Acha tufunge tu mkuuNauliza tena
Haya magoli yote yana kazi gani?
Wewe ni shabiki wa timu gani kwanza..? Tuanzia hapoLiverpool unaifananisha na arsenal kwa lipi sasa nipe range ya miaka au nikupe mimi tuanzie 2005 then tuone archivement zao
Liverpool 2005 uefa champion , 2017/2018 uefa finalist, 2018/2019 uefa champion ,2021/2022 finalist , 2019 fifa word club cup champion!! Bado 2019/2020 EPL champion .
Kwa miaka 18 Liverpool ana mafanikio makubwa sana haya nitajie arsenal kwa miaka hiyo 18 ana mafanikio gani ? Ndani ya miaka 18 Liverpool kachukua kila kitu kinachotakiwa kuchukuliwa na timu as club, kachukua uefa , fifa club cup, ligi na fa cup .
Tutajie arsenal kwa miaka 18 hiyo ana nini cha maana ?
Nauliza tena
Haya magoli yote yana kazi gani?
FACT ndani ya 18 years Arsenal hana kombe lolote la maana zaidi ya FA but kwa Liverpool ana champions [emoji471] [emoji1628] league, Premier league, Super cup ,World club cup (haya ndio makombe ya kiume ) Arsenal achievement yake kubwa ni kuingiza mapato na kuwa moja ya team tajiri that's it tukubaliane na ukweli kuwa Arsenal ni team ambayo haina achievements za makombe na kila siku huwa nalisema hili Arsenal kuwa second position sio big deal yaani fan na akili yako unakaa unafurahia second position baada ya kuongoza league kwa 248 days ni ukichaa wa hali ya juu,but sishangai kuanzia mmiliki ,management hawana ndoto yoyote ya kuwa na big trophies [emoji471] never ever kuingia champions league ndio big achievement yetu for more than 8 years na ndio tunaona ni kombe letu ,tunaishangilia hii team sababu tumetoka nayo mbali ila hatuwezi kukaa meza moja na Chelsea Liverpool Manchester United (pale tutakapotakiwa tuanze kuonyesha tuna nini toka makombe makubwa)ukweli mchungu na unaumaLiverpool unaifananisha na arsenal kwa lipi sasa nipe range ya miaka au nikupe mimi tuanzie 2005 then tuone archivement zao
Liverpool 2005 uefa champion , 2017/2018 uefa finalist, 2018/2019 uefa champion ,2021/2022 finalist , 2019 fifa word club cup champion!! Bado 2019/2020 EPL champion .
Kwa miaka 18 Liverpool ana mafanikio makubwa sana haya nitajie arsenal kwa miaka hiyo 18 ana mafanikio gani ? Ndani ya miaka 18 Liverpool kachukua kila kitu kinachotakiwa kuchukuliwa na timu as club, kachukua uefa , fifa club cup, ligi na fa cup .
Tutajie arsenal kwa miaka 18 hiyo ana nini cha maana ?
Sababu pekee watu wanaingia uzi huu au wa nyumbu, cheltako au livafools ni kwakua wote tunajua hizi ndiyo timu kubwa pale epl na una uhakika utakutana na mashabiki wake kwenye nyuzi zao.
Kuliwahi kua na uzi wa spurs. Uliishi chini ya mwezi ule uzi. City ina mashabiki wanne tu JF nzima, kuna watu walianzisha uzi wa Wolves sijui hata umeenda wapi, sasa tusubiri wa Newcastle
FACT ndani ya 18 years Arsenal hana kombe lolote la maana zaidi ya FA but kwa Liverpool ana champions [emoji471] [emoji1628] league, Premier league, Super cup ,World club cup (haya ndio makombe ya kiume ) Arsenal achievement yake kubwa ni kuingiza mapato na kuwa moja ya team tajiri that's it
FACT ndani ya 18 years Arsenal hana kombe lolote la maana zaidi ya FA but kwa Liverpool ana champions [emoji471] [emoji1628] league, Premier league, Super cup ,World club cup (haya ndio makombe ya kiume ) Arsenal achievement yake kubwa ni kuingiza mapato na kuwa moja ya team tajiri that's it tukubaliane na ukweli kuwa Arsenal ni team ambayo haina achievements za makombe na kila siku huwa nalisema hili Arsenal kuwa second position sio big deal yaani fan na akili yako unakaa unafurahia second position baada ya kuongoza league kwa 248 days ni ukichaa wa hali ya juu,but sishangai kuanzia mmiliki ,management hawana ndoto yoyote ya kuwa na big trophies [emoji471] never ever kuingia champions league ndio big achievement yetu for more than 8 years na ndio tunaona ni kombe letu ,tunaishangilia hii team sababu tumetoka nayo mbali ila hatuwezi kukaa meza moja na Chelsea Liverpool Manchester United (pale tutakapotakiwa tuanze kuonyesha tuna nini toka makombe makubwa)ukweli mchungu na unauma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi tangia long time nafahamika penye ukweli huwa nanyoosha maelezo ukifananisha Liverpool Chelsea Manchester United na hata City soon atatuacha kwa achievements za makombe(I repeat very soon atatuacha)tunakuwa tunakosea sisi tutabakia kujitamba tu kuwa tuna golden trophy [emoji471] sababu ya 2004 au kucheza final ya champions league pekee 2006 otherwise mengineyo tunakaa kimya tu sababu hao wote wana Premier league Trophies [emoji471] but je ya Ulaya unayo?hapo unaishia kuondoka zako tu eneo la tukio kwa aibuMpaka kuna jamaa anajua mimi na wewe ni mtu mmoja [emoji28][emoji28] . Anakwambia ni new id [emoji23][emoji23] kisa tu tunaongea ukwelii na arsenal fans wengi hawatakii kusikia ukweli
Kuna wachezaji kama 6 pale lazima watasepa tu,Maddison
Tielemans
Barnes
Their destiny inakuaje?
Vardy is 36 huyu aweza baki na timu. Hawa wengine watakubali? Considering FFP rule Leicester atatakiwa kubalansi vitabu kwa kuwaachia baadhi ya wachezaji.
Alikomaa 80M for Maddison. Safari hii itakuaje?
Sijakuelewa.Endelea kujidanganya ! Time flies! Kipindi unaanza kushabikia arsenal at young age kwa mapenzi ya arsenal kucheza mpira mzurii ndivyo ivyo ivyo madogo wameanza kuishabikia city kutokana na sababu kibao na zenye mashiko zaidi kama makombe , mpira mzurii na world classic players!!!! Jiulize kwanini at your age kwenye 10 0r 12 uliishabikia arsenal , man utd or liverpool na si everton , Newcastle, bolton spurs or bolton ? Linganisha na dogo aliyezaliwa 2000 ana miaka 10 ambao ni umri sahihi wakua shabiki wa mpira na man city 2010 inaanza kuwa vizuriii up to now kipi kimzuiee kushabikia city? Au ulipoanza kushabikia mpira u thought wewe ndo last one