Yan ukiwasikiliza hapa washabik wa Gunners wanavopanga mipango yao utadhan ni team ya maana kua ina mipango ya kubeba ubingwa wa maana kumbe porojo tu za vijiweni.Ukiwasikiliza sasa mashabiki wao unabaki unacheka tu, kuna mtoto wangu wa 4years asubuhi kila nikiwa natoka nyumbani hua ananiambia jioni nikirudi nimnunulie gari, pikipiki, baiskeli na meli, mimi hua naumuitikia tu halafu jioni nikirudi namletea pakti ya karanga au mahindi ya kuchoma.
Huyu dogo akili zake hua nazifananisha na mashabiki wa Arsenyau, utasikia dirisha hili tunamsajili Caisedo, Rice, Gundogan, MacAllister hua nabaki kucheka tu maana najua mpaka dirisha linafungwa wanaishia kununuliwa karanga au mahindi ya kuchoma tu.
Dah unanikosea aisee mm sio Huyo jamaa
Kwahiyo waleta tetesi wote humu Ni Aaron. Aaron Arsenal ni hamis77 ila niliamua kujipa muda mpaka dirisha la usajili likikaribia kufunguliwa ndio nitajihakikishia kua ni kweli.
Alivyoanza tu kutuletea tetesi za usajili ndio nikapigia mstari kabisa kua hamis77 ndio yule Aaron Arsenal aliekua anatuletea tetesi za usajili wa Mudrick kila baada ya sekunde 5.
Oyaaa hamis77 twende zetu kwenye jukwaa la United tukamnange 7Hag kua ni kocha wa mchongo halafu Antony ni mchezaji wa Youtube Man Utd tumepigwa £100m
Arsenal tumefunga magoli 88 msimu huu EPL pekee ,na hapo Kuna miezi 3 tulimkosa Jesus,Hivi kwanini arsenal asi tafute striker was maana, coz hizo pound90m au 100m. SI Wana pata striker mwenye uchu wa magoli hamis77, Arone Ramsey, DeepPond
Nan mfano?Hii timu vipi mbona kimya kiasi hiki wakat wenzetu wanajipanga vyema.
Shida sio magoli captain, we need a real striker anaye weza kuamua mechi.Arsenal tumefunga magoli 88 msimu huu EPL pekee ,na hapo Kuna miezi 3 tulimkosa Jesus,
Tatizo la Arsenal sio magoli
Tunahitaji kuboresha tu kikosi ,in term of depth , quality ,n.k
Points tulizovuna Ni points za ubingwa broo , City Ni exceptionalShida sio magoli captain, we need a real striker anaye weza kuamua mechi.
Matured striker, angalia jinsi halaand, alivyo wasaidia city.
Huwezi mtegemea nketiah, Jesus, na saka wakupe ubingwaa bro
Tumchukue hata Victor osmhen, atatusaidia katika titles races. Maana huwezi tegea wale madogo. Kuna mechi unaona kabisa wanakosa ukomavu au ni utoto tyPoints tulizovuna Ni points za ubingwa broo , City Ni exceptional
Ubingwa hauchukuliwi kwa kuwa na lazima na CF , mbona tulikuwa na kina laca ,auba , adebayo, n.k walifanya Nini?
Katika historia ya Arsenal ndio msimu huu tume produce magoli mengi ,hata kina Henry I think hawakuwahi kupiga Goli nyingi hivi .
Huko Sokoni Kuna CF wangapi wakiwango Cha halland?
Nakutajia CF waliopo Sokoni halafu niambie Nani aje
Harry kane huyu kwa timu za EPL anauzwa €150m , kwa Arsenal hauzwi hata kwa €250m
Victor osmhen huyu Ni €140m
Waliobaki wote Ni CF average tu
Tatizo la Arsenal sio magoli ,tunahitaji tu kuimarisha na kuongeza magoli upande wa Xhaka ambaye anaondokaTumchukue hata Victor osmhen, atatusaidia katika titles races