Huwa sikujibu nakuonaga huna hoja ,lakini huishiwi kuni qoute ,sitakujibu tenaHakuna exceptional ya city yoyote, points mlizovuna ni ubingwa[emoji23][emoji23] aaah akili za arsenal muachie shabiki wake , mmeshindwa kubeba ubingwa kwasababu tu arsena ni failure team na si kingine yaani unaongoza points 8 then unachoma kwa soton relegated team unaenda ku draw na westham aliyekuwa ana fight relegation unakuja na porojo za exceptional ya city nyie bahati mlioipata haitatokea tena!! Ingekuwa bahati hio wamepata Newcastle,liver , chelsea or man utd now tungekuwa tunaongea ubingwa kwao !!!!
Bila CF hakuna sehemu mtaenda!! Jesus akipata majeraha then anacheza Nketiah sio [emoji23][emoji23] msijekuleta matusi tena na makasiriko!!!
CF wapo wengi tu mfano ivan toney na Hojlund they are not average players
Pale Chelkenge una Kiungo gani aina ya Declan ?Unaona mbali sana, yaan rice ni mchezaji wa kawaida sana sana ni vile uingereza wake anapaishwa.
Ukisikia hizi Kondoo humu zinavyompamba kama hujawahi kumuona akicheza unaweza ukasema ni mchezaji wa sayari nyingine.
Huwa sikujibu nakuonaga huna hoja ,lakini huishiwi kuni qoute ,sitakujibu tena
Oya mbona unaniletea hasira ,Kuna sehemu au nimewahi ku quote nikakudanganya ?Mimi na wewe nan hana hoja , nakupinga kwa hoja bado unaona sina hoja unaongopea watu tuendelee kukuangalia tu !
Wakati unaongoza league game 28 si huyu huyu hamis alikuwa anatudanganya sijuiii arsenal wanavyopishana oooh man city anaenda kufa pale pale etihad[emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndo wewe zilivyonaki mechi 10 ukaanza kusema ubingwa ni wenu hata mkipoteza still city nae atapoteza si ni wewe ama tunakusingizia braza
Si ni wewe ulisema kila moja ashinde mechi zake when it was 8 games to go!! Si ni wewe uliesema liverpool mbovuu itakufa si chini ya goli 3 wakileta mpira wa kupishana !!
LEO KAGEUKA MANENO YAKE BAADA YA KUKIMBIA AKAJUA TUMESAHAU ET MAN CITY NI EXCEPTIONAL [emoji23][emoji23] HUKUJUA HILI WATU HUMU SI WALIKUAMBIA !! Kina computerarsenal wakisema ooooh unakuwa mkali wewe arsenal huhijuiii kuliko tunavyoijua sisi wadanganye watoto
Oya mbona unaniletea hasira ,Kuna sehemu au nimewahi ku quote nikakudanganya ?
Mbona unalazimisha ugomvi ,bifu na Mimi toka juzi? Mimi sikujui ,
Sitakujibu Tena ,
Oya mbona unaniletea hasira ,Kuna sehemu au nimewahi ku quote nikakudanganya ?
Mbona unalazimisha ugomvi ,bifu na Mimi toka juzi? Mimi sikujui ,
Sitakujibu Tena ,
Arsenyau na mbwembwe zao zote zile, sio kombe tu wamekosa hata medani, yaani hata Yanga msimu huu imeizidi kwa mafanikio Arsenyo.Timu ya kisenge kutwa rumours za usajili but no big trophies even Manchester City amewin champions league trophy and Arsenal still has 0 ueropean trophy seriously?
Timu ya kisenge hii in reality maneno ni mengi even Manchester City kabeba champions [emoji471] league before us ??sitapata usingizi leoArsenyau na mbwembwe zao zote zile, sio kombe tu wamekosa hata medani, yaani hata Yanga msimu huu imeizidi kwa mafanikio Arsenyo.
Halafu ilivyo mizwazwa inafurahia timu yao kuingia Uefa, eti ndio yalikua malengo yao.
Hao Newcastle ndio wameingia kwa mara ya kwanza lakini huwasikii hata wakijitapa.
Mancity msimu huu kachukua:
*Epl
*FA Cup
*Uefa champions league
Halafu Arsenyani wakatulaghai na ile kauli yao ya
#Arsenyo ndoo
#Haaland kiatu
Kumbe Arsenyo yenyewe ni kwangu pakavu nitilie mchuzi.
Poor Arsenyani.
Polee mkuu hii team yenu hata kuja kubeba tu Conference itakua kasheshe.Timu ya kisenge hii in reality maneno ni mengi even Manchester City kabeba champions [emoji471] league before us ??sitapata usingizi leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuchagua kushabikia Arsenyo ni kuchagua kujitafutia mikosi katika maisha yako.Timu ya kisenge hii in reality maneno ni mengi even Manchester City kabeba champions [emoji471] league before us ??sitapata usingizi leo