Newcastle anauefa ujueMimi siwezi kuhama timu, hama wewe ila usinilazimishie akili za Manara, once a gunner always a Gunner! Hamia man city mkuu ukale Raha! Kupanga ni kuchagua! Kuna watu ni mashabiki wa Newcastle kufa (Including JK) their highest performance in 40yrs ni Kumaliza no 2 mwaka 1995, Leo hii wanarudi UCL kwa Kumaliza top 4! Nimeridhika na Arsenal yangu, USINILAZIMISHE MKUU
SawaMajibu ya swali lako nimelijibu kwa kueleza ufanye ulinganishi wa alama tulizopata mwaka 2019/20, 2020/21 , 2021/2022 na alama na nafasi tuliyopo mwaka huu 2022/23.
Najua Mkuu, umeumia kukosa Ubingwa wa Epl kama ambavyo Mimi nimeumia pia.
Ingawa kwangu binafsi nimechagua kujifariji kwa kuangalia mafanikio yetu kwa misimu hiyo niliyoitaja na sasa.
Najua bodi ya Wakurugenzi na Mmiliki itakuwa imeumia pia, ndiyo maana nimeona wametenga zaidi ya £ milioni 200 kwaajili ya kuimarisha timu.
Ukiona giza limezidi ujue kuna karibia kukucha
Mimi siwezi kuhama timu, hama wewe ila usinilazimishie akili za Manara, once a gunner always a Gunner! Hamia man city mkuu ukale Raha! Kupanga ni kuchagua! Kuna watu ni mashabiki wa Newcastle kufa (Including JK) their highest performance in 40yrs ni Kumaliza no 2 mwaka 1995, Leo hii wanarudi UCL kwa Kumaliza top 4! Nimeridhika na Arsenal yangu, USINILAZIMISHE MKUU
Huyu hapanaFati Atsu offered to Arsenal
Kuna muda inabidi kukubaliana kutokukubaliana.Naheshimu mawazo yako with due respect.Ila niwe mkweli nna mashaka na ushabiki wako kwa arsenal.Huyu hapana
Wapi Newcastle anaizidi arsenal ktk kipindi hiki?Sawa endelea kukomaa!!!! Newcastle hawana tofauti na arsenal tena bora Newcastle probability yakuchukua epl before arsenal ni kubwa. They are not bottlers like arsenal, wanajenga timu tunaiona na wana ushindani. You can’t compare them with mediocre arsenal. Wewe unakuja kusema eti arsenal ina project ooh inanunua vijana hii haijaanza wakati edu kaingia pale as sport director ilikuepo mpaka kuna muda ikawa inaitwa timu ya vijana. Kina helb, flamini, cesc na wengine kibao wakaona kabisa hapa arsenal hatutoboiii!!wakakimbia.
Mara ya mwisho arsenal kuchukua ubingwa ronaldo na messi walikua hawana hata ballon d or moja now mpaka wanakaribia kustafu still nothing change arsenal profile yake iko vile vile . Progress ya arsenal ni ipi sasa hapo , tunachojaribu kuwaambia ni arsenal ipo sawa na crystal palace , Leicester, westham na spurs sio timu kubwa kama mnavyoipamba nyie mashabiki
Wapi Newcastle anaizidi arsenal ktk kipindi hiki?
Wapi Newcastle anaizidi arsenal ktk kipindi hiki?
Kuna muda inabidi kukubaliana kutokukubaliana.Naheshimu mawazo yako with due respect.Ila niwe mkweli nna mashaka na ushabiki wako kwa arsenal.
Mkuu jaribu kufanya utafiti mdogo juu ya neno ushabiki halafu jilinganishe na wewe kisha rudi hapa ututazame usoni kama kweli una sifa za kuitwa shabiki.
Sina tatizo na critics zako, ila huonyeshi njia.
Sijawahi kuona tactical analysis zako kuhusu team kwa ujumla
Sijawahi kuona technical analysis zako kuhusu wachezaji wetu
Sijawahi kuona breakthrough proposal yako namna tunavyoweza toka hapa.
Unajua kulalamika tu.only that
Mwisho nikufungue macho.ushabiki ni imani,ni ufuasi,ni kujitoa
Kwako Labyrinth 84
Kombe la Arsenal ni top 4 siofor all 20 years kombe la arsenal limekuwa nikuingia top 4 na kuna miaka kibao pia wamekosa kombe la kuingia top 4just imagine hii timu ilivyo kichekeshohalafu unakuta kuna mtu anashabikia arsenal yanii unakuwa mtu mzima lakini dogo wa miaka 16 anakudharau bro mwenye miaka 30 and kisa tu ni shabiki wa arsenal. Kama unabisha jitambulishe tu kwa watu wewe ni arsenal fan uone watu watakavyoangua vicheko. Hata wachezaji wenyewe wanaona aibu kujitambulisha ni arsenal palyer refer ben white na mac daniel
@allypipi sisi mashabiki wa Dortmund tunakuonya acha kuifananisha timu yetu na vitu vya kijingakijinga.Yani Dortmund na arsenyani utofauti wenu ni rangi za jezi tu.
Kule mnaenda kuidhalilisha tu Epl kwa vipigo vya mbwa koko, pona yenu ni mtolewe kwenye hatua za makundi.Kule ni kwa magiant na I don't see kama Arsenal ataweza kupambana kule imagine Europa league pekee Arteta amefeli to the maximum na yupo na kina sporting,lyon,PSV je huku ambako kuna Bayern, Madrid,Manchester City (huyu katupiga home and away ligi na katutoa FA cup)
Tujipange kuelekea 2023/2024Sawa
We jamaa una nondo za hatarii, nimekua nikufatilia unajua kuchambua mada kw facts.Nilikua shabiki wa arsenal lialia kabisa tena kipindi nipo at young age nishawahi kutoa machozi kabisa kisa arsenal na si mimi pekee angunaungana na kina fabregas, wilshere na wengine na si mimi tu wa kwanza kukimbia kasepa rvp, cesc , clichy, sagna na chamberlain waulize kisa cha kukimbia arsenal wote jibu lao ni moja arsenal ni amature & loser team.
Hakuna breakthrough proposal kwa arsenal yakutoka hapo ilipo thats why i left, kajaribu wenger , arteta na unai emery wote wameshindwa . End result imekua ni ile ile japo kulikuwa na different coach, players and staff lakini final result imekuwa the same for 20 fucking years!!!!!!!!!
Kama ushabiki ni imani basi nimekua na imani hio kwa miaka 20 , na kama ushabiki ni ufuasi na kujitoa i have done that for 20 years what i have got in return? Pain & despair
Daaahhh yaani huyu Labyrinth 84 anatembea na Facts mwanzo mwisho, anakupa evidence na vivid example za kutosha yaani hata ukiwa unamletea ubishi unaihisi nafsi yako mwenyewe inakusuta.We jamaa una nondo za hatarii, nimekua nikufatilia unajua kuchambua mada kw facts.
Sasa hawa viazi uwasikie wakiichambua Ass anal yao humu utasikia tunaovalodi mid, Ass nal haifungiki, Arteta alimfundisha ukocha Pep. na upuuz kibao, unakaa unajiuliza hawa zitakua zimetimia kweli.
Kwa nondo unazozishusha wasipoelewa watakua wendawazimu.
Sio Newcastle, hata Arsenal graph yake imepanda kwa kuangalia Arsenal ya misimu minne iliyopita na sasa.Timu pekee unayoweza kusema imeimarika ni Newcastle kwa eddie howe ameichukua timu ikiwa inakaribia kushuka daraja kutoka kwa steve bruce now ipo champion league ,wewe unasema timu imeonyesha mafanikio kwa kuongoza ligi siku 248 kwa point 8 then siku 14 baadae imezidiwa kwa point 8. Uefa mnaenda kushindana au kushiriki hapo ndo tatizooo linapoanzia , wewe binafsi tu as arsenal fan unahisi uefa mnafika hatua gani?
Usajili wa arsenal sasa huwa ni vichekesho zaidii utasikia wamemsajili takuma, sanogo, miyaichi, kallstrom na park chou young mavropanos , lokonga , tavares tukaambiwa ni young players wana potentialhawa wote wako wapi . Arsenal haijawahiii kuwa serious kwenye kitu chochote
100%% wachache wanaelewa hili,Sio Newcastle, hata Arsenal graph yake imepanda kwa kuangalia Arsenal ya misimu minne iliyopita na sasa.
Tulikuwa tunalalamika kutocheza Uefa Champions league misimu zaidi ya 7 lakini mwaka huu tumepata hiyo nafasi, kwanini usiseme ni mfanikio pia.
Tulikuwa tunacheza Mpira hata haueleweki Enzi za Unai Emery lakini leo hii tunacheza mpira ambao kila mtu anavutiwa nao.
Arsenal ni kama Imani kwa sisi wengine, wacha ituue but the future looks so bright
Kwa kweli Mkuu, shida ya Vijana wengi hawajui kuwa na subira. Ndiyo maana wengi wamehamia City kwaajili ya kushindwa kuwa wavumilivu na Project za Arsenal100%% wachache wanaelewa hili,
Daaahhh yaani huyu Labyrinth 84 anatembea na Facts mwanzo mwisho, anakupa evidence na vivid example za kutosha yaani hata ukiwa unamletea ubishi unaihisi nafsi yako mwenyewe inakusuta.
Hongera sana mkuu Labyrinth 84 dunia nzima inasimama na wewe dhidi ya Arsenyani.