zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,824
- 36,498
Tukana unavyoweza but Arsenal ndio una record FA cups na ndio pekee EPL kumaliza unbeaten.mSikilizeni huyu mlevi.
Kwa kipindi cha miaka takribani 20 Arsenal ina matatizo yaleyale yanayojirudia ambayo chanzo chake kikuu ni uwekezaji hafifu kwenye usajili.Tukana unavyoweza but Arsenal ndio una record FA cups na ndio pekee EPL kumaliza unbeaten.
Man City mnaisifia sana ila Ina UCL? Kwahiyo ni timu ndogo?
Acheni utoto ukubwa wa timu ni zaidi ya UCL.
Unabishina na hawa wavamizi umu, hawa vichwa vyao havielewi kuhusu football wanaelewa kuhusu matokeo basi... Watakufanya na ww uonekane hujui tuTukana unavyoweza but Arsenal ndio una record FA cups na ndio pekee EPL kumaliza unbeaten.
Man City mnaisifia sana ila Ina UCL? Kwahiyo ni timu ndogo?
Acheni utoto ukubwa wa timu ni zaidi ya UCL.
May be 2024/2025 ambapo ndo itakua mwisho wa kuijenga arsenal ambayo anaitaka yeye.2023/2024 msimu wa mwisho wa arteta wa ama aendelee kuifundisha arsenal au apishe walimu wengine waendleze gurudumu mbele..
Kula chumaa hichoo wewe ..May be 2024/2025 ambapo ndo itakua mwisho wa kuijenga arsenal ambayo anaitaka yeye.
Ukiwa shabiki wa Ass'anal lazima dishi liwe limeyumba.Historia kisa UCL pekee? Kwahiyo Man City ni timu ndogo kisa tu Haina UCL? mnafurahisha.
Arsenal ni timu kubwa sababu ya fan base, Ina history with most FA Cups which is the oldest trophy, ya 3 kwa wingi wa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya uingereza.
Hao Man City au Chelsea hawana history or fan base ni timu zilizoibuka baada ya kununuliwa na wauza gesi na mafuta ya urusi na UAE!! but arsenal has earned it's status through hard work and perseverance.
Dish limeyumba huyo msamehe bure...mSikilizeni huyu mlevi.
City anachukua kesho kutwa hapo...Tukana unavyoweza but Arsenal ndio una record FA cups na ndio pekee EPL kumaliza unbeaten.
Man City mnaisifia sana ila Ina UCL? Kwahiyo ni timu ndogo?
Acheni utoto ukubwa wa timu ni zaidi ya UCL.
Yeah ni kweli mwakani hatuwezi kushinda ligi sababu morale imekufa kabisa, ila walau kikosi kitakuwa kipana so tunaweza ongeza nguvu ya kujiimarisha top 4 then in 2 or 3 years tuka mount a serious title challenge.
Ila twaweza beba FA, Carabao n.k maana tutakua na kikosi kipana kuliko Sasa. Hii ni project na wachezaji ni vijana so mpaka wafike peak tutakua tishio kama Arsenal ya 1997-2005.
Hujajibu swali? Man City ni timu ndogo kisa Haina UCL?City anachukua kesho kutwa hapo...
Sasa huku mmefuata Nini?Ukiwa shabiki wa Ass'anal lazima dishi liwe limeyumba.
Tuna ligi 13 so unachoongea ni utumbo tu. Hao Man City Wana 9 sisi tuna 13 hapo Bado FA cup za kumwaga.Newcastle uwezekano wa kuchukua epl ni mkubwa kuliko Arsenal. Kumbuka 2007/2008, 2013/2014,2015/2016 na kubwa lao ni 2022/2023 angalia misimu hiii arsenal alichoma kwa timu zipi? It was Birmingham, soton, blackburn , na westham . Specialist and masterclass in failure. Hizi fa na carabao hazina maana kabisa achana nazo!!!
Na ndiyo maana wanapambana wabebe UCL ili waingie kwenye orodha ya timu kubwa, huwezi kuwa mkubwa halafu huna kombe la wakubwa, hapo ulipo ukibishana na shabiki wa Nottingham Forest au Aston villa lazima akushinde mana makombe yote uliyonayo yeye kabeba ila yeye akikuonesha UCL tu huna la kumjibu.Hujajibu swali? Man City ni timu ndogo kisa Haina UCL?
Tumekuja kwasababu nyie pia huwa mnakuja kule kwetu na vihere here vyenu, na hatutoki hapa mpk mtuambie kwnn mliamua kuongopea dunia kwamba nyie ni MATAITO KUNITENDASasa huku mmefuata Nini?
Tuna ligi 13 so unachoongea ni utumbo tu. Hao Man City Wana 9 sisi tuna 13 hapo Bado FA cup za kumwaga.
Stop comparing legendary Arsenal to plastic clubs!! Na soon hiyo man City itafungiwa na kufutiwa Mataji yake kelele zipungue.
Tuna ligi 13 so unachoongea ni utumbo tu. Hao Man City Wana 9 sisi tuna 13 hapo Bado FA cup za kumwaga.
Stop comparing legendary Arsenal to plastic clubs!! Na soon hiyo man City itafungiwa na kufutiwa Mataji yake kelele zipungue.