Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kisha tukawa on the edge ya kujiimarisha kuchukua ubingwa kwa kuwaleta Mudryki na Caicedo.

Instead akaletwa nani?

Even the board didnt believe in the fight.

Is that a good thing? No
 
We had an advantage ila hatukua na bodi iliyotaka kupress advantage yetu

Ni kama waliona kama 1st objective tushaifikia ya nini tusumbuke. Sasa ishu inakuja next season nini kitakua priority? PL title au?

Notice plan ilikua ni kushiriki CL kwa misimu 2 kisha wa tatu tunyanyue kombe. Difficult plan kiukweli

But ndiyo kocha aliwauzia bodi
 
Sasa wapinzani, ambao walisema tutashuka daraja, acts surprised kushinda sisi tulioamini project iliyoonekana haiwezekani.

Sisi tuna hasira kuzidi wao.

Hii show haiwahusu. We are good hata hatujashangilia kuingia top four
 
ANAFUNGWA CHELSEA ANAUMIA LIVERPOOL NA ARSENANE

 

Attachments

  • Screenshot_20230525_233749_All%20Goals.jpg
    43.6 KB · Views: 15
Yani kweli arsenyani mmepoteana yani uzi wenu mpya umetoka lakini hata kuja kupost hapa hamuwezi
Kiukwl swala ilo hata mm limeniumiz sana siamin kwmb Hawa Gunners wanaweza kujificha namna iyo hata kuleta uzi wao mzr wa kimataifa wameshindwa.

Token wana Gunners msione aibu mambo ya ligi yameisha.. Tumewasamehe tunajua zilikua sio akil zenu timamu mlikua mnaongea tu bila kujua mlisemalo.. Token njoon tuongee khs msimu ujao.
 
Kitu kimoja watu wanachokosea ni kutojua Arsenal tulianza msimu huku 1st objective ni kua ndani ya top 4.

Angalia transfers tulizofanya.

Timu ambayo ilikosa top four msimu uliopita kisa MId msimu uliofuata alienda na Mid gani?

Hatupingi top 4 ilikua first objective, japo hata huko uefa mnaenda kushiriki hamna malengo yoyote.
Kama arsenal angekuwa postion ya 2 for a long time or wangekuwa wanapokezana na man city kukaa juu baadhi ya week tungesema “ yeah” ni mwaka mzuri kwa arsenal ila kukaa siku 248 on top na still ukawa umemzidi mpinzan wako 8 points na game zimebaki 9 unacheza game sunday to sunday bado unachoma kwa timu ambazo zimecheza midweek zaidi ya mara moja!! Westham & soton!! trust me itachukua miaka mingine 20 to be in that position again!!! Na kukaa huko siku 248 kumethibitisha Arsenal ni loser always and forever !!
 
Wew timu yako ilikua wapi kuka iyo position,, si ndio nyie mlitutabilia hat hiyo top four hatutoigusa,

Acheni vihele hele mkae kwa kutulia,

Njoo tena msimu ujao ukiwa na akili Kama hizi tena Kama wenzako.
 
Wew timu yako ilikua wapi kuka iyo position,, si ndio nyie mlitutabilia hat hiyo top four hatutoigusa,

Acheni vihele hele mkae kwa kutulia,

Njoo tena msimu ujao ukiwa na akili Kama hizi tena Kama wenzako.

Timu yangu kwa wakati huo ndo ilikua top of the table kwa hizo siku248 after that nikaona kabisa” hapana” hamna timu hapa kuna vichekesho, for 20 years nilikua kichekesho nikasanuka nikakimbiaaa!! Tupe matarajio ya arsenal msimu ujao
. Baada ya haya yote kuna mtu anaamini arsenal itachukua epl kweliii . Mashabiki wa arsenal ni vichaa kwelii, huko uefa mnashiriki au unaamini mtabeba uefa au malengo ni kufika robo fainali maana mara ya mwisho kufika robo fainali ilikua 2008
 
Kwahio umetimukiaa wapi mkuu??

Vip kuhusu msimu huu ulijua hata iyo top four tungeingia!??
 
Uzi wa msimu kesho huo, uefa foundation, Mighty Arsenal the invincibles. is yours Gold?View attachment 2636761View attachment 2636762

unaongelea kombe ambalo hawa wote walikua hawajazaliwa halland, foden, mbappe , saka, martinelli, camavinga,odegard, bellingham pedri, na Gavi. Ukitoa wachezaji wa arsenal hapo wengi wameshabeba makombe ya ligi zao lakini arsenal bado null!!. Akili za arsenal ziliishia 2003!!! Daah kuwa fan wa arsenal ni kichekesho mpaka nashangaa niliwezaje kuwa mpumbavu for 20 years
 
Kwahio umetimukiaa wapi mkuu??

Vip kuhusu msimu huu ulijua hata iyo top four tungeingia!??

Kombe la Arsenal ni top 4 sio
for all 20 years kombe la arsenal limekuwa nikuingia top 4 na kuna miaka kibao pia wamekosa kombe la kuingia top 4
just imagine hii timu ilivyo kichekesho
halafu unakuta kuna mtu anashabikia arsenal yanii unakuwa mtu mzima lakini dogo wa miaka 16 anakudharau bro mwenye miaka 30 and kisa tu ni shabiki wa arsenal. Kama unabisha jitambulishe tu kwa watu wewe ni arsenal fan uone watu watakavyoangua vicheko
. Hata wachezaji wenyewe wanaona aibu kujitambulisha ni arsenal palyer refer ben white na mac daniel
 
Msimu wa EPL ndiyo unatamatika leo, Bingwa amekuwa Manchester City akituzidi Arsenal zaidi ya alama 8.

Umekuwa ni msimu Mzuri kwa timu ukilinganisha na misimu kadhaa iliyopita.

Benchi la Ufundi limeona mapungufu, nadhani yatafanyiwa kazi. Huenda tukawa na sajiri nzuri Mwaka huu kuelekea mwenye mashindano ya Uefa Champions league na mashindano mengine tutakayo shiriki, hivyo depth ya kukosi nadhani benchi la ufundi na Wamiliki watakuwa wamelipa uzito.

Najua tumeumia na kufurahi pamoja, muhimu tunakwenda kushiriki Uefa baada ya kuikosa miaka 7 kama sio 8 iliyopita.

Nilikuwa natazama wapi tulipotoka kwa misimu ya 2019/20, 2020/21, 2021/22 na msimu wa mwaka huu kabla ya mechi za jioni.





Kama utakuwa ni mtu wa takwimu, utakubaliana nami kuwa timu imeimarika kulingana na miaka kadhaa nyuma ingawa bado kuna kazi ya kufanya.

Tukutane msimu ujao Mungu akitupa Uhai.

Once a Gunner will always be 💪
 
Let me ask you bro kwani hii ni first time kwa Arsenal kuwa katika second position katika miaka 18?unahisi why team imeimarika?team ambayo katika game 9 pekee zimebaki na katolewa kwenye 1st position aliyoishika for 248 days unasemaje imeimarika?kumbuka kuna champions league means tutakuwa na 1st squad ambayo itacompete katika League na Champions league je tutaweza?kumbuka Arsenal alikuwa kwenye Europa league na still alikuwa hachezeshi 1st squad na bado akatolewa tena Emirates na Sporting unaweza kusemaje team imeimarika?unajua mimi huwa natofautiana sana na fans wanaopenda kujipa moyo kuwa season hii team imeimarika kwa lipi?team ambayo baada ya kutolewa europa na akapewa nafasi ya kucheza Saturday kwa Saturday (7 days anapumzika)na still bado imeshindwa kubeba kombe?team imeimarika je kuna medal
ambayo season hii tunayo ambayo tunaweza tukasema team imeimarika?Aston Villa na Arsenal utofauti wao ni nini season hii?team inaimarika kwa kuwa second position tena baada ya kuwa 1st position kwa siku 248?jamani let's be serious with na hii ishu in short team haijaimarika labda tuseme season hii tumecheza football ya kumiliki mpira! FACT!
 
Majibu ya swali lako nimelijibu kwa kueleza ufanye ulinganishi wa alama tulizopata mwaka 2019/20, 2020/21 , 2021/2022 na alama na nafasi tuliyopo mwaka huu 2022/23.

Najua Mkuu, umeumia kukosa Ubingwa wa Epl kama ambavyo Mimi nimeumia pia.

Ingawa kwangu binafsi nimechagua kujifariji kwa kuangalia mafanikio yetu kwa misimu hiyo niliyoitaja na sasa.

Najua bodi ya Wakurugenzi na Mmiliki itakuwa imeumia pia, ndiyo maana nimeona wametenga zaidi ya £ milioni 200 kwaajili ya kuimarisha timu.

Ukiona giza limezidi ujue kuna karibia kukucha 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…