Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ujima ndio Nini? Arsenal ipo kabla hata ya vita kuu ya kwanza ya Dunia Sasa kwa kuwa umezaliwa juzi huwezi potezea rekodi za nyuma. Hiyo man City licha ya kuwekeza mabilioni imetuzidi kombe Gani taja Moja tu mjadala uishe.
 
Kama PSG na Man City hawana UCL what's the difference na Arsenal if at all sisi ni timu ndogo?

Ni hivi man City haituzidi kombe lolote lile, Haina fan base hata 10% ya Arsenal, hawana Mapato kama ya Arsenal, hawana mafanikio kama Arsenal, hawana history kama arsenal. So kwa parameter zote hizo hakuna kitu Man City wametuzidi so far.
 
Muendelee kubaki mpaka siku muone tukibeba Mataji Tena. The project is just beginning
 
Lia sana makalio wewe
taja timu ambayo haitumii pesa
 
Sasa kama mnamapato kwanin mnalia hamna pesa


Au hayo mapato ni makalio yako
 
Man city ni team kubwa mnoo ,haiwezi kufungiwa na sababu za kijinga ambazo hazina ushahidi ,tulete kikosi cha man city hapa na kiasi cha pesa walichotumua kusajili tulinganishe na vilabu vingine pale uingereza


Wewe ni mpumbavu tu ....

Team ya dunia ,inayotikida uingereza Kwa Sasa na kila Kona ya dunia mpaka mbinguni ,haiwezi kuguswa na vijisababu vya kijinga kama vilee


Kulala chuma hicho kunguni wewe ...
View attachment 2631979
 
Unasemaje wewe kalio
 
Haya ndio makombe ya epl ,maana epl imeanza mwaka 1992 ,,hayo mangine before jesusu Christ wapelekee Wana historia wakasome


Source : England premier league View attachment 2631990
Hata UCL imeanza 1990s!! punguzeni utoto na ulimbukeni. Hiyo ni rebranding tu in fact zamani timu zilikua zaidi ya 22 so ilikua competitive zaidi kuliko Sasa.

Plastic fans, I can't wait adhabu ya FIGC mfutiwe kabisa usajili ligi kuu.
 
Plastic fans, sports washing ya waarabu kama PSG tu hamna kingine. Ushahidi wa emails upo, mmehamisha pesa kimagendo Ili kuinflate Mapato ya klabu. Mtanyooshwa tu mbona Juve alishushwa daraja nyie ni mna historia kama ya Juve ulaya?!

Plastic cunts, man City Haina hata washabiki laki 1 Dunia nzima so most of you are plastic fans with no history or legacy.
 
Kuna watu wanateseka humu kwn?

Kwn kuna mtu alikulazimisha kushangilia team za comedy wazee?.

Acheni kujipeni strees mnabishana ujinga kama kina hamis77 mnaonekana mwehu.. Team sio mzaz au nn kama unaona itakuua hama.. Acha kukaza fuvu mwshoe upate kisonono wakuu.

Tunawakaribisha#TheCityzens wazee wa kupress na kuoverload.

Sasa team ndo msimu wake mzr imeenda Trophyless na kelele zote zile kwl?.. Arsenal kuja tena beba kombe la maana sijui ni lin..kama huyu Arteta ndo wanamuona ni Master tactician ambaye hana mpinzan
.
 
Tena vichaa kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…