Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,027
- 2,316
Sema wanangu mmezingua mmekaa kileleni robo tatu ya msimu mnashindwa kumaliza mkiaDaaah. Wahamiaji haramu wako wengi humu kuliko sisi wazawa
Siyo poa kabisaSema wanangu mmezingua mmekaa kileleni robo tatu ya msimu mnashindwa kumaliza mkia
Sema wanangu mmezingua mmekaa kileleni robo tatu ya msimu mnashindwa kumaliza mkia
Ngoja tuone itakuaje chance mmepoteza wenyewe mlivyodraw na Liver,West ham,Soton kipara hawezi afford kuwaachia mwanyaLeo tunarudi kileleni
Kila mtu ashinde mechi zakeLeo tunarudi kileleni
Sema wanangu mmezingua mmekaa kileleni robo tatu ya msimu mnashindwa kumaliza mkia
Ngoja tuone itakuaje chance mmepoteza wenyewe mlivyodraw na Liver,West ham,Soton kipara hawezi afford kuwaachia mwanya
😝😝😝😝😝We're still epl candidate
Hii timu imepoteza hili kombe msimu huu kizembe sana yani.Arsenal wamekua kama waganga wa kienyeji wamebak kupiga ramri tu.
Pigeni ramri tupoteze msahau kuombea team yenu mje mdraw au kupoteza nyie sasa.
Sema mkisajili mkawa na sub zenye quality msimu ujao mnaweza kuwa na chance ya kuchukua ubingwaNa game 2 kati ya hizo tulikua tunaongoza 2:0 .. what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!!!
Yan zaid ya kizembe.. Mm niliwaambia humu kua mtego upo kwa wao kushinda game zao izi ndg ndg.. Wangeweza ilo tu wangekua kwny position ya ubingwa.Hii timu imepoteza hili kombe msimu huu kizembe sana yani.
MaskiniCity kesho analowa ndio chansi yetu sasa kukaa pale juu. Eveton hawezi kubalikushuka daraja yan wameyakanyaga kina pep
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app