Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwakuwa mechi ijayo ya Man City anacheza na Chelsea tena nyumbani kwake, mimi shabiki wa Chelsea natangaza rasmi kumpa heshima ya ubingwa kwa kumfanya atangazwe bingwa akiwa nyumbani kwake.


Man City 3 : 0 Chelsea
Ntafurah mkuu kama hata nikikupiga mkono[emoji23] nikabeba ndoo.

Sisi watu wa Arsenal tunasema hii ngoma bado.

Arsenal NDOOO YA MAJI.
Haaland Kiatu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…