Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uliona wapi timu imejaa wavulana afu inashinda kombe? Wavulana hata wakifungwa hawana uchungu ilmradi wanalipwa mshahara na kupewa nafasi ya kupiga vyenga huku wakishangiliwa na mashabiki wao wenye mtindio wa ubongo. The Gunazi qumermae zenu....mfyuuuu!

Afu wengi wa mashabiki wa Arsenal ni wavulana fulani manunda hivi wasiotumia akili zao sawa sawa. Ni nadra kumkuta mtu mzima mwenye akili zilizotimia anaishabika Arsenal. Kelele nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi, kumbe moto wa mabua! Mbwa nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…