kufanya vizuri kwenye EPL & FA.
Pesa + Kocha bora na Wachezaji wazuri + Bahati (Upepo) = Makombe/Mafanikio.
Imagine 2006 Arsenal FC ilimtangulia Chelsea FC kucheza fainali za UEFA CL na haikubeba hilo kombe ilihali Chelsea FC ilikuja nyuma ya Arsenal FC kucheza fainali za UEFA CL 2012 & 2021 na zote ikabeba.
Nani alijua Chelsea FC itabeba hayo makombe mara 2 hizo kulingana na kikosi cha Wachezaji iliyokuwa nao dhidi ya timu pinzani za Buyern Munich & Man City?
Je Barcelona FC ya akina Xavi, Iniester, Puyol, Messi ilivyokuwa moto na kubeba UEFA zaidi ya mara 3 tokea 2006, nani alitegemea Real Madrid itabeba zaidi ya mara 5 tokea 2013?
Jifunze kuwa na akiba za maneno (future life is unpredictable/uncertainty).
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Msamehe utamuua, mana unagonga kule kule kwenye mishono.View attachment 2653082
Ulituahidi as arsenal fan city anaenda kumalizwa kwake sasa mimi kama mfuasi nahoji mbona umebadilisha maneno tena .. now ni exceptional [emoji23][emoji23] hapa tu
Dont take it personal twende tukaangalie the real oveload na ovelap mwanagu aroon arsenal
Team mashabiki zake wanatafuta huruma wakati wao wenyewe walizembea..Mimi na wewe nan hana hoja , nakupinga kwa hoja bado unaona sina hoja unaongopea watu tuendelee kukuangalia tu !
Wakati unaongoza league game 28 si huyu huyu hamis alikuwa anatudanganya sijuiii arsenal wanavyopishana oooh man city anaenda kufa pale pale etihad[emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndo wewe zilivyonaki mechi 10 ukaanza kusema ubingwa ni wenu hata mkipoteza still city nae atapoteza si ni wewe ama tunakusingizia braza
Si ni wewe ulisema kila moja ashinde mechi zake when it was 8 games to go!! Si ni wewe uliesema liverpool mbovuu itakufa si chini ya goli 3 wakileta mpira wa kupishana !!
LEO KAGEUKA MANENO YAKE BAADA YA KUKIMBIA AKAJUA TUMESAHAU ET MAN CITY NI EXCEPTIONAL [emoji23][emoji23] HUKUJUA HILI WATU HUMU SI WALIKUAMBIA !! Kina computerarsenal wakisema ooooh unakuwa mkali wewe arsenal huhijuiii kuliko tunavyoijua sisi wadanganye watoto
Endelea kuwaaminisha wenzio kuwa Rice(Ubwabwa) ni bonge la mchezaji, badae uwakimbiePale Chelkenge una Kiungo gani aina ya Declan ?
Mbona Enzo mmetoa €127m lakini Ni average player , leo unamponda Rice , kwa Kiungo gani uliye nae
Na kwa usajir wenu wa kukurupuka , msimu ujao mnaweza kugombea kushuka daraja tena
Hata hujui maana ya kuvunja na kufikia kweli Arsenyeto ni mbumbumbuShabiki la Nyumbu linapogundua Guardiola anavunja rekodi ya Ferguson wakati limetumia msimu mzima kushangilia Man City.View attachment 2645420
Mna unbeaten record ambayo sawa aliyofanya Preston North EndChampions [emoji471] league trophy [emoji471]
Manchester City 1
Arsenal 0
Timu ya kisenge hii ya Arsenal for more than 70 years tumeshindwa kubeba Champions [emoji471] [emoji1628] league trophy and then Manchester City kabeba
Wanasema wana Gold Epl trophyTimu ya kisenge kutwa rumours za usajili but no big trophies even Manchester City amewin champions league trophy and Arsenal still has 0 ueropean trophy seriously?
Alianza ChelseaTimu ya kisenge hii in reality maneno ni mengi even Manchester City kabeba champions [emoji471] league before us ??sitapata usingizi leo
Ndo aina ya mashabiki wengi wa Ass-analHuyu hamiss ni mgonjwa wa akili sio bure.
Hii ni timu kweli pumbavu, timu haijawahi kuwa serious, iko serious tuu kwenye tetesi za kipumbavu na kuna uwezekana mkubwa hata huyo rice asisajiliwe wala caicedo.