Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,106
- 3,187
Hii City ndiyo wanafiki walikua wanatuchonganisha nayo.
Aliishindwa Ferguson, Wenger, Klopp, Mourinho wanakuja kumsakizia Arteta hata kudeal na pressure hajamaster na kikosi kipo nusu.
Kwa position aliyekua arsenal ingekuwa newcastle,brighton, man utd, hata brentford saivii wangekua wanajiandaa na sherehe za ubingwa lakini uliza arsenal na mashabiki wake saivi sio arteta sio hamis sio aroon wote wameshika tama wako kama vituko hata mbele ya relegated soton. Wanajiuliza hivi hawa arsenal ndo timu iliyochaguliwa kua kituko cha epl ama
Go back to school brother, watoto km nyie huwa napiga block tu.arteta msimu mzima kakomaa na formation ile ile hata sub zenyewe anabahatisha sometimes .
Refer gemu ya liver anamuingiza kiwior anamtoa odergardhalafu jorginho yupo nje alipozingua zaidii mapema kabisa unaona zinchy game ile ilimshinda kabisa kamuacha akala tobo bob akatuweka ndo anamtoa wakati tayari kashachoma. Game na soton akaanza na viera. Huo u masterclass wa arteta sijuiii ukwapii??? Angalia approach ya genius Pep game yetu ya kwanza silva alicheza namba ngap angalia game ya bayern pep anabadilikabadilika!!
Go back to school brother, watoto km nyie huwa napiga block tu.
Hii ni project brother, ndio kwanza tupo phase 3/ 5. Sisi kazi yetu kuwafunza Mpira nyie manyumbu. as long as Mikel Arteta yupo hapa basi Mtaujua tu.Nyie wenye mmejipata msimu mzima mmetoka patupu kweli fans wa arsenyani mmedata sio bure.
Mafanikio yenu mwaka huu ni kwenda uefa tu nako mnaenda kutia aibu mnataishia makundi kwa wachezaji wenu wa mafungu mafungu.
Unaangalia mechi ya brighton muda huu au unajifurahisha?Kwa position aliyekua arsenal ingekuwa newcastle,brighton, man utd, hata brentford saivii wangekua wanajiandaa na sherehe za ubingwa lakini uliza arsenal na mashabiki wake saivi sio arteta sio hamis sio aroon wote wameshika tama wako kama vituko hata mbele ya relegated soton. Wanajiuliza hivi hawa arsenal ndo timu iliyochaguliwa kua kituko cha epl ama
Kwan brighton wana tofauti gani na Azam ya bongo?
Game kubwa zote wanazishika hivi hivi ila muachie game ndogo ndogo uone, ukitaka kuamini waone Next Game.
Arsenyani na Brighton zote zinaonyesha classic symptoms za mid table teams.Kwa asiyeelewa anaweza niuliza kwanini nasemea sana hii mid table attitude ya Brighton. Ni kwakua timu za hivi zikiwa zinashuka daraja unakua haujui it takes just one wrong step for all else to fail
Soton wanashuka daraja msimu huu, timu ambayo ilikua inaweza shtua kwa matokeo na wrong step kwao ilikua nini? Waliacha aggressive defending. Just that imetosha kuwashusha.
Timu za hivi hua hazina firm footing in the league. Angalia Leicester. So Brighton itauza wachezaji na ikilemaa mpaka kocha ataondoka ishu itakuja pesa watakazopata zitawafanya wawe giants? No.
So misimu miwili mbele Brighton akiwa anashika mkia haitakiwi kukushtua. Dalili ni hizi unazoona hapa.
Kawa nominated coach of the season kukosa ubingwa kwanini iwe maneno mengi kwa arteta kikosi kimoja pep hata akibadilika ana watu wa kucheza kila formation anayotaka kwa quality ile ile..arsenal is for boys only!! Hakuna mtu mzima anashabikia arsenal.. kumuita arteta genius ni kulikosea heshima neno lenyewe though so far kwa timu ilipokuepo mpaka hapo ilipo! Arteta hadaiwii chochote!
Block za nini lete facts nitajie game 4 arteta alizokuja na approach tofauti mimi nikutajie game 10 pep alizokuja na different approach!! … i have been an arsenal fan for 20 years dont call me a child! Lete hoja na si viroja
Naiombea kushuka kabisa daraja Kama kilichowakuta soton hawa bright misimu miwili wanavuruga matokeo yetu muhim sijui kwannKwa asiyeelewa anaweza niuliza kwanini nasemea sana hii mid table attitude ya Brighton. Ni kwakua timu za hivi zikiwa zinashuka daraja unakua haujui it takes just one wrong step for all else to fail
Soton wanashuka daraja msimu huu, timu ambayo ilikua inaweza shtua kwa matokeo na wrong step kwao ilikua nini? Waliacha aggressive defending. Just that imetosha kuwashusha.
Timu za hivi hua hazina firm footing in the league. Angalia Leicester. So Brighton itauza wachezaji na ikilemaa mpaka kocha ataondoka ishu itakuja pesa watakazopata zitawafanya wawe giants? No.
So misimu miwili mbele Brighton akiwa anashika mkia haitakiwi kukushtua. Dalili ni hizi unazoona hapa.
Nyie mpira haumjui nakwambia arseml kua pale sio bahati subiri next step step uone saivi Ni clearance ya kikosi inafanyika kinasukwa kitu cha CL nusu fainali hii hapa Kama sio kuchukua kabisa pl tunafunga na point 97 ,98 ataemaliza juu yetu bingwa maana kila msimu ndio zitakua point zetu hizo Kama saivi tumepiga 80+ hivyo endelea kula mtori...Arsenyani na Brighton zote zinaonyesha classic symptoms za mid table teams.
Brighton yeye anakomaa na timu kubwa anaishia kugongwa na timu ndogo, Arsenyau nae misimu yote ukiacha huu anaenda vice-versa anakomaa na timu ndogo halafu anagongwa na timu kubwa, miaka zaidi ya 8 akashindwa hata kunusa top4.
Arsenyo na Brighton zote ni dugu moja (mid table teams) tofauti yao ni vile Arsenyeto msimu huu amebahatika kuingia kwenye top 4.
Msitegemee kabisa msimu ujao mambo yatawaendea vizuri kama msimu huu.Nyie mpira haumjui nakwambia arseml kua pale sio bahati subiri next step step uone saivi Ni clearance ya kikosi inafanyika kinasukwa kitu cha CL nusu fainali hii hapa Kama sio kuchukua kabisa pl tunafunga na point 97 ,98 ataemaliza juu yetu bingwa maana kila msimu ndio zitakua point zetu hizo Kama saivi tumepiga 80+ hivyo endelea kula mtori...
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
arteta now atakuwa anakuna kichwa kumpata mchezaji atakaye timiza majukumu walau nusuXhaka anaweza kuondoka mwisho wa msimu huu. Nimependa jinsi safari yake na Arsenal imepita milima na mabonde na Sasa anaondoka Kwa amani na upendo mwingi kutoka Kwa mashabiki
Mnatufunza mpira gani mlikula OT chuma 3_1 kwa moja tukisema mmeishiwa akili mnaona tumewakashifu.Hii ni project brother, ndio kwanza tupo phase 3/ 5. Sisi kazi yetu kuwafunza Mpira nyie manyumbu. as long as Mikel Arteta yupo hapa basi Mtaujua tu.